Queen of Queens Cash Drops Queen of Queens Cash Drops

Shinda sehemu ya 28,000,000 TSH zawadi ya pesa taslimu kwenye michuano yetu ya Spring Blossom. Jipatie alama kwa kila 2,830 TSH utakayozungusha kwenye moja ya michezo yetu mitatu iliyoteuliwa na upande kwenye ubao wa washindi kujishindia zawadi kubwa ya 7,075,000 TSH.

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo
Slots
Step 2
Zungusha angalau 2,830 TSH
Deposit
Step 3
Jipatie alama za kupanda kwenye ubao wa washindi!
Leaderboard
CHEZA SASA

Unaweza kujishindia sehemu ya 10k EUR zawadi ya pesa taslimu bila hata ya kushinda unapozungusha kwenye mchezo wako! Ni rahisi, weka dau la angalau 2,830 TSH kwenye mchezo wa Nefertiti’s Nile, Ali Baba’s Riches au Mariachi Fiesta kujishindia alama kwenye ubao wa ushindi, na ufungue njia ya kupata alama za ziada kwenye hio michezo! Wachezaji wa juu 150 kwenye ubao wa ushindi wote watapokea zawadi. Kua wa kwanza na utajishindia 7,075,000 TSH zawadi ya pesa taslimu!

Michuano ya Spring Blossom itaanza kuanzia Alhamisi ya tarehe 12th hadi Jumatatu ya tarehe 22nd March.

Kila muda utakaoweka dau la 2,830 TSH au Zaidi kwenye kila moja ya michezo ifuatayo, utapokea alama kwenye ubao wa ushindi – haijalishi kama umeshinda au umepoteza. Kufungua mafanikio kwenye mchezo pia kutakupatia alama (tazama jedwali kwa taarifa Zaidi). Alama zitajumlishwa kwenye kipindi chote cha michuano. Cheza mchezo mmoja au michezo yote ifuatayo:

Mafanikio Alama
Entry in bonus game 50
BIG Win 50
MEGA Win 100
SUPER MEGA Win 200
EPIC Win 1000
5000 Spins 5000
Muda wa Promosheni
 • Michuano ya Spring Blossom itaanza kuanzia Alhamisi ya tarehe 12th March 03:00 hadi Jumatatu ya tarehe 22nd March 02:59.
 • Bashiri zote zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Dau la chini kwa kila mzunguko ili kushiriki kwenye michuano ni 2,830 TSH. Kama dau la chini halitopatikana kwenye mchezo, litajumlishwa katika dau la juu linalofuata linalopatikana kwenye mchezo.
 • Kila 2,830 TSH iliyowekwa itampatia mchezaji alama moja kwenye ubao wa Ushindi.
 • Bashiri zitakazofuzu ni lazima ziwekwe kwenye moja kati ya michezo ifuatayo kutoka kwenye GameArt: Nefertiti’s Nile, Ali Baba’s Riches na Mariachi Fiesta.
 • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu tu ndizo zitakazo hesabiwa kwenye michuano hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
Ubao wa Ushindi
 • Kiasi cha zawadi zote za pesa taslimu kitaonekana kwenye mchezo kwa mfumo wa sarafu ya pesa ambayo unaichezea.
 • Kushiriki kwenye michuano hii ni moja kwa moja endapo utacheza kwenye michezo inayishiriki.
 • Ubao wa ushindi utaonyesha wachezaji waliolimbikiza alama za juu Zaidi katika kipindi cha michuano.
 • Kama wachezaji wawili au Zaidi watakua na alama sawa mwisho wa michuano hii, mchezaji aliyefikisha alama hizo wa kwanza ndie atakaepewa nafasi ya juu
 • Nyongeza kwenye mizunguko ya kawaida, mchezaji anaweza kupata alama za ziada kupitia mafanikio yafuatayo: kuingia kwenye mchezo wa bunasi (50), Ushindi mkubwa/BIG Win (50), MEGA Win (100), SUPER MEGA WIN (200), EPIC Win (1000), Mizunguko/ Spins 5000 (5000).
Zawadi za Ubao wa Ushindi
 • Wachezaji 150 wenye alama za juu Zaidi watashinda kiasi cha pesa taslimu kinachoonekana kwenye ubao wa Ushindi.
 • Zawadi zitawekwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 baada ya kupitishwa matokeo ya ubao wa washindi.
 • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering) na zinawezwa kutolewa papo hapo.
 • Zawadi zinaorodheshwa kwenye jedwali la michuano ndani ya kila mchezo.
Jumla
 • Hii ni ofa ya mtandao inayopatikana kwenye tovuti zote za GameArt zinazoshiriki.
 • Zawadi za pesa taslimu na kiwango cha chini cha bashiri kwenye michuano hii zimewekwa kwa mfumo wa EUR na zinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya ubadilishaji wa sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.