Vegas Tournament Vegas Tournament

Blast off kushinda sehemu yako ya zawadi ya jumla ya 1,500,000 TSH pesa taslimu kwenye promosheni yetu ya Year End Tournament! Kila ushindi utakupatia alama kulingana na kizidishi cha ushindi, wachezaji 30 wenye bahati watajishindia zawadi za pesa taslimu! Ni rahisi, cheza mchezo wowote au yote kwa pamoja ya Solidicon games inayoshiriki kupanda kwenye ubao wa washindi na kujipatia sehemu ya zawadi yako.

Step 1
Cheza mchezo unaoshiriki
Casino
Step 2
Pata alama kadri unavyocheza
Slots
Step 3
Shinda zawadi za pesa taslimu!
Money Bag

Premier Vegas Tanzania inawaletea promosheni kabambe kuliko zote – Promosheni ya Year End Tournament! Tunawaletea chereko za aina yake kwa kutoa sehemu ya zawadi ya jumla ya 1,500,000 TSH Pesa taslimu. Ni rahisi, cheza mchezo wowote wa Solidicon unaoshiriki, ambapo kila ushindi utakupa zawadi kulingana na kizidishi cha ushindi, na unaweza kuwa mmoja wa wachezaji 30 wenye bahati ya kujishindia zawadi ya pesa taslimu ya hadi 350,000 TSH.

Ofa ya Year End Tournament itaanza Jumatano tarehe 27 Disemba 2023 hadi Juamnne tarehe 2 Januari 2024.

Jinsi ya Kushinda:
Cheza michezo inayoshiriki (hakuna kima cha chini cha dau). Kila ushindi utakupatia alama kulingana na kizidishi cha ushindi ( kwa mfano, kama utaweka bashiri ya 3,000 TSH na ukashinda 30,000 TSH, utazawadiwa alama 10). Alama unazozipata zitajumlishwa kipindi chote cha mashindano. Unavyokusanya alama nyingi zaidi, ndivyo unavyozidi kupanda juu zaidi kwenye ubao wa washindi. Wachezaji 30 wa kwanza kwenye ubao wa washindi watashinda sehemu ya zawadi ya 1,500,000 TSH!


Zawadi ya Jumla
Kuanzia nafasi ya Hadi Nafasi ya Zawadi Jumla
1 1 350,000 TSH 350,000 TSH
2 2 200,000 TSH 200,000 TSH
3 3 100,000 TSH 100,000 TSH
4 10 50,000 TSH 350,000 TSH
11 30 25,000 TSH 500,000 TSH
TOTAL 1,500,000 TSH


Zawadi ya jumla ni 1,500,000 TSH Pesa Taslimu kwa washindi 30. Ni rahisi cheza mchezo mmoja au yote kwa pamoja inayoshiriki ya Solidicon games ili kupata nafasi ya kujishindia zawadi za pesa taslimu:

 1. Navigator
 2. Fishinator
 3. Swiminator
 4. Penalty: From the Streets
 5. SpinWin
 6. Color Number / Color Keno
 7. Plinko Tiki
 8. Blazing Classics
 9. Triple Towers
 10. Fake Luxury
 11. AC Milan Football Fever
 12. Willy Win
 13. Lucky Wheel
 14. Treasure Tavern
 15. Wild Things
 16. Roulette
 17. TT on Reels
 18. Poker Picks
 19. Retro Football
 20. Instant Premier Football
 21. Instant Premier Football – English League
 22. Instant Premier Football – French Ligue 1
 23. Instant Premier Football – Italian Serie A
 24. Instant Premier Football – Spanish La Liga

Play any game

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Year End Tournament itaanza Jumatano tarehe 27 Disemba 2023 00:00 UTC hadi Jumanne tarehe 2 Januari 2024 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Mashindano
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo inayoshiriki kama ilivyo orodheshwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
 • Wachezaji ni lazima waweke bashiri angalau moja kwa dau lolote kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kufuzu kupata moja ya zawadi za pesa taslimu. Kama kuna kima cha chini cha dau ili kufuzu kwenye Mashindano itaainishwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
 • Kushiriki katika mashindano, utalazimika ku opt in ndani ya michezo inayoshiriki, ama kwa kubonyeza chaguo la opt-in ndani ya mchezo au utaingia moja kwa moja unapozungusha spin kwenye mchezo wowote inayoshiriki na kwa dau lilifuzu.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Kama alama zitatolewa kulingana na kizidishi cha ushindi ambacho kitatajwa kwenye taarifa hapo juu, basi mahesabu yatakua kama ifuatavyo: kwa kila 3,000 TSH utakayoshinda, tutakuzawadia alama 1 ( kwa mfano, kama utaweka dau la 3,000 TSH na ukashinda 30,000 TSH, utazawadiwa alama 10 ). Alama zilizopokelewa zitajumlishwa ndani ya muda wote wa Mashindano.
 • Kila mchezaji atapewa utambulisho binafsi wa mashindano kwa ajili ya Ubao wa washindi.
 • Ubao wa washindi unasahishwa kwa muda halisi na wachezaji wanaweza kuona ubao wa washindi wa muda halisi wakati wowote wanapocheza mchezo iliyofuzu kwa hiari yao, isipokuwa kama imeelezwa vinginevyo kwenye Maelezo ya Mashindano hapo juu.
 • Ubao wa washindi utajumuisha wachezaji waliokusanya idadi kubwa zaidi ya alama wakati wa mashindano.
 • Ikiwa wachezaji wawili au zaidi watamaliza kwenye nafasi sare kwenye ubao wa washindi, mchezaji ambaye alifikia alama kwanza atapata zawadi kubwa zaidi.
 • Kiasi cha zawadi za pesa taslimu kinachoonekana kwenye mchezo kitakua kwenye mfumo wa sarafu unayotumia kuchezea.
 • Ni mizunguko iliyokamilika pekee ndio itafuzu kuingia kwenye Ubao wa washindi.
 • Zawadi ya jumla ni 1,500,000 TSH itatolewa kwa washindi 30.
 • Zawadi za Pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 kwenye akaunti za washindi baada ya kukamilika na kupitishwa kwa matokeo ya mashindano.
 • Zawadi za Pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa EUR au USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
 • • Hii ni ofa ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa na/au kubadilisha vigezo vya promosheni na masharti yanayohusiana na hii kwa hiari yetu, na maamuzi yoyote kulingana na ushindi uliotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa (mf. Alama bora za uhakika; bonasi; bashiri za bure; alama zilizoboreshwa na ofa za rejesho la pesa) na matangazo mengine yoyote ya promosheni na ofa.
 • Tuna hifadhi haki ya kutenga, kughairisha au kuondoa Bashiri za Bure na Ushindi uliotokana na Bashiri za Bure kutoka kwenye akaunti ambazo zitagundulika kufanya ubadhilifu.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.