Premier 6 Premier 6

Cheza Premier 6 kila wiki BURE na una weza kujishindia kitita cha 60,000,000 TSH! Kujinyakulia kitita hiki ni rahisi, bashiri matokeo sahihi ya michezo YOTE sita ya Premier 6 kwa raundi husika. Utapata nafasi ya BURE kushiriki kila raundi ili kushinda kitika cha pesa taslimu!

Step 1
Bofya
Cheza Sasa
Step 2
Weka Bashiri zako
Bonus
Step 3
Shinda K300,000
Bonus

Cheza BURE Premier 6 kila week na unaweza kujishindia kitita cha 60,000,000 TSH ni rahisi, bashiri matokeo sahihi sita ya mpira wa miguu. Na kama matokeo yako yote sita yatashinda uta jishindia kitita cha pesa taslimu!

  • Unaweza kutumia akaunti ya Premier Bet kuingia na kucheza. Kama huna akaunti ya Premier Bet, jiunge kwa ku bofya kitufe upande wa kulia juu kwenye tovuti ya Premier 6 na ubofye tengeneza akaunti. Then fill the form and click on Complete to register. Kisha jaza fomu ya kujiunga bofya maliza kujiunga. (Hakikisha namba ya simu utakayo itumia kujiunga ni namba yako sahihi kwani ndiyo itakayo tumika kukupigia pale utakapo shinda).
  • Bashiri matokeo sahihi ya michezo YOTE sita ya Premier 6 kwa mzunguko husika.
  • Bashiri Goli la Dhahabu. Hii ni dakika unayo dhani goli la kwanza katika michezo hii sita litafungwa.
  • Utabiri lazima ufanyike kabla mechi ya kwanza kuanza katika mzunguko husika kama ilivyo ainishwa kwenye tovuti ya Premier 6.
  • Utaruhisiwa kucheza mara moja kwa kila mzunguko, hata hivyo unaweza kufanya mabadiliko katika chaguzi zako kabla mchezo wa kwanza wa mzunguko husika kuanza.
Mashindano ya Jackpot
  1. Zawadi ya shindano hilli ni 60,000,000 TSH isipokuwa kama ita ainishwa vinginevyo. Zawadi ita tolewa kwa mshiriki atake bashiri matokeo sahihi ya michezo YOTE sita ya Premier 6 katika mzunguko husika.
  2. Kama wachezaji wawili au zaidi wata bashiri kwa ufasaha na kufungana zawadi itachukuliwa na mchezaji alie bashiri dakika ya karibu zaidi ya Goli la Dhahabu na goli la kwanza kufungwa.
  3. Na kama wachezaji wawili au zaidi wata bashiri kwa kufungana michezo yote sita ya Premier 6 na dakika sawa ya Goli la Dhahabu ( Au karibu kabisa na dakika ambalo goli la kwanza la dhahabu lime fungwa) basi zawadi ya wiki wata gawana wachezaji hao.
Full Terms and Conditions
  1. Masharti na Vigezo vyote kwa ujumla yanapatikana kwenye tovuti ya Premier 6 .