Virtual Football Tournament Virtual Football Tournament

Kipenga kimepulizwa, maana yake Mashindano ya Virtual Football tournament yameanza! Cheza kwenye michezo ya Virtual football inayoshiriki na kwa kila ushindi utakaoupata utapata alama za kupanda kwenye ubao wa washindi na kujishindia sehemu ya 750,000 TSH pesa taslimu!

CHEZA SASA
Step 2
Weka bashiri zako
Deposit
Step 3
Panda kwenye ubao wa washindi kujishindia zawadi ya pesa taslimu!
Leaderboard
CHEZA SASA

Unaweza kushinda sehemu ya 750,000 TSH pesa taslimu ndani ya wiki 2 kwenye Mashindano yetu ya Virtual Football! Cheza moja ya michezo ya Virtual games inayoshiriki, pata alama na kwa kila ushindi utapanda kwenye ubao wa washindi na kujishindia moja ya zawadi 20 za pesa taslimu!

Promosheni ya Virtual Football Tournament itaanza Ijumaa tarehe 1 Disemba hadi Jumapili tarehe 10 Disemba 2023.

Jinsi ya Kushinda:
Zungusha kwenye mchezo wowote unaoshiriki (hakuna kima cha chini cha dau). Kila ushindi utakupatia alama kulingana na kizidishi cha ushindi ( kwa mfano, kama utaweka bashiri ya 3,000 TSH na ukashinda 30,000 TSH, utazawadiwa alama 10 ). Alama utakazozipata zitajumlishwa ndani ya kipindi chote cha mashindano. Unavyokusanya alama nyingi zaidi, ndivyo unavyozidi kupanda juu zaidi kwenye ubao wa washindi. Wachezaji 100 wa kwanza kwenye ubao wa washindi watashinda sehemu ya zawadi ya 750,000 TSH!


PRIZE POOL
From place To place Prize Sum
1 1 210,000 TSH 210,000 TSH
2 2 120,000 TSH 120,000 TSH
3 3 60,000 TSH 60,000 TSH
4 10 30,000 TSH 210,000 TSH
11 20 15,000 TSH 150,000 TSH
Total 750,000 TSH


Zawadi ya jumla ni 750,000 TSH! Pesa Taslimu ambayo itatolewa kwa washindi 20. Ni rahisi, cheza moja ya michezo au michezo yote inayoshiriki hapo chini kupata nafasi ya kujishindia zawadi za pesa taslimu:

SolidIcon:
 • Instant Premier Football – Italian Serie A
 • Instant Premier Football – English League
 • Instant Premier Football – French Ligue 1
 • Instant Premier Football – Spanish La Liga
Leap:
 • Football Cup World
 • Football Penalty Duel
 • Football Streak
 • Football Streak Champions
 • Virtual Football
 • Virtual Football Cup
 • Virtual Football League
Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Virtual Football Tournament itaanza kuanzia Ijumaa tarehe 1 Disemba 00:01 hadi Jumapili tarehe 10 Disemba 2023 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Mashindano
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo inayoshiriki kama ilivyo orodheshwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
 • Wachezaji ni lazima waweke bashiri angalau moja kwa dau lolote kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kufuzu kupata moja ya zawadi za pesa taslimu. Kama kuna kima cha chini cha dau ili kufuzu kwenye Mashindano itaainishwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
 • Kushiriki katika mashindano, utalazimika ku opt in ndani ya michezo inayoshiriki, ama kwa kubonyeza chaguo la opt-in ndani ya mchezo au utaingia moja kwa moja unapozungusha spin kwenye mchezo wowote inayoshiriki na kwa dau lilifuzu.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Kila ushindi utakupatia alama zinazotegemea kizidishi cha ushindi ambacho kitatajwa kwenye taarifa za mashindano hapo juu : kwa kila $1 utakayoshinda utapata alama 1 (kwa mfano, ikiwa unaweka dau la 3,000 TSH na kushinda 30,000 TSH, utapewa alama 10). Alama ulizopata hujumlishwa kipindi chote cha Mashindano.
 • Kila mchezaji atapewa utambulisho binafsi wa mashindano kwa ajili ya Ubao wa washindi.
 • Ubao wa washindi unasahishwa kwa muda halisi na wachezaji wanaweza kuona ubao wa washindi wa muda halisi wakati wowote wanapocheza mchezo iliyofuzu kwa hiari yao, isipokuwa kama imeelezwa vinginevyo kwenye Maelezo ya Mashindano hapo juu.
 • Ubao wa washindi utajumuisha wachezaji waliokusanya idadi kubwa zaidi ya alama wakati wa mashindano.
 • Ikiwa wachezaji wawili au zaidi watamaliza kwenye nafasi sare kwenye ubao wa washindi, mchezaji ambaye alifikia alama kwanza atapata zawadi kubwa zaidi.
 • Kiasi cha zawadi za pesa taslimu kinachoonekana kwenye mchezo kitakua kwenye mfumo wa sarafu unayotumia kuchezea.
 • Ni mizunguko iliyokamilika pekee ndio itafuzu kuingia kwenye Ubao wa washindi.
 • Zawadi ya jumla ni 750,000 TSH! Pesa Taslimu itatolewa kwa washindi 20.
 • Zawadi za Pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 kwenye akaunti za washindi baada ya kukamilika na kupitishwa kwa matokeo ya mashindano.
 • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada/0x wagering na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa EUR au USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
 • Hii ni ofa kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa.(mf. guaranteed best price; bonasi; bashiri za bure; enhanced prices; na rejesho maalumu la pesa) na matangazo mengine yoyote na ofa
 • Tuna hifadhi haki ya kumtenga, kufuta au kuondoa Bashiri ya bure na ushindi wote uliotokana na bashiri ya bure kutoka kwenye akaunti zitakazobainika zimefanya ubadhilifu.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.