V Club Races V Club Races

Jiunge na V Club na ushinde Mashindano! Shindana hadi kileleni kwenye ubao wa washindi ili kupata zawadi za cash drop na kujishindia sehemu ya zawadi kabambe ya 100,000,000 TSH kama pesa taslimu kwa mwezi wote wa Juni na Julai. Kila siku kutakua na mashindano ya kushiriki, pia kutakua na Mashindano maalumu ya mchezo wa Navigator kwenye Big Race tournament na yatakua na zawadi kabambe ya mshindi wa kwanza ya 5,000,000 TSH !

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo

Sports
Step 2
Zungusha reels

Bonus
Step 3
Shinda zawadi ya pesa taslimu!
Money Bag
CHEZA SASA

Jiunge kwenye mashindano kujishindia zawadi kabambe ya mshindi wa kwanza ya 5,000,000 TSH! Ili kushinda zawadi hii kabambe, cheza mchezo maarufu wa Crash Game Navigator. Utapata alama kutoka kwenye vizidishi vya ushindi kwenye ubao wa washindi wa kila siku ambapo alama za juu zaidi za kila siku zitakua zinaingizwa kwenye ubao wa washindi wa mashindano:

Mashindano ya Navigator Big Race yataanza kuanzia Ijumaa tarehe 2 Juni 2023 hadi Jumapili tarehe 30 Julai 2023.

Kuhusu Mchezo wa Navigator: Umeshajaribu michezo yote, sasa cheza mchezo bora zaidi! Navigator ni mchezo unaoshirikisha wachezaji wengi wa Crash ambao una vizidishi vinavyoongezeka na unaweza kushinda hadi mara 250,000 ya dau lako! Weka bashiri zako kabla ndege haijaanza kuruka, tazama inavyopaa na ushindi wako unavyoongezeka, kisha cash out kabla ndege haijapotelea mawinguni. Kadri unavyoacha ndege iruke kwa muda mrefu, ndivyo unavyoweza kushinda zaidi, lakini hakikisha una cash out kabla huja crash out!

Leaderboard
Place Username Points Prize
1 2****287 3146.5 5,000,000 TSH
2 2****078 463.18 1,000,000 TSH
3 3****132 621.69 500,000 TSH
4 3****007 873.87 200,000 TSH
5 4****685 8082.52 100,000 TSH
6 4****126 642.14 20,000 TSH
7 4****347 31685.94 20,000 TSH
8 4****423 382.54 20,000 TSH
9 4****214 1383.7 20,000 TSH
10 4****232 1972.25 20,000 TSH
MUDA: Siku 59
MWISHO:
Zawadi: 5,000,000 TSH Pesa Taslimu


Mara ya mwisho Ubao wa Washindi umebadilishwa: 25/07/2023

Ubao wa wanaoongoza utaonyesha wachezaji 10 bora na utasasishwa kila siku.

Kila siku kutakuwa na ubao mpya wa washindi ili kupata alama. Alama zitategemea kizidishi chochote cha ushindi, kwa hivyo ikiwa utacash out kwenye 3.0 X utapata alama 3, na ikiwa utacash out kwenye 1,000 X utapata alama 1,000! Shika nafasi ya kwanza katika ubao wa washindi wa kila siku kupata fursa ya kushinda zawadi ya 20,000 TSH na alama zako za juu zaidi kwa siku hio zitaongezwa kwenye Ubao wa washindi wa Mashindano. Ubao wa Washindi wa Mashindano utakua unabadilika kila siku na kuonyesha wachezaji ambao wamekusanya alama za juu zaidi kwa siku husika. .

Ni muda wa kushinda zawadi za pesa taslimu kwenye Mashindano ya V Club Races! Zawadi za Cash Drop leo ni kutoka kwenye michezo ya Fazi na unaweza kushinda sehemu ya 500,000 TSH kwa siku 4 kwa kucheza michezo ya slots inayoshiriki.

Promosheni ya V Club Races Fazi Cash Drops itaanza kuanzia Ijumaa tarehe 28 Julai 2023 00:00 UTC hadi Jumatatu 31 Julai 2023 23:59 UTC.

Kuna zawadi 40 za pesa taslimu zitakazotolewa bila mpangilio za 12,500 TSH.

