UEFA Challenge UEFA Challenge

Tunatakiwa kusubiri hadi Novemba kuanza kwa Kombe la Dunia, ila unaweza kushindana kwenye Kombe la Dunia kwenye michezo ya Virtuals mwezi June! Ikiwa na mabingwa 10 watakaoshinda bashiri za bure mwezi mzima kwa ajili ya michezo yako yote pendwa ya Virtual. Pamoja na wachezaji wote watakaokua kwenye 5 bora kila wiki watapata bonasi ya 23,500 TSH

CHEZA SASA
Step 2
Chagua bashiri zako
Bonus
Step 3
Shinda Bashiri za Bure kwenye mchezo wa Instant Football mwezi mzima!
Money Bag
play NOW

Week 1 Leaderboard standings:

Leaderboard
Place Username Points Prize
1 2*****7 1,025 23,500 TSH
2 3*****6 411 23,500 TSH
3 3*****4 380 23,500 TSH
4 4*****0 360 23,500 TSH
5 3*****8 355 23,500 TSH
Duration:7 days
Ends in:

Leaderboard last update: 28/06/2022

Kombe la Dunia kwenye mchezo wa Mpira wa Miguu ni hadi Novemba mwaka huu, lakini hatuwezi kusubiri hivyo tutafanya Kombe la Dunia kwenye michezo ya Virtuals! Weka bashiri kwenye timu zako pendwa za dunia nzima, na utuonyeshe ujuzi wako ambapo washindi wa kwanza watakua Mabingwa wa Kombe la Dunia kwenye michezo ya Virtual! Tuna zawadi 5 za kila wiki za bonasi ya 23,500 TSH na na zawadi 10 za jumla kwa mabingwa za 23,500 TSH bonasi ya michezo ya Virtuals kila siku kwa mwezi mzima kwa washindi wa kwanza! for the top winners!

Ofa ya Kombe la Dunia kwenye michezo ya Virtuals itaanza kuanzia Jumatano ya tarehe 1 hadi Jumanne ya tarehe 28 Juni.

Ni rahisi, cheza mchezo wowote wa Virtuals bila kujali dau na utapata alama kwenye ushindi wako ili kushinda zawadi za kila wiki na za ubingwa. Kila wiki washindi 5 wa kwanza watajishindia bonasi ya 23,500 TSH kwenye michezo ya Virtuals, na washindi wa kwanza kwa wiki 4 watajishindia bonasi ya 23,500 TSH kila siku kwa mwezi mzima wa Julai kutumika kwenye michezo yote ya Virtuals. Zawadi zote za Bonasi ya michezo ya Virtuals zitakua na masharti ya kuzungushwa angalau mara 10x wagering requirement.

Champions Leaderboard standings:

Leaderboard
Place Username Points Prize
1 4*****4 3,560 Month of Virtuals Bonus
2 2*****7 3,166
3 4*****2 2,172
4 3*****5 1,897
5 3*****4 1,695
Duration:28 Days
Ends in:

Leaderboard last update: 28/06/2022

Kombe la Dunia kwenye mchezo wa Mpira wa Miguu ni hadi Novemba mwaka huu, lakini hatuwezi kusubiri hivyo tutafanya Kombe la Dunia kwenye michezo ya Virtuals! Weka bashiri kwenye timu zako pendwa za dunia nzima, na utuonyeshe ujuzi wako ambapo washindi wa kwanza watakua Mabingwa wa Kombe la Dunia kwenye michezo ya Virtual! Tuna zawadi 5 za kila wiki za bonasi ya 23,500 TSH na zawadi 10 za jumla kwa mabingwa za 23,500 TSH bonasi ya michezo ya Virtuals kila siku kwa mwezi mzima kwa washindi wa kwanza!

Ofa ya Kombe la Dunia kwenye michezo ya Virtuals itaanza kuanzia Jumatano ya tarehe 1 hadi Jumanne ya tarehe 28 Juni.

