Basketball Weekly Free Bets Basketball Weekly Free Bets

Opt-in Sasa na uweke bashiri kwenye mechi za NBA Playoffs kupata Bashiri ya bure sawa sawa na dau lako ya hadi 5,000 TSH! Tumia Bashiri yako ya bure kuweka bashiri wakati mechi zinaendelea!

Chagua kujiunga
Step 1
Opt-in
Opt-in
Step 2
Weka bashiri kwenye mechi za NBA Playoffs
Basketball
Step 3
Pata Bashiri zako za bure kila siku!
Bonus
Chagua kujiunga

Opt-in na uweke bashiri kwenye mechi za NBA Playoffs yenye machaguo 2+ ikiwa na alama za jumla angalau 2.00. Pata Bashiri ya bure sawa sawa na dau lako kwa 100% ya hadi 5,000 TSH kutumika kuweka bashiri mubashara!

Bashiri Zitakazofuzu:

  • Bashiri ni lazima ziwe na chaguo angalau moja la mechi za NBA Playoffs
  • Machaguo angalau 2
  • Alama za jumla angalau: 2.00

Jinsi ya kutumia Bashiri ya Bure:

  • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
  • Alama za jumla zisipungue: 1.50
  • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
  • Bashiri za bure zinaweza kutumika kuweka bashiri mubashara kwenye mechi za NBA Playoffs pekee.
Muda wa Promosheni:
  • Promosheni hii itaanza tarehe 20/04/24 00:00 CET hadi tarehe 31/05/24 23:59 CET.
Kufuzu Bashiri ya Bure:
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee zenye machaguo 2+, ikiwemo chaguo angalau moja la mechi za NBA Playoffs ndio zitafuzu.
  • Bashiri ni lazima ziwe na alama za jumla angalau 2.00.
  • Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
  • Bashiri zenye machaguo yaliyokua Voided, Canceled, au Cashed-out hazitofuzu kwenye hii promosheni.
  • Bashiri zilizofuzu ni lazima ziwekwe ndani ya muda wa promosheni ili kufuzu kupata Bashiri ya bure.
  • Kila bashiri inaweza kufuzu kupata Bashiri ya bure moja tu.
Taarifa ya Bashiri ya Bure:
  • Kila mchezaji anaweza kupata Bashiri moja ya bure kila siku kupitia hii ofa.
  • Bashiri ya bure itakayotolewa itakua kiasi sawa sawa kwa 100% na dau la bashiri ya kufuzu, hadi 5,000 TSH.
  • Bashiri ya bure itatolewa baada ya kuweka bashiri ya kufuzu yenye machaguo ya mechi za NBA Playoff.
  • Bashiri ya bure inaweza kutumika kuweka bashiri mubashara kwenye NBA Playoffs pekee.
  • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
  • Ushindi uliotokana na bashiri ya bure unaweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
  • Bashiri ya bure itabatilishwa kwa mchezaji yoyote ambae ataweka bashiri kiudanganyifu na kuchagua matokeo ya masoko yote ya mechi au atakae fanya cash-out kwenye bashiri yake ya kufuzu.
  • Bashiri za bure zinaweza kutumika ndani ya siku 7 kuanzia siku zimetolewa.
Jumla
  • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
  • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikiano na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.