Ni rahisi, zungusha kwenye moja ya michezo 10 ya Fazu inayoshiriki iliyotajwa hapo chini au yote kwa pamoja ili kupata nafasi ya kujishindia pesa taslimu:
5 Hot Strike
Wild Hot 40
Golden Crown
Giga Hot 40
Pixel Hot 40
Wild Hot 40 free spins
Pirates
Very Hot 5 Extreme
African Treasure
Crystal Hot 40

Ni muda wa kushinda zawadi za pesa taslimu kwenye Mashindano ya V Club Races!Zawadi za Cash Drop leo ni kutoka kwenye michezo ya Netgaming na unaweza kushinda sehemu ya 250,000 TSH kwa siku 3 kwa kucheza michezo ya slots inayoshiriki.

Promosheni ya V Club Races Netgaming Cash Drops itaanza kuanzia Ijumaa tarehe 21 Julai 2023 00:00 UTC hadi Jumapili tarehe 23 Julai 2023 23:59 UTC.

Kuna zawadi 20 za pesa taslimu zitakazotolewa bila mpangilio za 12,500 TSH.

Ni rahisi, zungusha kwenye moja ya michezo 8 ya Netgaming inayoshiriki iliyotajwa hapo chini au yote kwa pamoja ili kupata nafasi ya kujishindia pesa taslimu: Wild Buffalo Bonanza
Lucky Vault
Festival of Fortune
Juicy Gold 100
Three Wild Jokers
Queens of Africa
Fiery Chilli
Master of Fortune

