NBA Boost NBA Boost

Kwa mashindano ya NCAA tumeandaa ubao wa washindi wa msisimko wa mwezi March, ambapo wachezaji mabingwa watatu (3) watajishindia sehemu ya 235,000 TSH kama pesa taslimu. Ni rahisi, weka bashiri kwenye mashindano ya NCAA na bashiri zote za ushindi zitapata alama (points) kulingana na alama ulizochagua(odds) na kupanda kwenye ubao wa washindi (kima cha chini cha dau 1,175 TSH).

BASHIRI SASA
Step 1
Weka bashiri
Sports
Step 2
Pata alama kwa kila odds (alama) itakayoshinda
Bonus
Step 3
Panda kwenye ubao wa ushindi ili kujishindia zawadi ya Pesa taslimu
Money Bag
BASHIRI SASA

Je utakua bingwa wetu wa msisimko wa mwezi March na kujishindia zawadi ya kwanza ya 117,500 TSH? Michezo ni ya haraka na kusisimua kama ubao wetu wa ushindi wa msisimko wa mwezi March ukiwa na wachezaji mabingwa watatu (3) watakaojishindia sehemu ya 235,000 TSH kama zawadi ya pesa taslimu.

Ubao wa ushindi wa msisimko wa mwezi March utaanza kuanzia Alhamisi ya tarehe 15 March hadi Jumanne ya tarehe 6 April.

Kupata alama kwenye ubao wa ushindi unatakiwa uweke bashiri za ushindi kwenye mashindano ya NCAA zikiwa na alama kubwa iwezekanavyo! Kwa kila bashiri itakayoshinda (dau si chini ya 1,175 TSH) utapokea alama sawa na odds (alama) ulioweka, kwahiyo kama jumla ya alama (odds) zako 2.00 utapokea alama 2. Utakavyoweka alama za juu zaidi na ukabashiri na kushinda, ndivyo utakavyopokea alama kubwa zaidi na kupanda kwenye ubao wa ushindi na kujishindia moja ya zawadi za pesa taslimu!

*Ubao wa ushindi unaonyesha sehemu waliopo wachezaji hadi kufikia leo. Na matokeo ya mwisho ya ubaoni na washindi wataonyeshwa siku ya Jumanne tarehe 6 April. Zawadi zitawekwa kwenye akaunti za wachezaji ndani ya masaa 72 baada ya matokeo ya mwisho ya ubaoni kuwekwa.

Nafasi Jina la Mtumiaji Machaguo
1 2******59305 10
2 2******77744 5
3 2******06406 3

Muda wa Promosheni
 • Ubao wa ushindi wa msisimko wa mwezi March utaanza kuanzia Alhamisi ya tarehe 18 March 01:00 hadi Jumanne ya tarehe 6 April 06:00.
 • Bashiri zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
Alama za Ubao wa Ushindi
 • Jumla ya odds (alama) zilizopo kwenye bashiri ya ushindi iliyowekwa na kukamilika ndani ya muda wa Promosheni itajipatia alama, ikiwa na alama 1 kwa kila odds (alama) 1.00. Kwa mfano kama utaweka bashiri yenye alama (odds) 2.00 na ikashinda utapata alama 2. Kama utaweka bashiri 3 zenye alama (odds) ya 5.00 na zote zikashinda utapokea alama 15.
 • Bashiri zitakazofuzu lazima ziwekwe na dau si chini ya 1,175 TSH kwa alama (odds) zozote.
 • Bashiri lazima ziwekwe kwenye mashindano ya NCAA pekee, kabla ya mechi na mechi zinazoendelea.
 • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu tu ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
 • Bashiri zilizoghairishwa/Cashed out au bashiri hewa hazitohesabika.
 • Bashiri za mfumo hazitohesabika.
Leaderboard Prizes
 • Wachezaji watatu (3) waliojilimbikizia alama za juu zaidi kwenye kipindi cha promosheni wataingia kwenye ubao wa washindi.
 • Zawadi za ubao wa washindi wa msisimko wa mwezi March zitakua:
Nafasi Zawadi
1 117,500 TSH
2 70,500 TSH
3 47,000 TSH

 • Ubao wa ushindi utakua unabadilika kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa. Matokeo ya mwisho yatawekwa siku ya Jumanne ya tarehe 6 April kuonyesha wachezaji walioshinda na zawadi.
 • Zawadi za pesa taslimu zitawekwa ndani ya masaa 72 baada ya matokeo ya mwisho kwenye ubao wa ushindi kuwekwa.
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi moja tu kwenye kipindi chote cha promosheni.
 • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering), na inawezwa kutolewa papo hapo.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.