Vodacom Deposit Bonus Vodacom Deposit Bonus

Pata zaidi unapoweka salio kupitia mtandao wa Vodacom! Kwa muda mfupi tunatoa Bonasi ya Michezo ya Slots ya TSH 5,000 unapoweka salio kuanzia TSH 5,000 na zaidi kwa mtandao wa Vodacom.

Chagua kujiunga
Step 1
Opt-in
Football
Step 2
Weka salio la TSH 5,000 au zaidi kupitia mtandao wa Vodacom
Bonus
Step 3
Pata Bonasi ya michezo ya Slots ya TSH 5,000
Bonus
Chagua kujiunga

Kuweka salio kwa njia ya mtandao wa Vodacom kumenogeshwa zaidi! Kwa muda mfupi tunakupa ofa ya Bonasi ya TSH 5,000 ya Michezo ya Slots ! Ili kupata, ni rahisi opt-in na uweke TSH 5,000 au zaidi kwa mtandao wa Vodacom, ambapo utapata bonasi ya TSH 5,000 kutumika kwenye michezo ya Slots bure! Utakapokamilisha tu kuweka salio utapata bonasi yako utakapoingia kwenye akaunti yako kwa mara nyingine, kwenye salio lako la bonasi!

Ofa ya Vodacom Deposit Bonus itaanza Ijumaa tarehe 20 Oktoba hadi Jumatatu tarehe 30 Oktoba.

Jinsi ya kupata bonasi:
Ni rahisi, opt-in na uweke salio la TSH 5,000 au zaidi kwa mtandao wa Vodacom, na utapata Bonasi yako ya Michezo ya Slots moja kwa moja.

Muda wa Promosheni
 • Ofa ya Vodacom Deposit Bonus itaanza Ijumaa tarehe 20 Oktoba 2023 00:00 UTC hadi Jumatatu tarehe 30th Oktoba 2023 23:59 UTC.
 • Salio lolote lililowekwa nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu halitofuzu kwenye hii ofa.
Salio litakalofuzu
 • Ni salio lililowekwa kwa njia ya mtandao wa Vodacom pekee ndio litafuzu kwenye hii promosheni.
 • Wachezaji ni lazima wa opt-in ili kuwa sehemu ya hii ofa.
 • Bonasi inatolewa mara moja tu kwa kila mchezaji.
 • Kiasi cha salio unaloweka ni lazima kiwe angalau TSH 5,000 ili kufuzu kupata Bonasi.
 • Kiasi cha bonasi ni lazima kizungushwe mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi ambazo zinaweza kutolewa kwenye akaunti.
 • Kima cha juu cha kiasi cha bonasi kinachoweza kubadilishwa kuwa pesa halisi ni mara 25x ya kiasi cha bonasi ulichozawadiwa.
 • Ni bashiri zilizowekwa kwenye michezo ya Slots pekee ndizo zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Bonasi zinaweza kutumika ndani ya siku 7 kuanzia siku iliyotolewa.
Taarifa ya Bonasi ya Michezo ya Slots
 • Bonasi yako itatumika moja kwa moja ikishakua activated mara baada ya kukamilisha kuweka pesa.
 • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Bonasi yako inaweza kutumika kuchezea kwenye michezo inayoshiriki pekee. Michezo ifuatayo ya Slots ndio itachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri (hakuna mchezo mwingine utakaofuzu): Blazing 777, Smoking Hot Fruits 20 lines, Blood Rage, X Wild , Pirate Kingdom Megaways, Wolf Strike, The Choice is Yours Megaways , Mexicana, Aladdin , Blazing Ice, 6 fruits Deluxe, 6 Fruits , Aztec Jaguar, Hot Slot 777 Crown, Magic Stars 9, Magic of the Ring Deluxe, Relic Hunters, Lucky Reels , Sizzling 777 Deluxe, Magic Fruits Deluxe, Super Heated Sevens, Mariachis Fiesta, King of Wealth, Storming Flame, Blazing Flame, Skulls Gone Wild, Guardian of Prosperity, Blazing Goals, Mansa Musa, Queens of Africa.
 • Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni TSH 5,000 (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi TSH 5,000 hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa mzunguko mmoja wa mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatatimizwa ni mara 25 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na salio la pesa yoyote ambayo uliiweka litarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote kwenye Kasino ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana kwa pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
Jumla
 • Unaweza kupata bonasi moja tu unapoweka salio. Bonasi haziwezi kutumika kwa mjumuiko na bonasi nyingine yoyote au ofa ya Promosheni.
 • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi iliyopo kwanza na baada ya hapo itakatwa kwenye salio la bonasi. Na bonasi inapokua activated bashiri zote zitakazofuzu zitakazokatwa kwenye salio la pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kutumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwenye mchezo wowote unayoshiriki au kama mtumiaji anaweza kuona viashiria vyovyote vya matokeo wakati anapoweka bashiri.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha zawadi ya bonasi ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.