KANUNI ZA JUMLA KUHUSU UAMUZI NA UKATISHAJI

  • Iwapo matokeo ya chaguzi hayawezi kuthibitishwa rasmi,  tuna haki ya kuchelewesha malipo hadi uthibitishaji ufanyike.
  • Iwapo chaguzi zilitolewa wakati ambapo matokeo yalikuwa tayari yanajulikana, tuna haki ya kubatilisha uwekaji wa bashiri. .
  • Inapotokea kuna makosa ya wazi katika bei zilizoonyeshwa au kutolewa, tuna haki ya kubatilisha uwekaji bashiri. Hii inahusisha hitilafu ya zaidi ya asilimia 100 kwenye malipo ikilinganishwa na malipo ya wastani kwenye chaguzi.
  • Iwapo upeperushaji utasitishwa ila mchezo ukakamilika kama kawaida, chaguzi zote zitalipwa kulingana na matokeo ya mwisho. Iwapo matokeo ya chaguzi hayawezi kuthibitishwa rasmi, tuna haki ya kubatilisha bashiri husika.
  • Katika hali ambapo kuna malipo ya kimakosa kwenye chaguzi, tuna haki ya kufanya masahihisho wakati wowote.
  • Katika hali ambapo masharti ya kijumla ya mchezo yatakiukwa, tuna haki ya kubatilisha chaguzi (kwa mfano; Urefu wa kipindi usio wa kawaida, utaratibu wa kuhesabu, mpangilio wa mchezo n.k.).
  • Katika hali ambapo kanuni au utaratibu wa mchezo unatofautiana na taarifa tulizodokeza, tuna haki ya kubatilisha chaguzi zozote.
  • Iwapo mechi haikamiliki au kuchezwa kama kawaida (k.m. Inasimamishwa, kukatizwa, kuondolewa, mabadiliko katika upangaji wa sare, n.k.), chaguzi zote ambazo hazijakamilika zitachukuliwa kuwa batili.
  • Kiwango cha juu cha ushindi kwa kila bashiri ni TSH 234,000,000 TZS