Fazi Cash Frenzy Fazi Cash Frenzy

Shiriki kwenye V Club Virtual Challenge kila wiki kwa mwezi wote wa Juni & Julai ili kushinda wiki ya Bashiri za Bure! Kila wiki, wachezaji 25 watashinda Bashiri za Bure za michezo ya Virtual kila siku kwa wiki moja, na katika wiki ya mwisho unaweza kushinda wiki ya Bashiri za Bure za Michezo.

Cheza sasa
Step 2
Weka bashiri zako
Deposit
Step 3
Shinda Bashiri za Bure za wiki nzima!
Leaderboard
Cheza sasa

Kila wiki unaweza kushinda Wiki ya Bashiri za Bure katikaV Club Virtual Challenge. Cheza michezo yako pendwa yaVirtual Sports games, na kila wiki wachezaji 25 wenye bahati watashinda Bashiri za Bure za michezo ya Virtual kila siku kwa siku 7, na katika wiki ya mwisho unaweza kushinda wiki ya Bashiri za Bure za Michezo ili kuanza msimu Mpya vyema!

Ofa ya V Club Virtual Challenge itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 5 Juni hadi Jumapili tarehe 30 Julai.

Ni rahisi, Cheza mchezo wowote wa Virtual Sports game na kwa kila 2,000 TSH utakayoiweka, utapata tiketi ya kushiriki droo ya kila wiki. Kila wiki, wachezaji 25 watachaguliwa na watapata bashiri ya Bure ya 2,000 TSH kwenye akaunti zao kutumika kwenye michezo ya Virtual Sports games kila siku kwa siku 7. Katika wiki ya mwisho, washindi watapokea Bashiri ya Bure ya 2,000 TSH kila siku kwa siku 7. Bashiri zote za Bure za Michezo ya Virtual itakuwa na masharti ya kuzungusha mara 10 na inaweza kutumika kwenye mchezo wowote wa Virtual Sports Game. Bashiri ya Bure ya Michezo inaweza kutumika kwenye mechi zote zenye alama si chini ya 1.5.

Ni michezo ya Virtual Sports games pekee ndio itafuzu. Virtual Crash games na instants haitohusika.

Utangulizi – Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya V Club Virtual Challenge itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 5 Juni 00:00 UTC hadi Jumapili tarehe 30 Julai 23:59 UTC.
 • Wiki za Promosheni zitakua kama ifuatavyo:
  • Semaine 1: Wiki ya 1: 05/06/23 00:00 UTC hadi 11/06/23 23:59 UTC
  • Wiki ya 2: 12/06/23 00:00 UTC hadi 18/06/23 23:59 UTC
  • Wiki ya 3: 19/06/23 00:00 UTC hadi 25/06/23 23:59 UTC
  • Wiki ya 4: 26/06/23 00:00 UTC hadi 02/07/23 23:59 UTC
  • Wiki ya 5: 03/07/23 00:00 UTC hadi 09/07/23 23:59 UTC
  • Wiki ya 6: 10/07/23 00:00 UTC hadi 16/07/23 23:59 UTC
  • Wiki ya 7: 17/07/23 00:00 UTC hadi 23/07/23 23:59 UTC
  • Wiki ya 8: 24/07/23 00:00 UTC hadi 30/07/23 23:59 UTC
 • Bashiri zozote zitakazowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri Zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu zinahitajika kuwekwa kwenye mchezo wowote Bunifu ikiwemo michezo kutoka: Solidicon, Kiron, Incentive, LEAP na 1×2 Gaming. Bashiri zilizowekwa kwenye michezo bunifu ya Crash games au instant games hazitofuzu.
 • Kwa kila 2,000 TSH itakayojilimbikiza kama dau kwenye michezo iliyofuzu utapokea tiketi moja ya kuingia kwenye droo ya kila wiki.
 • Ni bashiri zilizowekwa kwa pesa taslimu pekee ndizo zitahesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya Bonasi hazitohesabika).
Zawadi za kila Wiki
 • Kila wiki wachezaji 25 watachaguliwa bila mpangilio siku ya Jumatatu inayofuata ndani ya wiki husika ya wiki ya promosheni.
 • Zawadi ya Bashiri ya Bure kwa wiki ya 1 hadi ya 7 itakua ni Bashiri za Bure za Michezo Bunifu.
 • Zawadi ya Bashiri ya Bure kwa wiki ya 8 itakua ni Bashiri za bure za Michezo.
 • Zawadi ya kila wiki itakuwa ni Bashiri ya Bure yenye thamani ya 2,000 TSH itakayoingizwa moja kwa moja kwenye akaunti ya washindi kila siku kwa siku 7 zifuatazo baada ya wiki ya kufuzu. Bashiri za Bure za kwanza za kila siku zitatolewa kwenye akaunti za wachezaji ndani ya masaa 72 baada ya kumalizika kwa muda wa kila wiki ya promosheni.
Bashiri za Bure za Michezo Bunifu
 • Kiasi cha bonasi kinatakiwa kuzungushwa angalau mara 10 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (yaani kabla ya kuweza kutoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni mara 25 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu./li>
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi ya Wiki ya Bashiri za bure za Michezo Bunifu mara moja tu kwenye wiki ya promosheni.
Bashiri za Bure za Michezo
 • Bashiri za bure haziwezi kutumika kwenye mchezo mmoja mara mbili.
 • Kiasi chote cha kila Bashiri ya bure lazima kitumike kuweka bashiri mara moja.
 • Bashiri zinazowekwa kwa kutumia Bashiri ya Bure ni lazima ziwe na alama zisizopungua 1.50.
 • Baada ya kutumia Bashiri ya Bure kwenye soko fulani, hautaweza kutumia tena Bashiri ya Bure kwenye soko hilo hilo.
 • Bashiri ya bure ita expire ndani ya siku 14 baada ya kutolewa.
 • Jaribio lolote la kuweka matokeo ya masoko tofauti kwa wakati mmoja litasababisha Bashiri ya Bure kuondolewa na kunaweza kukuzuia kupokea ofa yoyote ya matangazo hapo baadaye.
 • Wachezaji wanaweza kushinda zawadi ya wiki moja tu ya Bashiri za bure za Michezo kwa wiki ya 8 pekee.
Jumla
 • Hii ni ofa ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Bet pekee
 • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi zilizopo kwanza na baada ya hapo zitakatwa kutoka kwenye salio la bonasi. Salio la bonasi linapokua activated basi bashiri zote zilizofuzu za pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti yoyote ya ubashiri (wagering requirements).
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kuitumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi ya bonasi, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.