Women Power Tournament Women Power Tournament

Cheza mchezo wetu wowote wa Megaways wiki hii na unaweza kijishindia sehemu ya 235,000 TSH. Zungusha angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye mchezo wetu wowote kati ya michezo minne iliyoteuliwa na utaingia kwenye droo ya bila mpangilio kujishindia moja ya zawadi 20 za bonasi!

CHEZA SASA
Step 2
Anza kuzungusha
Slots
Step 3
Jishindie moja ya zawadi za bonasi!
Leaderboard
CHEZA SASA

Cheza michezo yetu teule ya Megaways ambapo unaweza kupata ushindi mkubwa kwa mzunguko mmoja tu, pamoja na nafasi ya kujishindia sehemu ya 235,000 TSH kama zawadi za bonasi! Ni rahisi, cheza mchezo mmoja au yote kwa pamoja ya vipengele vya michezo ya slot na unaweza kua mmoja wa washindi wetu 20 wenye bahati ya kujishindia 11,750 TSH kama zawadi ya bonasi. Zungusha angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye moja au michezo yetu yote minne (4) iliyoorodheshwa hapo chini kuingia kwenye droo.

Ofa ya Zawadi za Bonasi (Bonus Drops) kwenye mchezo wa Megaways itaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 15 hadi Jumatatu ya tarehe 22 March.

Chagua mchezo wetu mmoja au cheza michezo yote ifuatayo ya Megaways ili kushiriki kwenye droo:

Pirate’s Kingdom Megaways / Megaways Jack / 1 Million Megaways / Rainbow Wilds Megaways

Play any game!

Muda wa Promosheni
 • Muda wa Ofa ya bonasi kwenye michezo ya Megaways ni kuanzia Jumatatu ya tarehe 15 March 02:00 hadi Jumatatu ya tarehe 22nd March 01:59.
 • Bashiri zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri za pesa taslimu zitakazofuzu zinatakiwa ziwekwe kwenye moja ya michezo ifuatayo: Pirate’s Kingdom Megaways, Megaways Jack, 1 Million Megaways na Rainbow Wilds Megaways kutoka kwenye michezo ya 1×2.
 • Wachezaji ni lazima waweke angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kufuzu kuingia kwenye droo ya zawadi za cash drop. Dau litakua linajilimbikiza kwa muda wote wa Promosheni.
 • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu tu ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
Zawadi za Bonasi
 • Wachezaji 20 watakaofuzu watachaguliwa bila mpangilio kujishindia zawadi ya bonasi ya 11,750 TSH kuchezea kwenye mchezo wowote wa slot siku ya Jumatatu ya tarehe 22 March.
 • Salio la bonasi litatakiwa lizungushwe angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kua pesa taslimu (yaani kabla ya kuweza kuitoa kwenye akaunti). Salio la bonasi pamoja na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi hadi masharti yatakapotimizwa.
 • Michezo yote ya slots inachangia 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri, na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, dau la juu kabisa litakalochangia kutimiza masharti ya ubashiri ni 11,750 TSH kwenye mzunguko mmoja wa mchezo (kiasi chochote kwenye mzunguko mmoja wa mchezo kitakachozidi 11,750 TSH hakitahesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Ukibashiri zaidi ya dau hili kwa mzunguko mmoja wa mchezo, unakubali kua bonasi yako na ushindi wowote unaohusiana utaondolewa.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi kinachoweza kubadilishwa kua pesa taslimu endapo masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 1,175,000 TSH.
 • Una siku 14 za kutimiza masharti. Salio lolote la bonasi ambalo halitabadilishwa ndani ya muda huu litatolewa kwenye akaunti yako, na salio lolote litakalokua limesalia litarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya bonasi yoyote kutolewa unatakiwa utimize masharti. Unaweza kutoa pesa yako halisi muda wowote baada ya kusalimisha bonasi yako na ushindi wowote ulioupata kama masharti hayajatimizwa.
 • Wachezaji wanaweza kushinda zawadi moja tu kwa kila wiki ya Promosheni.
Jumla
 • Hakuna dau la chini litakalo ruhusiwa kushiriki katika sehemu yoyote ya hii Promosheni, ukijumlisha masharti ya salio la bonasi. Wachezaji watakaojulikana kutumia mbinu za kutimiza masharti kwa dau la chini kukomboa bonasi yao au salio lao la pesa taslimu watakua na hatia na watasababisha kuchukuliwa bonasi zao au pesa taslimu au ushindi wote uliopatikana. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, dau hewa au dau la chini ya kiwango linachukuliwa kama michezo isiyo ya kawaida. Mfano mwingine wa michezo ya kubahatisha isiyo ya kawaida inajumlisha lakini sio lazima kuweka pesa sawa kwenye mchezo wa Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka dau moja sawa na au Zaidi ya 20% au Zaidi ya thamani ya bonasi waliyopewa kwenye akaunti zao mpaka masharti ya bonasi yatakapotimizwa.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.