VFL tournie VFL tournie

Bonasi ya Ushindi imezidishwa mara mbili hadi 100% kwenye bashiri zote zenye machaguo 10 ya mchezo wa VFL, mchezo bora zaidi bunifu wa Ligi ya Mpira wa Miguu! Weka bashiri zako na kwa kila ushindi utakaoupata pia utapata alama kupanda kwenye ubao wa washindi wa Mashindano yetu ya Bonasi ya Ushindi ikiwa na zawadi ya 1,600,000 TSH kama bonasi kushindaniwa kila wiki kwa wiki 3!

Step 1
Cheza mchezo wa VFL
Sports
Step 2
Pata Bonasi ya ushindi ya 100%
Bonus
Step 3
Shinda zawadi ya mashindano ya Bonasi ya Ushindi!
Money Bag

Kwa wiki 3 zijazo unaweza kupata ushindi mara mbili kwenye mchezo wa VFL ikiwa pamoja na boost ya ushindi ya hadi 100%. PIA kwa kila ushindi utakaoupata, utapata alama kupanda kwenye ubao wa washindi kwenye Mashindano yetu ya Bonasi ya Ushindi, yakiwa na zawadi ya bonasi ya 1,600,000 TSH kutolewa kila wiki kwa wiki 3 zijazo. Cheza mchezo mpya wa VFL virtual football game, ukiwa na ligi zako pendwa ikiwemo English Premiership na La Liga. Tutakupa bonasi ya ushindi mara mbili hadi 100% kwenye bashiri zako zenye machaguo 10, PIA kila wiki kwa wiki 3 zijazo unaweza kujipatia sehemu yako ya ushindi kwenye Mashindano ya kila wiki ya Bonasi ya Ushindi.

Promosheni ya VFL Win Bonus Tournament itaanza kuanzia Ijumaa tarehe 10 Novemba hadi Alhamisi tarehe 30 Novemba 2023.

Double offer on the VFL:

Kwa kipindi chote cha promosheni, Bonasi ya ushindi itazidishwa mara mbili kutoka 50% hadi 100% kwenye bashiri zote zenye machaguo 10. Ni rahisi, weka bashiri yako yenye machaguo 10 na bonasi yako ya ushindi itaingizwa moja kwa moja kwenye ushindi wako.

Mashindano ya Bonasi ya Ushindi ni kulingana na ushindi, kwa kila 2,600 TSH utakayoshinda kwenye mchezo wa VFL utapata alama 1 kwenye ubao wa washindi.

Ubao wa washindi wa sasa:

Ubao wa washindi
Nafasi Jina la mtumiaji Alama Zawadi
1 2******78000 60 500,000 TSH
2 2******96241 11 250,000 TSH
3 2******41919 2 125,000 TSH
4 2******20265 2 50,000 TSH
5 Mshindi wa 5 50,000 TSH
6 Mshindi wa 6 50,000 TSH
7 Mshindi wa 7 50,000 TSH
8 Mshindi wa 8 50,000 TSH
9 Mshindi wa 9 50,000 TSH
10 Mshindi wa 10 50,000 TSH
MUDA:Siku 7
MWISHO:
ZAWADI YA JUMLA: 1,600,000 TSH

Mara ya mwisho ubao wa washindi umebadilishwa: 30/11/2023

Ubao wa washindi utaonyesha wachezaji 10 wa kwanza na utakua unabadilishwa kila siku.

Kwa kila 2,600 TSH utakayoshinda kwenye mchezo wa VFL game, utapata alama 1 kwenye ubao wa washindi. Alama ndio zitakupa nafasi kwenye ubao wa washindi, na wachezaji 25 wa kwanza watajishindia zawadi ya bonasi kama ilivyooneshwa kwenye ubao wa washindi hapo juu.

Zawadi zote za bonasi zitaingizwa kwenye akaunti za washindi zikiwa na masharti ya kuzungishwa mara 20X/Wagering Requirement na zinaweza kutumika kwenye mchezo wa VFL kutoka Solidicon pekee.

Vigezo & Masharti

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Mashindano ya Bonasi ya Ushindi yataanza Ijumaa tarehe 10 Novemba 2023 00:01 UTC hadi Alhamisi tarehe 30 Novemba 2023 23:59 UTC.
 • Mashindano ya kila wiki ya Bonasi ya Ushindi yataendeshwa kama ifuatavyo:
  • Wiki ya 1: 10/11/23 00:00 UTC hadi 16/11/23 23:59 UTC
  • Wiki ya 2: 17/11/23 00:00 UTC hadi 23/11/23 23:59 UTC
  • Wiki ya 3: 24/11/23 00:00 UTC hadi 30/11/23 23:59 UTC
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kwenye hii promosheni.
Boost ya Bonasi ya Ushindi
 • Bonasi ya Ushindi ya mara mbili inapatikana kwenye mchezo wa VFL virtual game kutoka Solidicon pekee.
 • Bonasi ya ushindi itaboreshwa kutoka 50% hadi 100% kwa bashiri zenye machaguo 10 au zaidi.
 • Jumla ya bonasi ya ushindi ambayo kila bashiri ya kufuzu itapata itaonyeshwa kwenye mkeka wa mchezo husika na itaongezwa moja kwa moja kwenye ushindi wako.
Bashiri Zitakazofuzu
 • Bashiri zilizofuzu zinatakiwa ziwekwe kwenye mchezo wa VFL kutoka Solidicon.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitahesabika kwenye mashindano (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Ubao wa Washindi
 • Promosheni ya Mashindano ya Bonasi ya Ushindi unajumuisha mashindano 3 ya kila wiki. Jumla ya zawadi ya kila wiki ni 1,600,000 TSH ikiwa na zawadi za bonasi 25.
 • Zawadi zitagawiwa kwa wachezaji kulingana na alama ya mwisho iliyotolewa kwenye ubao wa washindi mwisho wa Mashindano.
 • Ubao wa washindi utapangwa kulingana na alama, na alama inategemea ushindi kutoka kwenye mchezo wa VFL. Kila unaposhinda 2,600 TSH utapata alama 1. Alama hizo zitaendelea kujilimbikiza kwa pamoja katika kipindi chote cha mashindano.
 • Ubao wa washindi utabadilishwa kila siku na utakuwa na wachezaji wenye alama za juu zaidi 10. Ubao wa mwisho utachapishwa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa promosheni.
 • Kama wachezaji wawili au zaidi watamaliza kwenye nafasi sawa kwenye ubao wa washindi, mchezaji ambaye amefikia alama hizo wa kwanza, ndie atapokea zawadi kubwa zaidi.
 • Ubao wa washindi utabadilishwa kila siku.
Zawadi za Ubao wa Washindi
 • Kutakua na zawadi 25 za bonasi kwenye mashindano.
 • Zawadi ya bonasi itawekwa kwenye akaunti yako ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa matokeo ya mashindano.
 • Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.Si michezo yote itachangia, au itachangia kwa kiwango sawa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Ni bashiri zilizowekwa kwenye mchezo wa VFL kutoka Solidicon ndio utahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Ni michezo wa VFL pekee ndio itachangia kwenye kutimiza masharti ya ubashiri,na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni $5 (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi $5 hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatatimizwa ni mara 20 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
 • Jumla
  • Hii ni ofa hii ni kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.