Flash Win Flash Win

Mchezo wa Tiny Roulette sasa umezidi kunoga, ukiwa na kipengele kipya cha ushindi kinachoongeza msisimko kwenye kuzungusha gurudumu! Ni rahisi, chagua namba yako ya bahati na, kama ndio itakayopatikana, tutakupatia chip ya bure yenye thamani ya 25% ya dau lako kwa ujumla!

CHEZA SASA
Step 1
Cheza mchezo wa Tiny Roulette
Poker
Step 2
Chagua namba yako ya bahati
Deposit
Step 3
Shinda Chip ya bure!
Leaderboard
CHEZA SASA

Shinda zaidi kwenye mchezo wa Tiny Roulette ukiwa na kipengele kipya cha bonasi – Namba ya bahati! Sasa unaweza kushinda Chip ya bure, yenye thamani ya 25% ya dau lako kwa ujumla, kwa kila mzunguko wa gurudumu la roulette. Ni rahisi, chagua namba yako ya bahati kuanzia 0 hadi 12, weka bashiri yako (hakuna ulazima wa kubashiri kwenye namba yako ya bahati) na tutakuzawadia Chip ya bure kama namba yako itachaguliwa!

Kuchezea Chip yako ya bure utahitaji kuweka bashiri ya pesa taslimu. Unaweza kutumia Chip yako ya bure kwenye mzunguko unaofuata wa mchezo baada ya kuzawadiwa. Chip yako ya bure unaweza kuitumia kwenye namba yoyote (haiwezi kutumika kwenye bashiri za aina nyingine kama kuchagua rangi Nyekundu au Nyeusi na inatumika kwenye namba moja tu). Ushindi wowote utakaoupata kutoka kwenye Chip yako ya bure utalipwa moja kwa moja kama pesa taslimu.

Jinsi ya Kucheza
 • Weka bashiri kwenye mchezo wa Tiny Roulette.
 • Chagua namba yako ya bahati. Unaweza kuchagua namba yoyote kati ya 0 na12; hii inaweza kubadilika kwa kila mzunguko wa mchezo au unaweza kuchagua namba moja na kubaki nayo hio hio!
 • Zungusha gurudumu na kama namba yako ya bahati itachaguliwa basi utazawadiwa Chip ya bure yenye thamani ya 25% ya jumla ya dau lako kwa mzunguko – kwahiyo kama utabashiri 100, utapokea Chip ya bure yenye thamani ya 25. (hii inaweza kubadilika kulingana na thamani ya hela ya kila nchi – chukua kiasi kimoja kama ‘100’, gawanya kwa 4 kupata ‘25’. Unaweza kuchagua.)
 • Unaweza kutumia Chip yako ya bure kwenye bashiri yoyote ya pesa halisi.
 • Unaweza kutumia Chip yako ya bure kwenye mzunguko wowote wa mchezo. Ni lazima iwekwe kwenye namba moja tu.
Ushindi
 • Ushindi wote utakaotokana na Chip yako ya bure utawekwa moja kwa moja kama pesa taslimu.
 • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu tu kwenye mchezo wa Tiny Roulette ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
Jumla
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa. (mfano. Viwango vya pesa vya uhakika; bonasi; bashiri za bure; viwango vya pesa vilivyozidishwa; na marejesho ya pesa) na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Tunahaki ya kuondoa, kufuta au kutoa ushindi kwemnye akaunti ambazo zimegundulika ni za ulaghai.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.