Cash Days Tournament Cash Days Tournament

Pata bonasi ya kipekee ya michezo ya 100% unapoweka pesa kwenye akaunti yako! Ni rahisi, weka 6,900 TSH au zaidi, na utapokea 6,900 TSH yako kama bonasi ya bure unapoingia kwenye akaunti yako kwa mara nyingine! Tumia bonasi yako kwenye michezo, kwa alama zisizopungua 2.00, na masharti ya kuzungusha mara 6.

Step 2
TOKA KWENYE AKAUNTI NA UINGIE TENA
Slots
Step 3
UMIA BONASI YAKO YA BURE!
Money Bag

Pata bonasi ya michezo ya kipekee unapoweka pesa. Kupata bonasi yako ya Bure, ni rahisi weka 6,900 TSH na utapokea 6,900 TSH kama Bonasi utakapoingia kwenye akaunti yako kwa mara nyingine! Unapofanikiwa kuweka pesa, bonasi yako ya bure itakuwepo kuweza kutumika mara tu utapoingia kwenye akaunti!

Unaweza kutumia bonasi yako kuweka bashiri kwenye michezo, kabla ya mechi au mubashara, ikiwa na alama zisizopungua 2.00. Kiasi chako cha bonasi kitatakiwa kuzungushwa mara 6 kabla ya kuweza kutoa ushindi wowote kwenye akaunti yako. Lakini fanya upesi – hii ni ofa ya muda mfupi ambayo inapatikana ndani ya muda uliotajwa kwenye meseji yako ya ofa ya kipekee.

Jinsi ya kupata Ofa yako ya Kipekee ya Bonasi ya michezo ya 100%:

  1. Ingia kwenye akaunti yako.
  2. Nenda kwenye ukurasa wa kuweka pesa.
  3. Rahisi, weka 6,900 TSH na utapokea bonasi yako ya 6,900 TSH utakapoingia kwenye akaunti yako kwa mara nyingine!
  4. Toka kwenye akaunti yako kisha ingia tena. Bonasi yako ya bure itakuwa kwenye akaunti yako.
MUDA WA PROMOSHENI
  • Ofa hii inapatikana kwa wachezaji waliopokea meseji (SMS) au email kuhusiana na ofa hii ya promosheni.
  • Utahitajika kuchukua bonasi yako kwa ndani ya tarehe/muda uliotajwa kwenye meseji yako ya ofa.
  • Pesa zote zilizowekwa nje ya muda wa promosheni uliyotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii ya bonasi ya kipekee.
DEPOSITS ZITAKAZOFUZU
  • Deposit Bonasi hii ya kipekee ya michezo inatolewa mara moja tu.
  • Unatakiwa kuweka pesa kwenye akaunti yako angalau 6,900 TSH.
TAARIFA YA BONASI
  • Bonasi yako itawekwa moja kwa moja utakapoingia kwenye akaunti yako kwa mara ya pili baada ya kufanikiwa kuweka pesa iliyohitajika ndani ya muda wa promosheni. Kila mchezaji aliepokea meseji au email ya kipekee anastahili kupata ofa ya Kipekee ya Bonasi ya michezo ya 100% ya 6,900 TSH mara moja tu.
  • Kiasi cha bonasi kinatakiwa kuzungushwa angalau mara 6 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (yaani kabla ya kuweza kutoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
  • Ili bonasi ifuzu kutimiza masharti ya ubashiri ni lazima iwe na alama zisizopungua 2.00, kwenye mechi yoyote, kabla ya mechi au mubashara. Bashiri yoyote itakayowekwa kwa alama chini ya hapo, pesa itakatwa kutoka kwenye salio lakini haitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
  • Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni 11,650 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 11,650 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
  • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 582,500 TSH.
  • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
  • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
  • Ni bashiri zilizokamilika tu ndizo zitakazohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizoghairishwa (Cashed out) au bashiri hewa hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
  • Bashiri za Odds Boosts, Cash Back boosts na bashiri za mfumo hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
JUMLA
  • Unaweza kupata bonasi moja tu utakapoweka pesa. Bonasi haziwezi kutumika kwa mjumuiko na ofa nyingine ya bonasi au promosheni.
  • Unapoweka bashiri, pesa zitaondolewa kutoka kwenye salio la pesa halisi kwanza na baada ya hapo itakatwa kwenye bonasi. Bonasi inapokua imeruhusiwa bashiri zote zilizofuzu za pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
  • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kutumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
  • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.