CHUKUA USHINDI WAKO MAPEMA!

Simamia bashiri zako kwa Cash Out, huduma yetu mpya itakayoboresha mandhari ya ubashiri wako.

Je mkeka wako unelekea kupoteza na ungependa kuokoa faida yako?

Au ulipata maumivu ya goli la mapema na ungependa kupunguza hasara yako?

Kwa mazingira ya namna hii na mengineyo mengi, jaribu huduma yetu mpya na ya kipekee ya Cash Out.

Kufanya Cashout ya ubashiri wako, Gusa "Cash Out" kwenye kitufe kilichopo juu ya chaguzi zako ndani ya sehemu ya "Bet Zangu"

Live Streaming Sportsbook

Michezo na masoko lukuki yanapatikana yakiwa na huduma hii ya Cash Out

Cash Out Sportsbook

BASHIRI SASA

Kanuni za Cash Out

1. kiasi cha chini cha kubashiria 500 TSH.

2. Kama ukichagua ku Cash Out ubashiri wako, kiasi hiki kitasahihishwa na matokeo yanayowiana na ubashiri wako hayatakuwa na athari juu ya kiasi kitakachorudishwa kwenye akaunti yako.

3. Punde utakapo fanya Cash out mkeka wa bashiri zako utakamilika ndani ya kitufe cha "Bet zangu".

4. Kitendo cha kubonyeza kitufe cha 'Cash Out' kitakamilisha mchakato wa usahihishaji wa ubashiri wako papo hapo kwenye kiasi cha Cash Out kinacho oneshwa.

5. Punde baada ya kitufe cha Cash Out kubonyezwa, Cash Out haiwezi kurudishwa kwa kuwa Cash Out zote ni kitendo cha mwisho.

6. Hatuwezi kukuhakikishia kwamba huduma hii ya Cah Out itakuwepo kila mara, hata ambapo huduma hii imetangazwa kwa muungano na tukio lolote.

7. Hatutawajibika endapo kama huduma hii ya Cash out haitakuwepo kutokana na matatizo ya kiufundi. Katika hali hii, ubashiri wowote utasimama licha ya upatikanaji wa Cash Out.

8. Huduma ya 'Cash Out' itasitishwa endapo soko mojawapo litasitishwa katika mchezo wowote unaohusiana na mkeka wako. Soko linaweza kusitishwa kwa sababu mbalimbali, kama vile wakati goli limefungwa.

9. Kiasi kinachotolewa kitategemea na mwenendo wa chaguzi zako na kinaweza kuwa juu zaidi au chini zaidi ya dau lako halisi litakavyoweza kukuhakikishia faida au kukupunguzia hasara inayowezekana kutokea.

10. Ambapo Cash Out inapatikana kabla ya mechi kuanza na hatuhodhi au kuacha kuhodhi tukio likiwa linaendelea, basi Cash Out haitapatikana punde tukio linapoanza au wakati upatikanaji wa ubashiri wa mechi ikiwa inaendelea unapofika kikomo.

11. Kupo kuchelewa kwa muda wakati wa kupokea ombi la Cash Out.

12. Ili kuweza kufanya Cash Out, ni lazima kuwepo na kipengele cha Cash Out na kuonyeshe kiasi cha ubashiri wako.