Vigezo & Masharti

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya V Club Races itaanza kuanzia Ijumaa tarehe 2 Juni 2023 00:00 UTC hadi Jumapili tarehe 30 Julai 2023 23:59 UTC.
 • Ubao wa mashindano wa kila siku utakua unaendeshwa kuanzia 00:00 UTC hadi 23:59 UTC.
 • Mashindano ya V Club Races yamegawanyika kwenye matukio yafuatayo:
  • Big Race: Navigator – 2nd June 00:00 UTC – 30th July 23:59 UTC
  • Race 2: Fazi Cash Drops – 2nd June 00:00 UTC – 8th June 23:59 UTC
  • Race 3: Skywind Tournament and Lucky Envelopes – 6th June 00:00 UTC – 8th June 23:59 UTC
  • Race 4: Booming Cash Drops – 9th June 00:00 UTC – 12th June 23:59 UTC
  • Race 5: Booming Cash Drops – 9th June 00:00 UTC – 12th June 23:59 UTC
  • Race 6: Playson Tournament – 9th June 00:00 UTC – 12th June 23:59 UTC
  • Race 7: RubyPlay Cash Drops – 13th June 00:00 UTC – 15th June 23:59 UTC.
  • Race 8: Spinomenal Tournament – 13th June 00:00 UTC – 15th June 23:59 UTC.
  • Race 9: Wazdan Cash Drops – 16th June 00:00 UTC – 19th June 23:59 UTC.
  • Race 10: Smartsoft Tournament – 16th June 00:00 UTC – 19th June 23:59 UTC.
  • Race 11: Fazi Cash Drops – 20th June 00:00 UTC – 22nd June 23:59 UTC
  • Race 12: Pragmatic Tournament – 20th June 00:00 UTC – 21st June 23:59 UTC
  • Race 13: Playson Tournament – 22nd June 2023 00:00 UTC – 25th June 2023 23:59 UTC.
  • Race 14: NetGaming Cash Drops – 23rd June 2023 00:00 UTC – 25th June 2023 23:59 UTC
  • Race 15: Booming Cash Drops – 26th June 2023 00:00 UTC – 29th June 2023 23:59 UTC.
  • Race 16: Spinomenal Tournament – 26th June 00:00 UTC – 28th June 23:59 UTC.
  • Race 17: Wazdan Cash Drops – 30th June 00:00 UTC – 3rd July 23:59 UTC.
  • More coming soon!
 • Bashiri zote zilizowekwa au kukamilika nje ya muda wa promosheni hazitahesabika kwenye hii promosheni.
Mashindano ya Mchezo wa Navigator
 • Bashiri za pesa taslimu zilizofuzu zinatakiwa kuwekwa kwenye mchezo wa Navigator kutoka Solidicon.
 • Hakuna kima cha chini cha dau kinachohitajika ili kufuzu.
 • Ili kushiriki kwenye mashindano ni lazima uopt-in ndani ya mchezo kila siku kwa kipindi chote cha promosheni. Ni bashiri zilizowekwa kwenye mchezo baada ya kuopt-in pekee ndizo zitahesabika na kupata alama kwenye ubao wa washindi.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee kwenye michezo iliyofuzu ndio zitahesabika ( Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Ubao wa kila siku wa Washindi wa Mashindano
 • Kutakua na ubao mmoja wa washindi kwa siku ndani ya muda wa promosheni. Wachezaji watakusanya alama na kuendelea kupanda juu kwenye ubao wa washindi, kukiwa na zawadi moja ya pesa taslimu kwa wachezaji wenye alama nyingi zaidi kwa siku.
 • Kila mchezaji akifanya cash out ya kizidishi cha ushindi atapata alama zitakazochangia kwenye alama zao za jumla, na zitakua zinaonekana kwenye ubao wa washindi wa kila siku, kwa mfano: kizidishi cha ushindi cha 123.12x kitakua sawa na alama 123.12
 • Alama za vizidishi vikubwa zaidi vya siku zitabadilika moja kwa moja pale vizidishi vitakapokua cashed out.
 • Wachezaji lazima waopt-in katika Mashindano ya Kila Siku. Kila mchezaji atapata utambulisho wa kipekee kwenye mashindano kwa ajili ya Ubao wa washindi.
 • Ubao wa washindi wa Kila Siku unabadilika kwenye muda halisi na wachezaji wanaweza kuona Ubao wa washindi wakati wowote ndani ya mchezo kwa hiari yao wenyewe.
 • Ubao wa washindi wa Kila Siku unajumuisha wachezaji 10 wa kwanza ambao wamekusanya idadi kubwa zaidi ya alama wakati wa mashindano ndani ya siku moja.
 • Ikiwa wachezaji wawili au zaidi wanamaliza katika nafasi moja kwenye Ubao wa washindi, mchezaji ambaye alipata alama hizo wa kwanza ndio atapata zawadi kubwa zaidi.
 • Mchezaji aliejilimbikizia alama nyingi zaidi hadi mwisho wa muda wa promosheni atashinda zawadi ya kwanza ya 25,000 TSH.
 • Zawadi za pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa Ubao wa washindi wa kila siku.
 • Alama za ubao wa washindi zitakua zinabadilika kwenye muda halisi.
Ubao wa Washindi wa Mashindano
 • Ubao wa washindi wa Big Race utakua na wachezaji 10 wa kwanza wenye alama kubwa zaidi kutoka kwenye vizidishi vya ushindi vya kila siku kutoka kwenye Mashindano ya kila siku.
 • Mchezaji ambae atakua amejilimbikizia alama nyingi zaidi kwa siku moja kwenye mashindano ya kila siku atapata zawadi ya kwanza siku ya mwisho ya muda wa promosheni, na wa pili atapata zawadi ya pili na kuendelea.
 • Zawadi za pesa taslimu zitawekwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa matokeo ya ubao wa washindi.
 • Ubao wa washindi utabadilishwa mara moja kwa siku, kufuatia kuthibitika kwa matokeo ya mashindano ya kila siku.
 • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering) na zinaweza kutolewa papo hapo.
Vigezo vya Cash Drops
 • Bashiri zilizofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye michezo inayoshiriki kama ilivyoelezwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
 • Wachezaji lazima waweke angalau bashiri moja kwa dau lolote kwenye moja ya michezo inayoshiriki ili kufuzu kupokea zawadi za pesa taslimu zinazotolewa bila mpangilio. Ikiwa kama kuna kima cha chini cha dau kitakachohitajika ili kufuzu, taarifa hiyo itatajwa katika Maelezo ya Mashindano hapo juu.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee kwenye michezo iliyofuzu ndio zitahesabika ( Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Idadi ya washindi wote na maelezo yote kamili yameainishwa kwenye ukurasa wa taarifa ya Mashindano hapo juu.
 • Zawadi za Cash Drops zitawekwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika na kukubalika kwa droo.
 • Zawadi za Cash Drops hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering) na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla ipo kwenye mfumo wa USD au EUR inaweza kuathiriwa na mabadiliko ya viwango vya kubadilisha sarafu.
Jumla
 • Hii ni ofa ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas.
 • Zawadi ya jumla na dau la chini kwa mashindano au cash drops race vipo kwenye mfumo wa USD au EUR vinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya viwango vya kubadilisha sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa (e.g.alama za uhakika zilizoboreshwa; bonasi;bashiri za bure;alama zilizoboreshwa; na rejesho la pesa) na matangazo mengine na ofa.
 • Tunahifadhi haki ya kutenga, kufuta au kuondoa Bashiri za bure na ushindi wa Bashiri za bure kutoka kwenye akaunti zilizogundulika kuwa za udanganyifu.
 • igezo na Masharti Kuzingatiwa.