

The Ultimate Combi Challenge: Je unaweza kushinda bashiri ngapi tofauti za Combi? Pata bashiri ya bure kwa kila bashiri ya Combi itakayoshinda!



Kaa tayari kwa the Ultimate Combi Challenge! Opt-in sasa na uanze kuweka bashiri zako za combi. Kwa dau la angalau 500 TSH na alama kuanzia 1.20+ kwa kila chaguo, unaweza kushinda Bashiri za Bure!
Kamilisha Combi Challenges hapo chini ili kuzawadiwa Bashiri ya bure kulingana na idadi ya machaguo yako kwenye mkeka. Unapoweka machaguo mengi zaidi ndivyo unavyoweza kujishindia zawadi nono zaidi ya Bashiri ya Bure!
Machaguo | Bashiri ya Bure (TSH) | Machaguo | Bashiri ya Bure (TSH) |
---|---|---|---|
4 | 500 | 28 | 200,000 |
5 | 750 | 29 | 225,000 |
6 | 1,000 | 30 | 250,000 |
7 | 1,250 | 31 | 300,000 |
8 | 1,500 | 32 | 350,000 |
9 | 2,000 | 33 | 400,000 |
10 | 2,500 | 34 | 450,000 |
11 | 3,000 | 35 | 500,000 |
12 | 4,000 | 36 | 550,000 |
13 | 5,000 | 37 | 600,000 |
14 | 7,500 | 38 | 650,000 |
15 | 10,000 | 39 | 700,000 |
16 | 12,500 | 40 | 750,000 |
17 | 15,000 | 41 | 800,000 |
18 | 17,500 | 42 | 900,000 |
19 | 20,000 | 43 | 1,000,000 |
20 | 25,000 | 44 | 1,150,000 |
21 | 30,000 | 45 | 1,300,000 |
22 | 40,000 | 46 | 1,500,000 |
23 | 50,000 | 47 | 2,000,000 |
24 | 75,000 | 48 | 2,500,000 |
25 | 125,000 | 49 | 3,500,000 |
26 | 150,000 | 50 | 5,000,000 |
27 | 175,000 |
Bashiri Zitakazofuzu:
- Bashiri ni lazima ziwe na dau la angalau 500 TSH.
- Bashiri ni lazima ziwe na machaguo kati ya 4 – 50.
- Machaguo yote kwenye mkeka ni lazima yawe na alama 1.20 au zaidi.
- Machaguo yote kwenye mkeka ni lazima yashinde.
- Bashiri ni lazima ziwe zimekamilika kati ya 01/11/23 00:00 – 30/11/23 23:59.
Jinsi ya kutumia Bashiri yako ya bure:
- Utapata bashiri ya bure 1 kwa kila bashiri itakayoshinda kulingana na kila combi size (idadi ya machaguo) ndani ya kila muda wa promosheni.
- Bashiri ya bure itawekwa moja kwa moja wakati bashiri ya kufuzu inapokamilika.
- Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
- Alama za jumla si chini ya: 1.50
- Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
- Promosheni hii itaendeshwa kuanzia 01/11/23 00:00 – 30/11/23 23:59.
Kufuzu Bashiri ya Bure
- Wachezaji ni lazima wa opt-in kwenye hii promosheni ili kufuzu.
- Dau la bashiri ni lazima liwe angalau 500 TSH.
- Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kwenye hii promosheni. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
- Bashiri ni lazima ziwe na angalau machaguo 4 yenye alama 1.20 au zaidi.
- Bashiri yako iliyofuzu ni lazima ikamilike kati ya tarehe 01/11/23 00:00 – 30/11/23 23:59 ili kufuzu kupata Bashiri ya bure.
- Ni bashiri zilizoshinda pekee zikiwa na idadi iliyotajwa ya machaguo ndizo zitafuzu kupata bashiri ya bure. (Angalia jedwali la malipo kwa taarifa zaidi)
- Bashiri zilizokua Cancelled au Cashed-out hazitofuzu.
Taarifa ya Bashiri ya Bure
- Kila bashiri ya Combi itafuzu kupokea bashiri moja tu ya bure, kulingana na jedwali la malipo. Wachezaji wanaweza kujipatia hadi Bashiri za bure 47 zilizopo.
- Bashiri za bure zitawekwa kwenye akaunti za wateja wakati bashiri zilizofuzu zitakapokamilika. Machaguo yote ya kwenye mkeka ni lazima yakamilike na yawe yameshinda kabla ya kuzawadiwa bashiri ya bure.
- Kiwango chote cha bashiri ya bure ni lazima kitumike mara moja.
- Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama angalau 1.50.
- Bashiri za bure zinaweza kutumika katika mechi yoyote ya michezo iliyofuzu.
- Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
- Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
- Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7 tangu tarehe ya uliyopewa.
- Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
- Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
- Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
- Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
- Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
- Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
- Vigezo na Masharti kuzingatiwa.