UEFA Challenge UEFA Challenge

Jisajili Premier Bet leo na upate 150% sawa sawa na salio lako la kwanza utakaloweka kwenye akaunti yako hadi 100,000 TSH! Pata Karibu bonasi yako ya Michezo sasa! Na pia unaweza kupokea Bashiri ya bure ya 520 TSH kila siku kwa siku 5 za kwanza!

Step 1
Weka salio
Sports
Step 2
Pata karibu bonasi yako ya michezo
Bonus
Step 3
Anza kubashiri kwenye michezo!
Money Bag

Anza safari yako ya kubashiri michezo na bonasi ya michezo ya kibabe ya 150% sawa sawa na salio lako la kwanza, hadi kufikia 100,000 TSH! Sajili akaunti yako ya Premier Bet, weka salio kwa mara ya kwanza na hapo hapo utapata mara mbili ya salio lako!
Pia kama ukiweka angalau 2,600 TSH kwenye akaunti yako, unaweza kufurahia Bashiri ya bure ya 520 TSH kila siku kwa siku 5 za kwanza.

Mfano: Weka 1,000 TSH, Pata bonasi ya michezo ya 1,500 TSH. Jumla ya salio: 2,500 TSH
Pia, ingia kwenye akaunti yako kila siku baada ya kujisajili ili kupata Bashiri ya bure ya 520 TSH kila siku.

Jinsi ya kuweka pesa:

 • Nenda kwenye ukurasa wa kuweka pesa
 • Chagua Bonasi ya Michezo ya 150%
 • Weka pesa na pata bonasi yako!

Kuweka pesa kupitia Vodacom USSD, Tigo USSD, au Selcom Tanzania? Angalia maelezo kuhusu Ofa ya Karibu.here

Jinsi ya Kutumia Bonasi:

 • Masharti ya Ubashiri: Mara 5x ya salio uliloweka + Salio la Bonasi.
 • Machaguo yasipungue: 2
 • Alama kwa kila chaguo ni kuanzia: 2.00
 • Muda kabla Bonasi haijaexpire: Siku 14.

Utaweza kufuatilia maendeleo ya bonasi yako kwa kwenda kwenye akaunti yako > My profile > Binafsi > Bonasi.

MUDA WA PROMOSHENI
 • Karibu Ofa hii ya Michezo inapatikana kuanzia Ijumaa tarehe 26/01/24 16:00 CET hadi Ijumaa tarehe 31/05/25 23:59 CET.
KUFUZU BASHIRI YA BURE
 • Ni lazima uwe umeweka angalau 2,600 TSH kwenye akaunti yako kabla ya kuanza kupokea bashiri za bure kwa siku 5 zijazo.
 • Utafuzu kupokea Bashiri moja tu ya bure kwa siku kuanzia siku uliyosajili akaunti yako. E.g. Kama utaweka salio la jumla la angalau 2,600 TSH siku 5 baada ya kuasajili akaunti yako, utapokea Bashiri moja ya bure ya 520 TSH.
TAARIFA YA BASHIRI YA BURE
 • Utahitajika kuingia kwenye akaunti yako ili kuzawadiwa Bashiri ya bure. Kama tayari umeshaingia kwenye akaunti yako, itabidi utoke kwenye akaunti kisha uingie upya.
 • Kiasi cha bashiri ya bure kitakachotolewa kila siku kitakua ni 520 TSH.
 • Kiwango chote cha bashiri ya bure ni lazima kitumike mara moja.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama angalau 1.50.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika katika mechi yoyote ya michezo iliyofuzu.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7 tangu tarehe ya uliyopewa.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
KUFUZU BONASI
 • Ni salio la mara ya kwanza pekee lililowekwa ndani ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu ndio litafuzu kupokea bonasi.
 • Bonasi ni lazima ichukuliwe ndani ya siku 14 tangu siku uliyofanya usajili.
TAARIFA YA BONASI
 • Kiasi cha bonasi kitakachotolewa kitakua ni sawa sawa kwa 150% na salio lako la kwanza ulilofanikiwa kuweka hadi kima cha juu cha 100,000 TSH.
 • Ili kubadilisha salio la bonasi kuwa pesa halisi, lazima salio la awali na salio la bonasi vyote vizungushwe mara 5.
 • Kila bashiri iliyowekwa kwa ajili ya kutimiza masharti ya kubashiri ina kikomo cha juu cha 50,000 TSH kitakachohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya kubashiri.
 • Bashiri ni lazima ziwekwe kwenye matukio/mechi za michezo na lazima iwe na machaguo angalau 2, kila chaguo likiwa na alama zisizopungua 2.00 ili kutimiza masharti ya kubashiri. Bashiri zilizowekwa nje ya vigezo hivi hazitahesabika kwenye kutimiza masharti ya kubashiri.
 • Kila bashiri moja iliyowekwa, ambayo itahesabiwa kwenye kutimiza masharti ya kubashiri, lazima iwekwe kwenye matukio tofauti tofauti.
 • Salio la pesa halisi na salio la bonasi kwa pamoja zitachangia katika kutimiza masharti ya kubashiri, kwa kuzingatia kwamba masharti ya bonasi yanatimizwa. Salio la pesa halisi litatumika kwanza kabla ya salio la pesa za bonasi
 • Ili bashiri zihesabike katika kutimiza masharti ya kubashiri, zinatakiwa kukamilika kama bashiri zilizoshinda au zilizopotea. Bashiri zilizofutwa/cancelled au zilizofanyiwa cash out hazitohesabika katika kutimiza masharti ya kubashiri.
 • Masharti yote ya kubashiri lazima yatimizwe ndani ya siku 14 kuanzia siku ambayo bonasi imetolewa. Kutoweza kutimiza masharti hayo ndani ya muda uliopewa kutapelekea bonasi kuexpire na kufutwa.
 • Salio lote la bonasi lililosalia baada ya kutimiza mahitaji ya kubashiri, litabadilishwa kuwa pesa taslimu zinazoweza kutolewa, hadi mara 5 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Kama utatoa pesa bila kutimiza masharti ya kubashiri kutapelekea kufutiwa salio lote la bonasi.
 • Jaribio lolote la kutumia vibaya bonasi linaweza kupelekea kufutiwa bonasi na ushindi wote uliotokana na bonasi kuondolewa.
 • Tunahifadhi haki ya kuomba vitambulisho na/au nyaraka ambazo zinaweza kuthibitisha utambulisho wako.
 • Kwenda kinyume na vigezo na masharti yaliyoelezwa hapo juu, kunaweza kusababisha kufutwa kwa bonasi yako na ushindi wote unaohusiana na bonasi hio.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti yetu kuzingatiwa.

Tafadhali kumbuka kuwa vigezo na masharti haya yanaweza kubadilika kwa uamuzi wetu. Ni jukumu lako kupitia mara kwa mara vigezo na masharti kwa ajili ya marekebisho au mabadiliko yoyote.

Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikiano na wachezaji wengine. Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.