Cheza Bure

Players
 1. Ofa hii ni kwa watu wenye umri wa miaka 18 na zaidi wanaoishi Tanzania. Kithibitisho cha umri kinaweza kuhitajika. Kushiriki Premier6 ni bure.
 2. Wafanyakazi wa Premier Bet au washirika wake na Makampuni wanayoshirikiana nayo, na washirika wao, mawakala au ndugu za mawakala hawana haki ya kushinda zawadi.
 3. Ili kushiriki, wachezaji wanatakiwa kujisajii hapa kwenye tovuti ya Premier Bet au App ya simu (the “Mobile App”) ama desktop inayohusiana na Premier Bet. Ni akaunti moja tu inaruhusiwa kwa kila mtu, nyumba, barua pepe, nambari ya simu, na IP address. Wachezaji wenye akaunti zaidi ya moja zitafungwa. Unaruhusiwa kushiriki mara moja tu kwa kila mzunguko. Kama Premier Bet watakua na ushahidi wa kutosha kua akaunti zaidi ya moja zilifunguliwa na au zote zinamilikiwa na mtu mmoja, akaunti zote zitafungwa na mara zote alizoshiriki na akaunti hizo hazitohesabika kwenye Ofa au kupokea zawadi yoyote. Wachezaji wanatakiwa kujisajili kwa majina yao halisi na kama kuna mchezaji atajulikana amejisajili kwa majina ya mtu mwingine ataondolewa kwenye mashindano.
 4. Wachezaji watatakiwa kukubaliana na hivi vigezo na masharti na kukubali kuongozwa nayo wakati wanaingia kushiriki Premier6. Vigezo hivi na masharti vinaweza kubadilika muda hadi muda.
 5. Kwa kuongezea hapo juu, Premier Bet itatumia taarifa za kila mshindi na kila mshiriki kwa kuitangaza hii Promosheni. Kwa ku-opt ndani kupokea ofa na matangazo unakubaliana kua Premier Bet na makundi yake yote ya Kampuni, biashara na washirika wa biashara wanaweza kutumia taarifa zako ulizotupa, kuwasiliana na wewe kuhusu bidhaa na huduma ambazo zinaweza kukuvutia wewe. Kwa kushiriki unaturuhusu kutumia profile yako wewe kama mteja, ikiwemo lakini sio lazima umri wako, mahali unapoishi na jinsia, historia yako yakuperuzi, kubashiri na kucheza na njia zake, matumizi yako ya mitandao ya kijamii na jinsi unavyowasiliana nasi. Unakubali kua Premier Bet na makundi yake yote ya Kampuni, biashara na washirika wa biashara wanaweza kutumia taarifa zako ulizotupatia kuwasiliana na wewe na kukupatia muongozo wa masoko kulingana na bidhaa na huduma unazozipendelea. Unaweza kubadili upendelelo wa masoko yako kwa kuwasiliana nasi kutoka kwenye Privacy na Cookie Policies zetu.
 6. Washindi wote wanatakiwa wawe wamefanikiwa kuweka salio angalau mara moja kabla ya kuweza kuruhusiwa kutoa pesa kwenye akaunti zao.
Mashindano
 1. Wachezaji watabashiri matokeo yote sahihi ya mechi zitakazokuwepo. Kutakua na mechi 6 kwa kila mzunguko.
 2. Majibu yatatolewa kulingana na dakika 90 zilizopangwa za mchezo; hii itajumlisha muda ulioongezwa lakini sio muda wa ziada au muda wa penati.
 3. Kila mzunguko kwenye mchezo wa Premier6 unafungwa muda ambao mechi ya kwanza kati ya mechi za mzunguko husika inaanza. Orodha ya mechi na muda ambao kila mechi inaanza unaonekana kwenye Ukurasa wa Premier6. Mashindano yanapofungwa, washiriki hawawezi kubadili bashiri zao. Unapowasilisha bashiri zako, unaweza kubadilisha kabla muda haujaisha kupitia Tovuti au App ya Simu. Ili kushiriki Premier6 wachezaji ni lazima wabashiri matokeo yote sita ya mechi za Premier6 zilizopo kwenye mzunguko husika.
