Booming Cash Drops Booming Cash Drops

Vegas Holiday Festival ni sherehe ya Ushindi! Ikiwa na wiki 8 za kusherehekea, Jiunge kusherehekea na ushinde zaidi ya zawadi 35,250,000 TSH za pesa taslimu na zawadi nyingine. Iwe cash drops, makombe, rejesho la pesa au ushindi wa surprise kadri unavyocheza, kila mtu atapata kitu!

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo
Slots
Step 2
Zungusha reels
Deposit
Step 3
Shinda zawadi za pesa taslimu!
Leaderboard
CHEZA SASA

Vegas Holiday Festival ni sherehe ya Ushindi! Festival itakua kwa wiki 8, ikiwa na njia mpya za kusherehekea na ushindi mpya kila wiki! Jiunge kusherehekea na ushinde zaidi ya zawadi 35,250,000 TSH za pesa taslimu na zawadi nyingine. Iwe cash drops, mashindano, rejesho la pesa au ushindi wa surprise kadri unavyocheza, kila mtu atapata kitu!

Ofa ya Vegas Holiday Festival itaanza Jumatatu ya tarehe 6 Juni hadi Jumapili ya tarehe 31 Julai.

Hii ni wiki ya Rejesho la Pesa, ambapo unaweza kujishindia hasara yoyote ulioipata kwa wiki hadi 470,000 TSH! Wachezaji 5 wenye bahati watachaguliwa bila mpangilio na watapewa hasara yoyote walioipata kwenye mchezo wowote wa Vegas kwa wiki kama pesa taslimu siku ya Jumatatu, hadi 470,000 TSH!

Ni rahisi, weka dau la angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye mchezo wowote wa Vegas au Lotto ili kufuzu, kwanini usichague moja ya michezo hii kabambe, na kama hautoshinda utapata rejesho la pesa yako:

PROMOTION PERIOD
 • Promosheni ya Vegas Holiday Festival itaanza Jumatatu ya tarehe 6 Juni 00:00 CET hadi Jumapili ya tarehe 31 Julai 23:59 CET.
 • Wiki za promosheni zitakua kama ifuatavyo:
  • Wiki ya 1: Jumatatu tarehe 6 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 12 Juni 23:59 CET
  • Wiki ya 2: Jumatatu tarehe 13 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 19 Juni 23:59 CET
  • Wiki ya 3: Jumatatu tarehe 20 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 26 Juni 23:59 CET
  • Wiki ya 4: Jumatatu tarehe 27 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 3 Julai 23:59 CET
  • Wiki ya 5: Jumatatu tarehe 4 Julai 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 10 Julai 23:59 CET
  • Wiki ya 6: Jumatatu tarehe 11 Julai 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 17 Julai 23:59 CET
  • Wiki ya 7: Jumatatu tarehe 18 Julai 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 24 Julai 23:59 CET
  • Wiki ya 8: Jumatatu tarehe 25 Julai 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 31 Julai 23:59 CET
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Wiki ya 7: Wiki ya Rejesho la Pesa
 • Wachezaji wanatakiwa kupoteza angalau $1 kwa ujumla kwenye mchezo wowote wa Vegas au Lotto ili kufuzu kupokea ofa hii.
 • Wachezaji 5 waliofuzu watachaguliwa bila mpangilio siku ya Jumatatu tarehe 25 Julai.
 • Washindi watapokea rejesho la pesa kwenye bashiri zote zilizowekwa kwenye mchezo wowote hadi 470,000 TSH
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Kima cha juu ambacho mchezaji mmoja anaweza kupokea ni 470,000 TSH.
 • Zawadi ya Rejesho la Pesa haitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
Jumla
 • Kiasi cha zawadi kimewekwa kwenye mfumo wa USD na kinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.