Ruby Play Tournament Ruby Play Tournament

Mashindano ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas! Shinda sehemu ya 600,000 TSH zawadi za pesa taslimu kwenye Mashindano yetu ya Ruby Play Tournament. Tumechagua michezo pendwa na maarufu zaidi ya michezo ya slot kutoka Ruby Play, cheza kwenye michezo yako pendwa kukusanya alama za kupanda kwenye ubao wa washindi, wenye zawadi 10 za pesa taslimu kushindaniwa, na unaweza kujishindia zawadi ya pesa taslimu ya hadi 210,000 TSH!

Step 1
Cheza Mchezo unaoshiriki
Casino
Step 2
Zungusha angalau 260 TSH kuanza kupanda kwenye ubao wa washindi!
Slots
Step 3
Shinda sehemu ya zawadi ya jumla!
Money Bag

Unaweza kushinda sehemu ya 600,000 TSH pesa taslimu kwenye Mashindano ya Ruby Play Tournament! Tuna zawadi 10 za pesa taslimu kutolewa ikiwemo zawadi nono ya mshindi wa kwanza ya 210,000 TSH. Ili kushiriki, chagua tu moja ya michezo ya Ruby Play games, iliyopendekezwa, zungusha angalau 260 TSH na kila ushindi utakuletea alama za kupanda kwenye ubao wa washindi na kushinda zawadi ya pesa taslimu ya hadi 210,000 TSH!

Promosheni ya Ruby Play Tournament itaanza Ijumaa tarehe 1 March hadi Jumanne tarehe 5 Machi 2024.

Jinsi ya Kushinda:
Zungusha angalau 260 TSH kwenye mchezo wowote unaoshiriki. Kila ushindi utakupatia alama kulingana na kizidishi cha ushindi ( kwa mfano, kama utaweka bashiri ya 2,600 TSH na ukashinda 26,000 TSH, utazawadiwa alama 10 ). Alama utakazozipata zitajumlishwa ndani ya kipindi chote cha kila mashindano. Unavyokusanya alama nyingi zaidi, ndivyo unavyozidi kupanda juu zaidi kwenye ubao wa washindi. Wachezaji 10 wa kwanza kwenye ubao wa washindi watashinda sehemu ya zawadi ya 600,000 TSH!


Zawadi ya Jumla
Kuanzia nafasi ya Hadi nafasi ya Zawadi Jumla
1 1 210,000 TSH 210,000 TSH
2 2 120,000 TSH 120,000 TSH
3 3 60,000 TSH 60,000 TSH
4 10 30,000 TSH 210,000 TSH
JUMLA 600,000 TSH


Zawadi ya jumla ni 600,000 TSH Pesa taslimu kwa washindi 10. Ni rahisi, chagua moja ya michezo ya Ruby Play iliyoorodheshwa hapo chini, zungusha angalau 260 TSH kupata nafasi ya kujishindia zawadi ya pesa taslimu:

 1. Brilliant Gems
 2. Shake Shake Money Tree
 3. Native Spirit
 4. Immortal Ways Buffalo
 5. Immortal Ways Diamonds
 6. Diamond Explosion 7s

Cheza mchezo wowote

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Ruby Play Tournament itaanza Ijumaa tarehe 1 Machi 2024 00:00 UTC hadi Jumanne tarehe 5 Machi 2024 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Mashindano
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo inayoshiriki kama ilivyo orodheshwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
 • Kima cha chini cha dau la kufuzu kwa kila bashiri ili kushiriki kwenye mashindano ni 260 TSH. Kama kima hiki cha chini cha bashiri hakipatikani, itahesabika kwenye kiasi kikubwa kinachofuata kinachopatikana kwenye mchezo.
 • Kushiriki katika mashindano, utalazimika ku opt in ndani ya michezo inayoshiriki, ama kwa kubonyeza chaguo la opt-in ndani ya mchezo au utaingia moja kwa moja unapozungusha spin kwenye mchezo wowote inayoshiriki na kwa dau lililofuzu.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Kila ushindi utakupatia alama zinazotegemea kizidishi cha ushindi ambacho kitatajwa kwenye taarifa za mashindano hapo juu : mahesabu yatakua kama ifuatavyo: kwa kila 2,600 TSH utakayoshinda utapata alama 1 (kwa mfano, ikiwa unaweka dau la 2,600 TSH na kushinda 26,000 TSH, utapewa alama 10). Alama ulizopata hujumlishwa kipindi chote cha Mashindano.
 • Kila mchezaji atapewa utambulisho binafsi wa mashindano kwa ajili ya Ubao wa washindi.
 • Ubao wa washindi unasahishwa kwa muda halisi na wachezaji wanaweza kuona ubao wa washindi wa muda halisi wakati wowote wanapocheza mchezo iliyofuzu kwa hiari yao, isipokuwa kama imeelezwa vinginevyo kwenye Maelezo ya Mashindano hapo juu.
 • Ubao wa washindi utajumuisha wachezaji waliokusanya idadi kubwa zaidi ya alama wakati wa mashindano.
 • Ikiwa wachezaji wawili au zaidi watamaliza kwenye nafasi sawa kwenye ubao wa washindi, mchezaji ambaye alifikia alama wa kwanza atapata zawadi kubwa zaidi.
 • Kiasi cha zawadi za pesa taslimu kinachoonekana kwenye mchezo kitakua kwenye mfumo wa sarafu unayotumia kuchezea.
 • Ni mizunguko iliyokamilika pekee ndio itafuzu kuingia kwenye Ubao wa washindi.
 • Zawadi ya jumla ni 600,000 TSH Pesa Taslimu kwa washindi 10.
 • Zawadi za Pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 kwenye akaunti za washindi baada ya kukamilika na kupitishwa kwa matokeo ya mashindano.
 • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada/0x wagering na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
 • Ofa hii ni kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee.
 • Kiwango cha zawadi kipo kwenye mfumo wa USD na kinaweza kuathiriwa na mfumo wa ubadilishaji safaru.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.