UEL/UCL Football Bet & Get UEL/UCL Football Bet & Get

Inapatikana kwa wachezaji wote wapya, weka bashiri mwisho wa wiki 2 za kwanza za English Premier League, na uanweza kujishindia sehemu ya 2,400,000 TSH kama Cash Drops! Bashiri zote zilizowekwa kwenye Premier League na wachezaji wapya zitafuzu (hakuna kima cha chini), kuna zawadi 200 za pesa taslimu zitakazotolewa!

Step 1
Weka pesa kwa mara ya kwanza
Sports
Step 2
Weka bashiri kwenye English Premier Leaguea
Bonus
Step 3
Pata tiketi kuingia kwenye droo na ushinde Zawadi ya Pesa taslimu!
Money Bag

Tunafuraha kubwa ya kuanza kwa Msimu mpya, na English Premier League itaanza kuanzia tarehe 5 ya Agosti, wachezaji wote wapya ambao wataweka pesa kwa mara ya kwanza ndani ya muda wa Promosheni na wakaweka bashiri kwenye ya mechi yoyote ndani ya wiki 2 za kwanza za ofa, watapata kiingilio cha kuingia kwenye droo ya Cash Drops za msimu mpya, ili kujishindia sehemu ya 2,400,000 TSH. Ni rahisi, sajili akaunti mpya, weka salio kwa mara ya kwanza na weka bashiri kwenye mechi za Premier League zinazocheza kati ya tarehe 5 hadi 14 Agosti.

Ofa ya Cash Drops za Msimu Mpya itaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 25 Julai hadi Jumapili ya tarehe 14 Agosti.

Cash Drops zitagawanyishwa kwenye droo mbili za bila mpangilio kwa kila mwisho wa wiki mbili za kwanza za English Premier League. Ni lazima uwe mchezaji mpya na uweke bashiri zako za kwanza kwenye English Premier League, hakuna kima cha chini cha dau au alama ili kufuzu, bashiri zote zitaingia kwenye droo husika za bila mpangilio:

 • Mwisho wa wiki ya 1: Mechi zote za Premier League zilizochezwa kati ya tarehe 5 hadi tarehe 7 Agosti
  Zawadi ya Jumla = 1,200,000 TSH
  Zawadi za pesa taslimu = 100 x 12,000 TSH
 • Mwisho wa wiki ya 2: Mechi zote za Premier League zilizochezwa kati ya tarehe 8 hadi tarehe
  Zawadi ya Jumla = 1,200,000 TSH
  Zawadi za pesa taslimu = 100 x 12,000 TSH
Muda wa Promosheni
 • Ofa ya Cash Drops za Msimu Mpya itaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 25 Julai 00:00 CEST hadi Jumapili ya terehe 14 Agosti 23:59 CEST.
 • Bashiri zote zitakazowekwa au kukamilika nje ya muda wa promosheni hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri Zitakazofuzu
 • Ofa hii inapatikana kwa wachezaji wapya pekee, na salio la kwanza lazima liwekwe ndani ya muda wa promosheni ili kufuzu.
 • Ni Bashiri zilizowekwa na mechi za English Premier League pekee zilizochezwa kati ya tarehe 5 hadi terehe 14 Agosti. Bashiri zinaweza kuwekwa kwa dau lolote na alama zozote, ikiwemo kabla ya mechi na mubashara, moja moja au nyingi.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazofuzu kuingia kwenye droo (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au Bashiri za bure hazitohesabika).
 • Bashiri zilizofanyiwa Cashed out au bashiri hewa hazitohesabika.
 • Bashiri za mifumo/System bets hazitohesabika kwenye hii promosheni.
Zawadi za Droo
 • Kutakua na droo 2 za bila mpangilio zitakazofanyika kama ifuatavyo:
  • Droo ya 1 siku ya Jumatatu tarehe 8 Agosti kwa bashiri zote zilizowekwa kwenye mechi za kuanzia tarehe 5 hadi 7 Agosti
  • Droo ya 2 siku ya Jumatatu tarehe 15 Agosti kwa bashiri zote zilizowekwa kwenye mechi za kuanzia tarehe 8 hadi 14 Agosti
 • ‘Kwa kila droo, wachezaji watakua wanachaguliwa bila mpangilio ili kujishindia moja ya zawadi 100 za 12,000 TSH kama pesa taslimu Zawadi za pesa taslimu zitawekwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 ya droo.
 • Wachezaji wanaweza kushinda zawadi moja tu ndani ya muda wote wa promosheni.
 • Zawadi za Cash drops hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering) na zinaweza kutolewa papo hapo.
Jumla
 • Hii promosheni ya mtandao kwenye tovuti zote zinazoshiriki.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.