Ronaldo to score Ronaldo to score

Ronaldo amerudi kwenye jezi ya Manchester United na yupo tayari kufunga magoli! Tuna furaha sana na tutakupa Bonasi ya Bure kama atafunga goli kwenye mechi dhidi ya Newcastle. Weka bashiri ya Ronaldo kufunga goli na akifunga pata bonasi ya bashiri kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa!

Step 1
Nenda kwenye Nenda kwenye Michezo
Sports
Step 2
Weka bashiri ya Ronaldo kufunga goli
Bonus
Step 3
Shinda na pata Bonasi ya Ligi ya Mabingwa!
Money Bag

Cristiano Ronaldo amerudi kwenye jezi ya Manchester United na yupo tayari kucheza mechi yake ya kwanza siku ya Jumamosi dhidi ya Newcastle kwenye Ligi Kuu ya Uingereza. Sote tunafuraha sana kumuona Ronaldo amerudi Man Utd na tutawapa Bonasi ya Bure ya hadi 11,750 TSH Kama atafunga goli!

Weka bashiri ya Ronaldo kufunga goli, kwa viwango vifuatavyo na unaweza kushinda Bonasi ya bashiri husika, ambayo itatumika kuweka bashiri kwenye Ligi ya Mabingwa:

Weka bashiri ya 2,350 TSH au zaidi, Shinda na Upate Bonasi ya 1,175 TSH

Weka bashiri ya 11,750 TSH au zaidi, Shinda na Upate Bonasi ya 5,875 TSH

Weka bashiri ya 23,500 TSH au zaidi, Shinda na Upate Bonasi ya 11,750 TSH

Ofa ya Ronaldo kufunga goli itaendeshwa hadi mechi itakapoanza saa 17:00 siku ya Jumamosi tarehe 11 Septemba.

Ili kupata Bashiri yako ya Bonasi ya Ronaldo kufunga goli, weka bashiri moja kabla ya mechi ya angalau 2,350 TSH kwenye soko lolote la magoli kwa ajili ya Cristiano Ronaldo kwenye mechi ya Manchester United dhidi ya Newcastle siku ya Jumamosi. Kama Ronaldo atafunga goli kwenye mechi tutakupa Bonasi siku ya Jumatatu ya kutumia kwenye mechi yoyote ya Ligi ya Mabingwa.

Bonusi itatolewa endapo tu Cristiano Ronaldo atafunga goli kwenye mechi. Bonasi ya michezo itatakiwa kuzungushwa 3x kutimiza masharti ya ubashiri, machaguo angalau 3 na alama za jumla si chini ya 2.0.

Muda wa Promosheni
 • Ofa ya Ronaldo kufunga goli itaendeshwa hadi mechi itakapoanza saa 17:00 siku ya Jumamosi tarehe 11 Septemba. (REPLACE)
 • Bashiri zote zitakazowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Ni lazima uweke bashiri ya Cristiano kufunga goli, kwenye soko lolote, kwenye mechi ya Manchester United dhidi ya Newcastle siku ya Jumamosi tarehe 11.
 • Kima cha chini cha dau kitakachofuzu kupokea Bonasi ya Bure ni kama ifuatavyo:
 • Bashiri ya angalau 2,350 TSH kwa Bonasi ya 1,175 TSH
 • Bashiri ya angalau 11,750 TSH kwa Bonasi ya 5,875 TSH
 • Bashiri ya angalau 23,500 TSH kwa Bonasi ya 11,750 TSH
 • Bashiri lazima iwe moja, na iwekwe kabla ya mechi.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kwenye promosheni hii (bashiri zilizowekwa kwa kutumia pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Bonasi ya Bure itatolewa endapo tu Cristiano Ronaldo atafunga goli kwenye mechi ya Manchester United dhidi Newcastle.
 • Wachezaji wanaweza kufuzu kupokea Bonasi ya Bure moja tu, ikiwa na thamani ya hadi 11,750 TSH ndani ya muda wa promosheni.
 • Bonasi ya Bure ya Bashiri italipwa siku ya Jumatatu tarehe 13 Septemba.
 • Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika.
 • Bashiri za mifumo hazitohesabika kwenye Promosheni hii.
Bashiri ya Bonasi
 • Kiasi cha pesa ya bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 3 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (i.e kabla haujaweza kutoa pesa). Pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya ubashiri yatakapotimizwa.
 • Ili bashiri ifuzu kutimiza masharti ya ubashiri, ni lazima iwe na machaguo angalau 3, yenye alama za jumla si chini ya 2.00, kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi na mubashara, bashiri moja au nyingi. Bashiri yoyote itakayowekwa kwa alama ya chini zaidi, pesa itatolewa kwenye salio lakini haitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Kima cha juu cha pesa ya Bonasi kinachoweza kubadilishwa kuwa pesa halisi masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 1,175,000 TSH.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya kubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitoweza kubadilishwa ndani ya muda huu kitaondolewa kwenye akaunti yako, na kiasi chochote cha pesa ulichoweka kilichobaki kitarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Unaweza kutoa ushindi wako wa pesa taslimu muda wowote kwa kusalimisha pesa ya bonasi kama masharti ya ubashiri hayajatimizwa.
 • Ni bashiri zilizokamilika tu ndizo zitakazohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
Kwa Ujumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa kushirikiana na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kuepuka ushindi, au kutolipa tuzo, pale ambapo sehemu ya matokeo ya alama kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi (ikiwa ni pamoja na malipo ya mchezo yasiyo sahihi) iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa heshima ya michezo yote ilioshirikishwa.
 • Tuna haki ya ziada ya kuepuka ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa busara tukamtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.