Fazi Cash Frenzy Fazi Cash Frenzy

JJiunge na V Club ili kujishindia zawadi za kila wiki. Opt-in hapo chini ili kujiunga na V Club Loyalty na utapata hadi 10,000 TSH ikama zawadi kila wiki! Pia ukicheza moja ya michezo ya Wiki, utapata alama mara mbili na kupata zawadi nono zaidi. Kwa kila 20,000 TSH utakayoiweka kama dau kwenye mchezo wowote utapata alama 1, wakati ukicheza mchezo wa wiki utapata alama 2.

Chagua kujiunga
Step 1
OPT-IN
Slots
Step 2
Nenda kwenye michezo ya Vegas
Deposit
Step 3
Anza Kucheza!
Leaderboard
Chagua kujiunga

Jiunge na V Club Loyalty, pata alama kadri uchezavyo na pata Zawadi ya Bonasi kila wiki week! Pia ukicheza Mchezo wowote wa wiki utapata alama mara mbili na kupata zawadi kubwa zaidi na kwa haraka zaidi! Ni rahisi opt-in hapo juu na ucheze kama kawaida, sisi tutakuzawadia na bonasi ya ziada kila Jumatatu!

Utapata alama kulingana na kiasi cha dau utakachoweka (haijalishi kama utashinda au la) kama ifuatavyo:

 • Kwa kila 20,000 TSH utakayoiweka kwenye michezo yote ya Vegas, Virtual au Lotto utapata alama 1.
 • Cheza mchezo wowote wa wiki na utapata alama 2 kwa kila 20,000 TSH uliyoiweka kwenye mchezo unaoshiriki.

Kila wiki tutakupa bonasi kulingana na alama zako. Kwa kila alama 25 utakazozipata utapokea bonasi ya 500 TSH hadi kima cha juu cha 10,000 TSH.

Kila wiki ya promosheni itaanza kuanzia Jumatatu 00:00 UTC hadi Jumapili 23:59 UTC.

Ili kufuzu, ni lazima u opt-in hapo juu. Utahitajika ku opt-in mara moja na kisha utapokea zawadi ya kila wiki kulingana na alama ulizopata. Kila Jumatatu utapokea zawadi yako ya bonasi ambayo inaweza kutumika kucheza michezo yoyote ifuatayo kwa masharti ya kuzungusha mara 30x. Hiyo ndiyo njia nzuri ya kuanza wiki yenye ushindi!

Ni lazima u OPT-IN ili kushiriki kwenye hii ofa na kisha nenda kwenye michezo ya VEGAS na uanze kucheza!

Cheza mchezo wowote

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya V Club Loyalty itaanza kuanzia tarehe 1 Juni 2023 00:00 UTC hadi tarehe 1 Oktoba 2023 23:59 UTC.
 • Kila wiki ya promosheni itaanza Jumatatu 00:00 UTC hadi Jumapili 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa au kukamilika nje ya wiki ya promosheni hazitahesabika kwenye Zawadi ya Bonasi itakayotolewa Jumatatu inayofuata.
BASHIRI ZITAKAZOFUZU
 • Ni lazima uopt-in kwenye V Club kabla ya kucheza mchezo wowote, bashiri yoyote iliyowekwa kabla hauja opt-in haitohesabika kwenye Zawadi za bonasi za kila wiki.
 • Utahitajika ku opt-in mara moja na utajumuishwa moja kwa moja kwenye ofa kwa wiki zilizosalia.
 • Bashiri zote kwenye michezo ya Vegas, Virtuals na Lotto itahesabika kwenye ofa.
 • Michezo yote itachangia kwa 100% kwenye alama za wachezaji isipokuwa michezo ifuatayo ambayo itachangia kwa 10%
 • Virtual Sports, Live Vegas, SpinWin, Roulette, BlackJack, Baccarat, Poker
 • Kwa kila dau la 20,000 TSH litakalowekwa kwenye michezo utapata alama 1.
 • Kwa kila dau la 20,000 TSH utakaloweka kwenye michezo inayoshiriki utapata alama 2.
 • Kwa michezo ambayo inachangia kwa 10% utahitajika kuweka dau la 200,000 TSH ili kupata alama 1.
 • Alama zilizopatikana kutokana na dau zilizowekwa kwenye michezo kwa wiki nzima zitahesabiwa Jumatatu inayofuata na zawadi ya bonasi itatolewa kulingana na jumla ya alama, na kiasi cha juu kabisa cha bonasi kinachoweza kutolewa ni 10,000 TSH.
Alama za zawadi
 • Kwa alama 25 utakazokusanya utapokea zawadi ya bonasi ya 500 TSH. Kwa mfano kama utapata alama 100 ndani ya wiki utapokea zawadi ya bonasi ya 2,000 TSH
 • Kima cha juu kabisa cha bonasi ambacho kila mchezaji anaweza kupokea kwa wiki ni 10,000 TSH.
Zawadi ya Bonasi
 • Zawadi ya bonasi itawekwa kwenye akaunti yako ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa mahesabu ya alama kila siku ya Jumatatu.
 • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Si michezo yote inachangia, au inachangia kwa kiwango sawa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizowekwa kwenye slots, virtuals, lotto au instant games ndio itahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Michezo yote ya Table Games, Live Vegas, Crash Games na Jackpot haitoshiriki kwenye bonasi.
 • QMichezo iliyofuzu kupata Bonasi itachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri,na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni 10,000 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 10,000 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatatimizwa ni mara 25 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Wachezaji wanaweza kushinda zawadi moja tu ya bonasi kwa wiki.
Jumla
 • Hii ni ofa ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas.
 • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi iliyopo kwanza na baada ya hapo itakatwa kwenye salio la bonasi. Na bonasi inapokua activated bashiri zote zitakazofuzu zitakazokatwa kwenye salio la pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kutumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki. Mifano mingine ya michezo ya kubahatisha isiyo ya haki lakini sio lazima iwe ni kuweka bashiri sawa ya pesa kwenye michezo ya Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka bashiri moja ambazo zipo sawa au zimezidi 20% au Zaidi ya kiwango cha pesa ya bonasi ulichopokea kabla ya kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.