 4. Washindi wa zawadi watachaguliwa kwa njia mbili zifuatazo: Zawadi ya Jackpot ni 360,000,000 TSH labda kama itabadilishwa. Zawadi hii itatolewa kwa mshindi atakae bashiri kwa usahihi matokeo ya mechi zote sita za Premier6. Hii ina maanisha kua matokeo yote aliobashiri mchezaji yawe sawa na matokeo sahihi ya mechi zote. Kama kuna mchezaji mmoja au wawili ambao wamebashiri kwa usahihi matokeo ya mechi sita zote za Premier6, basi zawadi ya jackpot itagawanywa sawa kwa washindi hao.
 5. Kiasi cha fedha kipo kwenye mfumo wa USD na kinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
 6. Zawadi za ziada za Bonasi:
  • Zawadi moja ya uhakika ya 2,400,000 TSH itatolewa kwa mchezaji atakaekua na alama kubwa zaidi za matokeo sahihi kwenye kila wiki ya mchezo. Kama wachezaji wawili au zaidi watapata alama kubwa zaidi za matokeo sahihi kwenye kila mzunguko wa mchezo, zawadi ya uhakika itagawanywa sawa kati ya wachezaji hao. Kiasi cha zawadi kinaweza kubadilika kulingana na matakwa ya Premier Bet.
  • Zawadi za ziada na/au zawadi maalumu zinaweza kutolewa wakati Premier6 imeanza kwa mapendeleo ya Premier Bet. Hizi zitakua za ziada mbali na zawadi ya jackpot iliyotajwa hapo juu. Ikitokea zawadi za ziada zimetolewa, Premier Bet itatangaza na kuwataarifu wachezaji kama kutakua na masharti na vigezo vyovyote vya ziada vitakavyo husika.
 7. Alama za mechi zinachapishwa na Sportradar na/au Incentive Games. Data hizi zitatumika kutambua nafasi za mwisho za ligi na washindi wa zawadi zote.
 8. Kama kuna mechi yoyote ya Premier6 itakayoghairishwa, kusogezwa mbele au kutochezwa kabisa au kutokukamilika (ambapo itachezwa kwa muda chini ya dakika 90) mechi hio itahesabika hewa/void. Mashindano yatabaki kwa mechi 5 zilizobaki na zawadi ya uhakika ya 24,000,000 TSH. Kama mechi zaidi ya 1 itaghairishwa, kusogezwa mbele au kutochezwa kabisa au kutokukamilika basi hakutokua na zawadi ya uhakika kwa wiki hio ya mchezo. Ili kuepeusha migogoro, kama mechi mbili au zaidi zitaghairishwa, kusogezwa mbele au kutokucheza, basi hakutokua na zawadi yoyote kwa wiki hio ya mchezo.
 9. Zawadi za Premier6 hazitolewa kwa wachezaji ambao (i) wamejitoa kwenye huduma zozote za Premier Bet (insert brand name); (ii) wapo kwenye nchi ambazo Premier Bet haipokei bashiri; au (iii) wamefungiwa huduma kwenye akaunti zao za Premier Bet kwa sababu zozote.
 10. Premier Bet wana haki ya kubadili zawadi yoyote (au sehemu ya zawadi) kwa zawadi yenye thamani sawa au zaidi kama itakua na lazima kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wake.
 11. Premier Bet haitohusika na zawadi ambazo hazitomfikia mshindi kwa sababu zozote nje ya uwezo wake.
 12. Zawadi ya Ushindi kwenye mzunguko wa Mchezo – Kama hakutokua na mshindi wa zawai ya Jackpot ya Premier6 basi zawadi ya kifuta jasho ya 2,400,000 TSH itatolewa kwa mchezaji ambae atakua na alama sahihi za juu zaidi kwenye mzunguko wowote wa mchezo. Kama kutakua na wachezaji waliofungana kwenye alama sahihi, zawadi itagawanywa sawa kwa wachezaji wote.
Washindi Na Uhakiki wa Washiriki na Uchapishaji
 1. Washindi watapewa taarifa kwa njia ya barua pepe au simu waliojisajilia kwenye akaunti zao. Ni jukumu la kila mchezaji kuhakikisha taarifa zake zipo sahihi. Washindi watahitajika kuthibitisha (na ushahidi unao kubalika na Premier Bet umri wao, kitambulisho, mahali wanapoishi na taarifa nyingine zitakazohitajika na Premier Bet kabla ya kukabidhiwa zawadi yoyote.
