FURAHIA ASILIMIA 100% KWENYE SALIO LAKO LA KWANZA!

Anza safari yako ya kushangaza kwa bonasi ya kwanza ya Asilimia 100%, ili uweze kufurahia ubashiri wa michezo yako bora kwenye kitabu ya Michezo!
Hatua ya 1: Jisajili nasi!
Hatua ya 2: Nenda kaweke pesa na chagua “Bonasi hai” unapoweka pesa kwa mara ya kwanza.
Hatua ya 3: Furahia bonasi yako!
JISAJILI SASA
Jambo gani jingine nalohitaji kufahamu?

1.) Ofa hii ni maalum kwa wateja wa Premier Bet pekee ambao walifungua akaunti baada ya saa saba kamili mchana muda wa Uganda mnamo tarehe 27/03/2019

2.) Tunayo haki, katika utaratibu wetu, ya kumuondoa mteja fulani katika bonasi kama tutatilia shaka njama au matumizi mabaya ya ofa

Kufuzu Kupokea Bonasi

1.) Pata bonasi ya asilimia 100% kwenye pesa yako ya kwanza hadi bonasi ya 2,500 TSH

2.) Kwa mfano: Unaweka salio la 1,000 TSH na unapata nyongeza ya 1,000 TSH kwenye mfuko wa bonasi. Sasa unakuwa na 2,000 TSH

Taarifa za bonasi

1.) Utaweza kuomba bonasi yako mara tu umalizapo kuweka pesa yako ya kwanza

2.) Bashiri zote zinapaswa kuchezwa katika alama za 2.00 au kubwa Zaidi. Mkeka wowote (ubashiri wenye machaguo mengi) lazima ujumuishe angalau uchaguzi wenye alama za 2.00 au Zaidi

  • a. Bonasi itashikiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka vigezo vya kubashiria vitakapo timizwa. Jumla ya kiasi (ulichoweka + bonasi) kinatakiwa kubashiriwa angalau mara 20 kwa alama za 2.00 au (kwa kila chaguo kwenye mkeka) kubwa Zaidi kuruhusu kutoa pesa yoyote. (i.e kabla hujazitoa pesa).Kwa mfano: Unaweka salio la 1,000 TSH na unapata nyongeza ya 1,000 TSH kwenye mfuko wa bonasi. Sasa unakuwa na 2,000 TSH ambayo unapaswa kubashiria mara 20 (jumla ya dau la 20,000 TSH) kabla kiasi akijaachiliwa kwenye mfuko wa bonasi wa mteja

3.) Unasiku saba kukamilisha matakwa yoyote ya ubashiri.Fedha yoyote ya bonasi isiyobadilishwa katika kipindi hiki itaondolewa na kiasi chochote kilichobakia baada ya kuweka pesa kitarudishwa kwenye mfuko wako wa pesa taslimu

4.) Fedha iliyowekwa inaweza kutolewa muda wowote wakati wa promosheni, japokuwa utoaji wowote wa pesa utaifuta promosheni kwenye akaunti na utapoteza pesa za bonasi

5.) Bashiri zilizofutwa hazitahesabiwa kwenye mahitaji ya kubashiri

6.) Ubashiri wowote utakaofanyika katika alama ndogo utachukuliwa kwenye salio lakini hautahesabika kwenye mahitaji ya kubashiri