Cash Out Cash Out

Kukiwa na mechi kila siku kwenye Wimbledon, tunakupatia boost ya 5% kwenye ushindi wako kwa kila chaguzi moja na mawili utazoziweka – utakaoongezwa kwenye mkeka wako moja kwa moja! Weka bashiri yoyote yenye machaguo hadi mawili ya mechi zozote za Wimbledon zenye alama angalau 1.50 kwa kila chaguo na tutaongeza ushindi wako kwa 5% – moja kwa moja!

BASHIRI SASA
Step 1
Nenda kwenye Wimbledon
Bonus
Step 1
Nenda kwenye Wimbledon
Bonus
Step 2
Chagua mechi zako hadi mbili za Wimbledon
Cash Out
Step 3
Shinda na upate 5% za ziada kama pesa taslimu!
Cash Out
BASHIRI SASA

Wimbledon imerudi na mechi kali zenye msisimko wa kutosha kila siku kwa wiki mbili zijazo! Hakuna muda mzuri zaidi wa ku serve up ushindi wa ziada na boost ya 5% kwa kila mechi moja au mbili utazoweka. Weka bashiri yenye machaguo hadi mawili yoyote ya mechi za Wimbledon zenye alama kuanzia 1.50 kwa kila chaguo na kama itashinda tutazidisha ushindi wako kwa 5% – moja kwa moja!

Promosheni ya Wimbledon 5% Boost itaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 27 Juni hadi Jumapili tarehe 10 Julai.

apoweka bashiri yako ya mechi mbili utaona ushindi wako wa ziada kwenye mkeka wako! (link betslip to the Wimbledon page) Boost ya 5% itahesabika kwenye machaguo ya Wimbledon tennis yenye mechi 1 au 2 tu kwa ujumla kwenye mkeka. Kuanzia machaguo 3 kuendelea utapokea Bonasi ya Ushindi ya kawaida kulingana na machaguo yako.

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Wimbledon 5% Boost itaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 27 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 10 Julai 23:59 CET.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
KUFUZU BONASI
 • Ni lazima uweke bashiri yenye mechi zozote hadi mbili za Wimbledon kwa alama angalau 1.50 kwa kila chaguo ili kupokea 5% za ziada kwenye ushindi wako. Machaguo mengine ya michezo hayatohesabika kwenye ofa hii.
 • Kima cha juu kabisa cha dau kinachokubalika ni 23,500 TSH.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitafuzu kupokea bonasi (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au Bashiri za Bure hazitohesabika).
 • Bashiri zilizokamilika pekee. Bashiri zilizoghairishwa/Cashed out au bashiri hewa hazitohesabika.
 • Bashiri za mfumo/system hazitohesabika kwenye promosheni hii.
 • Ushindi wa Boost unahesabiwa kulingana na alama za kwenye mkeka wako, kama alama za awali ni 3.0 pamoja na boost ya 5% utakayopokea alama zitakua 3.10. Bonasi ya ushindi inawekwa pale bashiri yako ya pesa taslimu inapokamilika, ambapo kiasi kitahesabika kulingana na alama za mkeka uliokamilika (kunaweza kukawa na mabadiliko kuanzia bashiri imewekwa hadi imekamilika na hii itaathiri kiasi cha bonasi)
TAARIFA YA BONASI
 • Ushindi wako wa bonasi utalipwa endapo bashiri yako itashinda.
 • Ushindi wa Bonasi utalipwa kama pesa taslimu (hakutokua na masharti mengine ya ziada/ wagering requirements)
Jumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mumuiko na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea promosheni zilizochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.