UEFA Insurance UEFA Insurance

Shinda hata mkeka ukichanika na Bima yetu ya UEFA, Pata rejesho la pesa 2x ya dau lako kama Bashiri ya bure endapo chaguo moja litakuangusha!

Chagua kujiunga
Step 1
Opt-in
Football
Step 2
Weka bashiri yenye machaguo 6+ ya UEFA
Bonus
Step 3
Chaguo moja limezingua? Pata rejesho la pesa 2x ya dau lako kama bashiri ya bure!
Bonus
Chagua kujiunga

Usipitwe na ofa hii ya kibabe! Opt-in sasa na ubadili hasara kua ushindi na promosheni yetu ya bima ya UEFA. Weka bashiri iliyofuzu na kama chaguo moja tu litakuangusha, tutakupa rejesho la pesa mara mbili ya dau lako kama Bashiri ya bure hadi 25,000 TSH!

Bashiri Zitakazofuzu:

  • Bashiri ni lazima ziwe na machaguo angalau 6 ya Mashindano ya UEFA Champions League, UEFA Europa League au UEFA Europa Conference League.
  • Bashiri ni lazima ziwe na machaguo angalau 6, kila chaguo liwe na alama zisizopungua 1.20.
  • Bashiri ni lazima ziwe na alama za jumla zisizopungua 6.00.
  • Bashiri ni lazima ziwe zimekamilika kati ya 19/09/23 12:00 – 15/12/23 23:59.

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

  • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
  • Alama za jumla si chini ya: 1.50
  • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
  • Promosheni hii itaendeshwa kati ya 19/09/23 12:00 – 14/12/23 23:59.
Kufuzu Bashiri ya Bure
  • Wachezaji ni lazima wa opt-in kwenye hii promosheni ili kufuzu.
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kupata Bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu kwenye ofa hii.
  • Bashiri ni lazima ziwe na angalau machaguo 6 ya mechi za mashindano ya wanaume ya UEFA Champions League, UEFA Europa League au UEFA Europa Conference League ili kufuzu. Unaweza kuweka machaguo mengine kutoka mechi tofauti tofauti kwenye mkeka wako.
  • Bashiri ni lazima ziwe na alama za jumla angalau 6.00.
  • Bashiri zako ni lazima ziwe na machaguo angalau 6, kila chaguo liwe na alama 1.20 au zaidi. Unaruhusiwa kuweka machaguo yenye alama chini ya 1.20 kwenye mkeka wako endapo utakua tayari umeshatimiza masharti ya kuwa na machaguo 6 yenye alama zisizopungua 1.20 na alama za jumla angalau 6.00 au zaidi.
  • Bashiri yako iliyofuzu ni lazima ikamilike kati ya tarehe 19/09/23 12:00 – 15/12/23 23:59 ili kufuzu kupata Bashiri ya bure.
  • Ni bashiri zilizopoteza pekee ndizo zitafuzu ofa ya bashiri ya bure, bashiri zilizokua Cancelled, Voided au Cashed-out hazitofuzu.
  • Bashiri zitakazofuzu ni lazima ziwe na chaguo moja tu lililopoteza na machaguo mengine yote ya kwenye mkeka wako ni lazima yashinde.Bashiri zote zinye machaguo yaliyokua cancelled au void hazitofuzu kwenye hii promosheni.
  • Kila bashiri inaweza kufuzu kupata promosheni moja tu ya bima. Kama bashiri yako itafuzu kupata promosheni ya Bima ambapo rejesho la pesa utakalofuzu kulipata ni kubwa au sawa na kiasi ulichokipata kwenye hii promosheni, utapata zawadi moja tu ya Promosheni ya Bima ya mkeka.
Taarifa ya Bashiri ya Bure
  • Bashiri za bure zitawekwa kwenye akaunti za wateja wakati bashiri zilizofuzu zitakapokamilika. Machaguo yote ya kwenye mkeka ni lazima yakamilike kabla ya kuzawadiwa bashiri ya bure.
  • Kiasi cha bashiri ya bure kitakachotolewa hakitozidi 25,000 TSH kwa kila Bashiri ya bure.
  • Kiwango chote cha bashiri ya bure ni lazima kitumike mara moja.
  • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama angalau 1.50.
  • Bashiri za bure zinaweza kutumika katika mechi yoyote ya michezo iliyofuzu.
  • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
  • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
  • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7 tangu tarehe ya uliyopewa.
  • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
  • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
  • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
  • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.