 2. Kama mshiriki atashindwa, kwa namna yoyote ile, atashindwa kupokea zawadi yake, kuthibitisha taarifa zake hadi Premier Bet watakavyoridhika, atachukuliwa amekiuka vigezo hivi na masharti ya Premier Bet aua kama hatopatikana ndani ya siku (5) za kazi (siku tofauti na Jumamosi, Jumapili au sikukuu ambapo mabenki yanakua wazi kwa kazi), Premier Bet ina haki ya kubatilisha huo ushindi (na haki ya mshiriki huyo kupokea zawadi zozote za Premier6) na zawadi zitatolewa kwa washiriki wengine, kama watakuepo.
 3. Kuingia na kushiriki Premier6 kunawaruhusu Premier Bet na/au washirika wake, na makampuni yote wanayofanya nayo kazi, kutumia majina, bashiri na picha za washiriki kwa nia ya kuchapisha matangazo watakapohitaji, ubao wa washindi na sehemu nyingine ndani ya Ukurasa wa Premier6 page au sehemu nyingine husika. Washindi wanaweza hitajika kushiriki kwenye kutangaza kama Premier Bet itatoa sababu nzuri za kuhitaji.
 4. Kuna siku 30 za kufanya malipo na kuwasilisha zawadi.
Kuwasilisha Ushiriki
 1. Premier Bet haitohusika na tatizo la mtandao au kufeli kwa kifaa cha kompyuta kwa namna yoyote, ambayo inaweza kusababisha kutotumwa au kucheleweshwa au kupata risiti ya ushiriki wako. Hatutokubali mtu ashiriki kwa njia ya barua pepe, ujumbe mfupi au njia yoyote nyingine ya mawasiliano. Ushiriki wa namna yoyote ambao hauwezi kuthibitika kwamba uliwekwa kabla ya mechi ya kwanza kuanza utabatilishwa, pamoja na bashiri zake.
Mipaka ya Dhima
 1. Isipokua suala la kifo au ajali iliosababishwa na uzembe au tatizo linalojulikana kisheria, Premier Bet na washirika wake wote na mawakala hawatohusika na dhima iliosababishwa na:
  1. kusogezwa mbele, kughairishwa, kucheleweshwa au mabadiliko ya zawadi, promosheni au ratiba za mechi ambazo sababu zake zipo nje ya uwezo wa Premier Bet;
  2. tatizo lolote la kimtandao au kutokupatikana kwa tovuti ya Premier6, App ya simu au jukwaa jingine husika;
  3. makosa ya kudhihirika au kuondolewa kwa zawadi husika; au
  4. kwa tatizo lolote litakalosababishwa na third-party supplier ikiwemo bila kuacha makosa yanayohusiana na ratiba za mechi na alama za matokeo.
  5. Vigezo na masharti vya third-party supplier yeyote vitahusika kwenye zawadi pale ambapo vitahitajika.
  6. Kama ufuataji wowote wa sheria hizi au sehemu ya hivi vigezo na masharti hautokua na lazima, au nje ya sheria au hauwezi kufuatwa, basi zinaweza kubadilishwa kwa kiwango kidogo sana iwezekenavyo ili ziweze kutumika na kukubalika kisheria na kufuatwa. Kama maboresho hayo hayatowezekana, sheria husika au sehemu ya sheria husika itaondolewa na kufutwa. Maboresho yoyote au kufutwa kwa sheria au sehemu ya sheria chini ya hiki kifungu havitoathiri ufuatishaji na utumiakaji wa vigezo vingine na msharti yote mengine.
Premier Bet
 1. Maamuzi ya Premier Bet ni ya mwisho na ndio wanaotoa maamuzi ya mwisho kwa washiriki kuhusiana na kila kipengele cha Premier6 ikiwemo (bila kuacha) utoaji wa zawadi na vipengele watakavyoangukia. Washiriki ambao hawatofuatisha sheria zote za Premier6 au vigezo na masharti wataondolewa na hawatokua na haki ya kupokea zawadi yoyote. Version ya Lugha ya kingereza yenye masharti na vigezo hivi vya Premier6 itakua na nguvu kuliko lugha nyingine zote kama kutakua na mgogoro wowote.