SHINDA KIASI ULICHOBASHIRIA KUPITIA BIMA YA MKEKA!

Ni muda wa kuonyesha uzoefu wako wa mikeka kwa kubashiria mkeka wa mechi 7 (au zaidi) kwenye mechi za kufuzu Michuano ya Kimataifa barani Ulaya mwaka 2020.

Umekosea chaguo moja pekee? Haina usawa! Tunakurejeshea dau lako ubashirie Bure.

Tiketi ya bure inatolewa moja kwa moja na inaweza kutumika kuchezea Mchezo wowote na masoko yoyote.

Maelezo ya Tiketi ya Bure yanapatikana hapa

BASHIRI SASA
JINSI YA KUFUZU?
 • Ofa hii ni halali kuanzia tarehe 14 mwezi Novemba saa 6:00 mchana mpaka tarehe 19 mwezi Novemba saa 2:45 usiku.
 • Ili kufuzu, unatakiwa kukosa chaguo moja pekee kwenye mkeka wako wa mechi 7 (au zaidi) wa mechi za kufuzu michuano ya kimataifa barani Ulaya 2020.
 • Machaguo yote yatakayofuzu ni lazima yawe na alama 1.5 au juu zaidi.
 • Tuzo ya juu kabisa ni 57,000 TSH.
 • Ikiwa yoyote kati ya machaguo yako yamefutwa,yamebatilishwa au kuwekwa 1.00 basi mkeka wako utapungua idadi ya machaguo halali kwenye ofa ya Bima ya Mkeka.
 • Kumbuka, utapokea ofa yako ya tiketi ya bure mara baada ya bashiri zote kuamuriwa.
 • Tunayo haki ,kwa hiari yetu wenyewe, kumuondoa mteja husika kwenye bonasi kama tutabaini njama au ubadhilifu wa ofa.
VIGEZO NA MASHARTI YA JUMLA YA BASHIRI ZA BURE
 • Kiasi cha kubashiria bure kitaongezwa baada ya kuamuriwa kwa ubashiri.
 • Kama hakitotumika, kiasi cha kubashira bure kitaondolewa ndani ya siku 7 mara baada ya kuzawadiwa.
 • Tiketi ya bure inaweza kutumika kwenye Ubashiri wa michezo pekee.
 • Tiketi ya bure inaweza kuonekana katika kipengele cha mkeka kwenye akaunti ya mteja husika.
 • Dau la tiketi ya bure halijumuishwi katika malipo yoyote.