Instant Speedway Instant Speedway

Anza mbio zako na Virtual instant Speedway na kama hautoshinda tutakupa rejesho la 20% pesa taslimu! Ni rahisi cheza angalau 2,500 TSH ili kufuzu na kama utakua na kiasi ulicho poteza kwa wiki nzima tutakupa rejesho la 20% pesa taslimu hadi kufikia 50,000 TSH.

Step 1
Nenda kwenye Instant Virtuals
Virtuals Sports
Step 3
Shinda au pata rejesho la 20% pesa taslimu
Cashback

Instant Speedway Racing hukuruhusu kuchagua wakimbiaji unaowapenda, chagua masoko yako unayotamani, weka bashiri, na uanze mbio kila unapokuwa tayari. Na wakimbiaji 4 tu wa kuchagua kwa ushindi! Usiposhinda bado tutakulipa 20% ya kurudishiwa pesa kwa hasara yoyote kwa wiki.

Ofay a Instant Speedway Cashback ita anza Jumatatu tarehe 5 hadi Jumalipi tarehe 12 Oktoba.

Cheza angalau 2,500 TSH on kwenyeInstant Speedway na kama hautoshinda tutakupatia rejesho la 20% pesa taslimu hadi 50,000 TSH!

Muda wa promosheni
  • Ofa ya rejesho la pesa taslimu na Instant Speedway itaanza Jumatatu tarehe 5 Oktoba 03:00 usiku hadi Jumapili tarehe 12 Oktoba saa 02:59 usiku.
  • Bashiri zote zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu wa promosheni hazito fuzu ofa hii.
Rejesho la pesa taslimu
  • Rejesho la pesa taslimu inapatikana kwa mchezo wa LEAP INSTANT SPEEDWAY
  • Wachezaji wanastahiki kurudishiwa pesa kwa 20% kwa hasara waliyo pata hadi 50,000 TSH.
  • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii ( Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
  • Wachezaji wanatakiwa kuchezea angalau 2,500 TSH ili kufuzu kwenye hii ofa.
  • Kiwango cha juu wachezaji kupokea ni 50,000 TSH.
  • Rejesho la pesa taslimu litalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kuisha kwa promosheni hii.
  • Rejecho la pesa taslimu lita wekwa kwenye akaunti bila masharti mengine ya ziada.
Jumla
  • Ofa hii haiwezi kutumika na mjumuisho wa ofa nyingine yeyote.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kuwatenga mteja yeyote kutoka kupokea matangazo ya kuchaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.