Odds Boost Risk Free Boost Odds Boost Risk Free Boost

Ondoa mambo ya kuchana mkeka na ofa ya PremierBet ya Alama za kipekee Zilizoboreshwa na Risk-Free Boosts!

Step 1
Tazama ofa yetu ya Odds Boosts na Risk-Free Boosts
Boost
Step 2
Chagua boost unayoipendelea
Bonus
Step 3
Furahia faida zake
Bonus

Furahia ubashiri michezo kwa namna ya kipekee kabisa na ofa zetu za kibabe:Alama Zilizoborehswa na Risk-Free Boosts. Tumetengeneza ofa hizi maalum ili kuongeza nafasi yako ya kushinda na kukupa raha isiyo na kifani wakati wa kuweka bashiri zako. Tazama vipengele vifuatavyo vya Alama zilizoboreshwa ili kujua faida zake:

Alama Zilizoboreshwa: Alama Zilizoboreshwa kwa Ushindi Mkubwa Zaidi

Jiandae kwa ushindi mkubwa zaidi na Alama zetu zilizoboreshwa! Tunaboresha alama kwenye bashiri zilizochaguliwa ili kukupa fursa ya kupata faida kubwa zaidi. Timu yetu ya wataalamu huchambua alama hizi zilizoboreshwa kwa umakini, kuhakikisha una fursa bora za kubashiri. Kutokea kwenye mechi dahifu hadi pendwa, Alama zetu zilizoboreshwa huongeza msisimko na kiasi chako cha ushindi. Usipitwe na nafasi ya kuongeza ushindi wako!

Mechi ya Siku: Alama maalumu kwenye siku zenye mechi kubwa

Tunatoa alama za kipekee zilizoboreshwa kwenye mechi inayosubiriwa kwa hamu zaidi kwenye siku husika! Iwe ni derby yenye upinzani mkubwa, pambano la kupambania nafasi ya juu, au uhasama wa kihistoria, tumia ofa zetu maalum na ushiriki kwenye tukio na Alama zetu maalumu za Mechi ya Siku.

Match Action: Alama maalumu kwenye siku zenye mechi kubwa

Ongeza uzoefu wako wa kubashiri na ofa zetu maalum za siku ya Mechi! Tunakuletea alama zilizoboreshwa kwenye mechi nyingi kubwa zinazokuwepo siku nzima. Kuanzia kwenye mapambano makali hadi mechi za kuvutia, tuko hapa kukuhudumia. Tumia ofa zetu za kipekee na geuza kila wakati wa mechi kuwa fursa ya kushinda zaidi. Usikubali kupata ushindi wa kawaida – fanya kila mechi kuwa ya kipekee na ofa zetu za Match Action specials.

Risk-Free Boosts: Rejesho la pesa la uhakika kama Utapoteza

Ondoa mambo ya kuchana mkeka na ubashiri kwa kutumia Risk Free Boosts zetu! Tunaelewa kuwa muda mwingine bahati haipo upande wako. Ndio maana tunatoa kinga kwa kuhakikisha unarejeshewa pesa yako kama mkeka wako utachanika. Ni lazima ushinde, ambapo tunakupa nafasi ya kuweka bashiri kwa kujiamini bila wasiwasi wa kupoteza dau lako. Tupo na wewe, hivyo weka bashiri kwa kujiamini na kufurahia msisimko wa mchezo. (Lazima uwe umeweka kiasi kisichopungua 12,500 TSH kwenye akaunti yako ndani ya siku 7 zilizopita ili kufuzu kwenye ofa ya Risk-Free Boosts)

Jiunge Nasi Leo na Utumie Nguvu ya Kubashiri Iliyoboreshwa!

Alama Zilizoboreshwa, Mechi ya Siku na Match Action Specials:
 • Promosheni hii ni kwa wateja waliofuzu ambao wanaweka dau kwenye chaguzi maalum zenye Alama Zilizoboreshwa, Mechi ya Siku, na Match Action specials kama ilivyotangazwa.
 • Alama Zilizoboreshwa zinapatikana kwa muda mfupi na kwenye masoko yaliyochaguliwa kulingana na maamuzi ya PremierBet.
 • Kiasi cha juu cha dau kinachoruhusiwa kwenye kila bashiri ya Alama Zilizoboreshwa ni 260,000 TSH.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri iliyowekwa na alama zilizoboreshwa utaingizwa kwenye akaunti yako ndani ya masaa 48.
 • Ofa ya Alama Zilizoboreshwa haiwezi kutumika kwa mjumuiko na promosheni nyingine yoyote au ofa za bashiri ya bure isipokuwa kama ilielezwa vinginevyo.
 • PremierBet tuna haki ya kubadilisha, kusitisha, au kufuta promosheni ya Alama Zilizoboreshwa muda wowote bila ya kutoa taarifa kwanza.
Risk-Free Boosts:
 • Promosheni hii inapatikana kwa wachezaji wote ambao wameweka pesa angalau 12,500 TSH kwenye akaunti zao katika siku 7 zilizopita.
 • Kiasi cha juu cha dau kinachoruhusiwa kwa kila mchezaji kwenye Risk-Free Boost ni 1250 TSH.
 • Ikiwa bashiri yako iliyofuzu itapoteza, utapokea rejesho la pesa sawa na kiasi cha dau ulichoweka, hadi kima cha juu cha dau.
 • Rejesho la pesa litafanyika kwenye akaunti yako ndani ya masaa 48 baada ya kukamilika kwa bashiri yako.
 • Ni bashiri za singles pekee ndio zitafuzu kwenye promosheni ya Risk-Free Boosts.
 • Bashiri zilizofanyiwa cash out hazitofuzu kwenye promosheni.
 • Rejesho la pesa linaweza kutolewa kikamilifu na kutumika kama pesa za kawaida.
 • Promosheni ya Risk-Free Boosts inategemea upatikanaji na inaweza kubadilishwa, kusitishwa, au kufutwa wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
Vigezo na Masharti ya Jumla
 • Washiriki lazima wafuate vigezo na masharti ya Premier Bet.
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki au kama mtumiaji anaweza kujulikana alikua na njia ambazo sio sahihi za kuona matokeo wakati anaweka bashiri.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha bashiri ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • PremierBet tunahifadhi haki ya kuthibitisha uhalali wa washiriki na tunaweza kuomba uthibitisho wa umri au vitambulisho.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.