Premier 6


Super6 ni mchezo mpya na wa bure wa kubashiri mpira wa miguu ambao unaweza kukupatia ushindi wa 250,000,000 TSH na zawadi za uhakika kwa washindi wanaofuata za kila wiki kwa msimu huu. Ni sahihi kabisa – mchezo huu ni bure kabisa kwa wachezaji wote waliojisajili na Premier Bet. Ni rahisi, bashiri matokeo sahihi ya mechi sita zilizochaguliwa kwa kila mzunguko wa mchezo, ukipatia matokeo yote ya mechi zote sita utashinda zawadi kubwa ya pesa taslimu (kama kutakua na mshindi Zaidi ya mmoja sheria ya Goli la Dhahabu ndio itakayofuatwa kuchagua mshindi).

 1. 1
  Unaweza kutumia taarifa za kuingia kwenye akaunti yako ya Premier Bet kucheza. Kama hauna akaunti, bofya kwenye kitufe cha Jisajili juu kulia kwenye kona ya tovuti yetu au Jisajili hapa.
 2. 2
  Bashiri matokeo sahihi ya MECHI SITA (Super6 fixtures) kwenye kila mzunguko husika.
 3. 3
  Kisha tabiri Goli la Dhahabu. Hii ni dakika ambayo unahisi goli la kwanza litafungwa kwenye mechi zote sita. Bashiri yako ya goli la dhahabu itatumika kama kutakua na mshindi mwingine.
 4. 4
  Weka bashiri zako na bofya wasilisha chaguzi zangu

Goli la Dhahabu ni bashiri ya muda ambao goli la kwanza litapatikana kwenye mechi yoyote ya Super6. Wachezaji wanatakiwa kuweka hii bashiri wakiwa wanaweka bashiri ya matokeo sahihi. Hii inatumika kuchagua washindi wa Jackpot kama kutakua na mshindi Zaidi ya mmoja waliopatia matokeo sahihi ya mechi zote 6. Kwa ufafanuzi, Muda wa magoli utarekodiwa kama ifuatavyo: sekunde 0 – 59 = Dakika ya 1, Dakika1 sekunde00 – Dakika1 sekunde59 = Dakika ya 2 na vivo hivyo. Kwa mfano kama mchezaji akichagua dakika ya 6 kwa Goli la Dhahabu basi tutaangalia goli la kwanza litakalopatikana kati ya Dakika ya 5 sekunde00 – Dakika5 sekunde59.

Hapana. Mtu mmoja anaruhusiwa kumiliki akaunti moja tu, na anaruhusiwa kushiriki mara moja kwa kila mzunguko. Ukigundulika una akaunti Zaidi ya moja zitafungwa zote. Kama Premier Bet watakua na sababu ya kuamini akaunti Zaidi ya moja zimefunguliwa na kutumika na mtu mmoja, akaunti zote zitafungwa na ushiriki wa mchezaji wa namna hio utakua batili na hatofuzu kupokea ofa au zawadi yoyote.

Zawadi ya ushindi wa Jackpot ni 250,000,000 TSH labda kama itatangazwa kubadilika. Zawadi hii itatolewa kwa mchezaji ambae amebashiri kwa usahihi matokeo yote sita ya mechi za Super6. Kma kutakua na wachezaji wawili au Zaidi ambao wamebashiri kwa usahihi mechi zote sita za Super6, Zawadi ya ushindi wa Jackpot itachukuliwa na mchezaji ambae amebashiri muda karibu Zaidi na muda sahihi wa Goli la Dhahabu. Kama kutakua na wachezaji wawili ambao wamebashiri kwa usahihi mechi zote sita za Super 6 na ubashiri wao wa Goli la Dhahabu uko sawa na muda ambao goli la kwanza limepatikana, zawadi hii itagawanywa sawa kwa wachezaji hao.

Kama kuna mechi yoyote ya Super6 itakayosogezwa mbele, kughairishwa au itakayoishia njiani (ambapo itachezwa chini ya dakika 90) basi hio mechi itaondolewa kwenye ratiba. Hatutopokea bashiri tena kwenye mzunguko huo na Mashindano yataendelea kwa mechi 5 zilizobaki kwa ushindi ule ule wa jackpot ya 250,000,000 TSH. Kama kutakua na mechi ya pili itatokea kusogezwa mbele, kughairishwa au kuishia njiani, basi mashindano yataghairishwa na bashiri zote zitafutwa.

Bashiri zinatakiwa kuwasilishwa kabla ya mechi ya kwanza kwenye mzunguko kuanza. Ukishawasilisha machaguo yanaweza kubadilika mpaka mechi ya kwanza kwenye mzunguko itakapoanza.

Tembelea Ukurasa wa Super6 kubashiri Matokeo ya mechi sita zilizochaguliwa kwa kila mzunguko wa Mshindano makubwa Zaidi.