Messi Goals Giveaway Messi Goals Giveaway

UCL Goals Giveaway: Shinda bashiri ya bure itakayokua inaongezeka kwa kila goli litakalofungwa!

Chagua kujiunga
Step 1
Opt-in
Football
Step 2
Weka bashiri kwenye mechi za UCL yenye machaguo 2+
Bonus
Step 3
Pata bashiri ya bure itakayokua inaongezeka kwa kila goli!
Bonus
Chagua kujiunga

Opt-in sasa na upate nafasi ya kupata Bashiri ya bure itakayokua inaongezeka kwa kila goli litakalofungwa kwenye mechi za UEFA Champions League za tarehe 30/04/24 & 01/05/24. Ni rahisi, weka bashiri iliyofuzu yenye machaguo 2+, likiwemo chaguo 1 la mechi za UEFA Champions League, ili kupokea Bashiri ya bure. Kiasi cha Bashiri ya bure kitakua kinaongezeka kwa 250 TSH kwa kila goli litakalofungwa.

Bashiri za bure zitaingizwa kwenye akaunti za wachezaji waliofuzu tarehe 02/05/24.

Bashiri Zitakazofuzu:

  • Bashiri ni lazima ziwe na chaguo angalau moja la mechi yoyote ya UEFA Champions League
  • Machaguo angalau 2
  • Dau angalau: 2,500 TSH
  • Alama za jumla angalau: 2.00
  • Bashiri ni lazima ziwekwe kabla mechi hazijaanza (30/04/24 21:00 CET)

Jinsi ya kutumia Bashiri ya Bure:

  • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
  • Alama za jumla zisipungue: 1.50
  • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni:
  • Promosheni hii itaanza tarehe 29/04/24 13:00 CET hadi tarehe 01/05/24 23:59 CET.
Kufuzu Bashiri ya Bure:
  • Bashiri ni lazima ziwekwe kati ya tarehe 29/04/24 13:00 CET – 30/04/24 21:00 CET.
  • Ni wachezaji walio Opt-in pekee kwenye hii promosheni ndio watafuzu.
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee, zenye machaguo 2+, likiwemo chaguo angalau 1 la mechi za UEFA Champions League ndizo zitakazofuzu.
  • Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
  • Bashiri ni lazima ziwe na dau la angalau 2,500 TSH.
  • Bashiri ya kufuzu ni lazima iwe na alama za jumla zisizopungua 2.00.
Taarifa ya Bashiri ya Bure:
  • Bashiri ya bure itatolewa siku ya tarehe 02/05/24 baada ya mechi kuisha.
  • Kiasi cha kila bashiri ya bure kitakachotolewa kwa kila goli kwenye mechi kitakuwa ni 250 TSH.
  • Kiwango cha juu cha dau 10 bila malipo kitatolewa kwa kila mchezaji.
  • Bashiri ya bure inaweza kutumika kuweka bashiri kwenye mechi yoyote.
  • Bashiri ya bure ni lazima itumike kwenye mkeka wenye alama za jumla zisizopungua 1.50.
  • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
  • Ushindi uliotokana na bashiri ya bure unaweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
  • Promosheni hii haiwezi kutumika kwa mjumuiko na ofa au promosheni nyingine yoyote inayoendelea kwa muda huo.
  • Tuna haki ya kurekebisha au kufuta promosheni hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
  • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti yetu kuzingatiwa.
Jumla
  • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
  • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.