Ni rahisi, cheza mchezo wowote wa Virtuals bila kujali dau na utapata alama kwenye ushindi wako ili kushinda zawadi za kila wiki na za ubingwa. Kila wiki washindi 5 wa kwanza watajishindia bonasi ya 23,500 TSH kwenye michezo ya Virtuals, na washindi wa kwanza kwa wiki 4 watajishindia bonasi ya 23,500 TSH kila siku kwa mwezi mzima wa Julai kutumika kwenye michezo yote ya Virtuals. Zawadi zote za Bonasi ya michezo ya Virtuals zitakua na masharti ya kuzungushwa angalau mara 10 wagering requirement.

Vigezo & Masharti

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Virtuals World Cup itaanza kuanzia Jumatano ya tarehe 1 Juni 00:00 hadi Jumanne tarehe 28 Juni 23:59.
 • Wiki za Promosheni zitakua kama ifuatavyo
  • Wiki ya 1: Jumatano tarehe 1 00:00 CET hadi Jumanne tarehe 7 Juni 23:59 CET
  • Wiki ya 2: Jumatano tarehe 8 00:00 CET hadi Jumanne tarehe 14 Juni 23:59 CET
  • Wiki ya 3: Jumatano tarehe 15 00:00 CET hadi Jumanne tarehe 21 Juni 23:59 CET
  • Wiki ya 4: Jumatano tarehe 22 00:00 CET hadi Jumanne tarehe 28 Juni 23:59 CET
 • Bashiri zozote zitakazowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri Zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu zinahitajika kuwekwa kwenye mchezo wowote wa Virtuals (isipokua The Aviator).
 • Ushindi wowote utachangia kwenye alama za jumla za mchezaji. Kwa kila 2,350 TSH utakayoishinda utapata alama 1. Wachezaji 5 wa kwanza wenye alama kubwa zaidi wiki nzima watajishindia zawadi ya kila wiki, na wachezaji 1 wa kwanza wenye alama za juu zaidi kwa wiki 4 watashinda zawadi Kombe la Dunia.
 • Alama za jumla zinapatikana kwa kujumlisha alama zote zilizopatikana kwenye ushindi wa bashiri zilizowekwa kwenye mchezo wowote wa Virtuals.
 • Wachezaji watafuzu kupata zawadi za kila wiki, kama walicheza au hawakucheza kwenye wiki iliyopita.
 • Ni bashiri zilizowekwa kwa pesa taslimu pekee ndizo zitahesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya Bonasi hazitohesabika).
Zawadi za kila Wiki
 • Kila wiki wachezaji 5 wa kwanza wenye alama za juu zaidi watapata bonasi ya 23,500 TSH kutumika kwenye mchezo wowote wa Virtuals (isipokua mchezo wa The Aviator).
 • Kama wachezaji watakua na alama sare hadi mwisho wa wiki ya promosheni, mchezaji wa kwanza kupata alama hizo atawekwa juu ya mwenzie.
 • Zawadi za kila wiki zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kuisha kwa kila wiki ya promosheni.
 • Kiasi cha bonasi kinatakiwa kuzungushwa angalau mara 10 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (yaani kabla ya kuweza kutoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi moja tu ndani ya kila wiki ya promosheni.
Zawadi za Ubingwa
 • Kwa muda wa wiki 4 za promosheni wachezaji 10 wa kwanza (TZ player) wenye alama kubwa zaidi watajishindia bonasi ya 23,500 TSH kila siku mwezi Julai kutumika kwenye mchezo wowote wa Virtuals (isipokua mchezo wa The Aviator).
 • Zawadi ya Ubingwa itawekwa kila siku kwenye akaunti za washindi kuanzia Ijumaa tarehe 1 Julai hadi Jumapili tarehe 31 Julai.
 • Kiasi cha bonasi kinatakiwa kuzungushwa angalau mara 10 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (yaani kabla ya kuweza kutoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 5,875,000 TSH.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi moja tu ya Ubingwa na zawadi 4 za kila wiki.
 • Jumla
  • Hii ni promosheni ya mtandaoni kwenye tovuti zote za Premier Bet zinazoshiriki
  • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi zilizopo kwanza na baada ya hapo zitakatwa kutoka kwenye salio la bonasi. Salio la bonasi linapokua activated basi bashiri zote zilizofuzu za pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti yoyote ya ubashiri (wagering requirements).
  • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kuitumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
  • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.