NBA Boost NBA Boost

Kila wiki tuna changamoto ya ubashiri, ambapo wachezaji bora watatu watajishindia sehemu ya 235,000 TSH kama zawadi ya pesa taslimu. Wiki hii ni Changamoto ya Odds, na zawadi kwa wachezaji ambao wanalimbikiza dau za ushindi kutoka kwa betslips zote kwa siku saba.

Bashiri Sasa
Step 1
Weka beti
Sports
Step 2
Pata pointi kila ukishinda dau
Bonus
Step 3
Panda kwenye ubao wa ushindi kushinda zawadi ya Pesa Taslimu!
Money Bag
Bashiri Sasa

Je ni wewe utakua bingwa wetu wa kubashiri wiki hii na kujishindia zawadi ya kwanza ya 117,500 TSH? Tunakuandalia changamoto na kama wewe utakua mmoja kati ya wachezaji wetu bora watatu ambao watakua kwenye ubao wetu wa ushindi, utajishindia sehemu ya 235,000 TSH zawadi ya pesa taslimu.

Changamoto ya Washindi wa Wiki ya Odds Inaendesha kuanzia Ijumaa tarehe 12 hadi Alhamisi Januari 19

Wiki hii tuna Odds Challenge. Ili kupata pointi kwa listi ya uongozi unahitaji kuweka beti za kushinda na hali ya juu iwezekanavyo! Kwa kila bet kushinda utapokea pointi kwa ajili ya odds, hivyo kama jumla ya odds ni 2.00 utapokea pointi 2. Hali ya juu ambayo unabashiri na kushinda, utapata pointi zaidi kupanda listi ya uongozi na kushinda moja ya zawadi za pesa!

*Ubao wa washindi unaonyesha msimamo wa sasa wa wachezaji hadi leo. Msimamo wa mwisho wa ubao wa washindii na washindi wake utachapishwa Ijumaa tarehe 19 Machi. Zawadi zitaingizwa kwenye akaunti za wachezaji ndani ya masaa 72 kutoka kwenye chapisho la mwisho la ubao wa Washindi.

Nafasi Jina la mtumiaji Zawadi
1 2******31988 960
2 M******valence 352
3 2******09175 189
Muda wa Promosheni
 • Odds Challenge ya Washindi wa Kila Wiki inaendeshwa kutoka Ijumaa 12 Januari 02:00 hadi Alhamisi tarehe 19 Januari 01:59.
 • Bashiri zote zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
Alama za Ubao wa Ushindi
 • Jumla ya odds ndani ya ushindi wa ubashiri uliowekwa ndani ya kipindi cha promosheni utapata pointi, ikiwa pointi 1 kwa kila odd ya1.00. Kwa mfano ukiweka ubashiri wa odds 2.00 na ukashinda utapokea pointi 2. Ukiweka beti 3 na odds za 5.00 na ushindi wote utapokea pointi 15.
 • Hakuna dau la chini la kubashiri ili kustahili.
 • Bashiri zinaweza kuwekwa kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi au hata mechi zinazocheza.
 • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu tu ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
 • Bashiri zitakazoghairishwa (Cashed out) au bashiri hewa hazitohesabika.
 • Bashiri za mfumo hazitohesabika.
Zawadi za Ubao wa Ushindi
 • Wachezaji watatu (3) watakaokua wamekusanya alama kubwa Zaidi ndani ya muda huu wa Promosheni wataingia kwenye ubao wa Ushindi.
 • Zawadi za washindi wa changamoto ya wiki zitakua:
Nafasi Zawadi
1 117,500 TSH
2 70,500 TSH
3 47,000 TSH

 • Ubao wa ushindi utakua unabadilishwa saa 12:00 AM kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa. Na ubao wa mwishoo utakua unabadilishwa kila Ijumaa kuonesha washindi na zawadi zao.
 • Zawadi za pesa taslimu zitakua zinalipwa ndani ya masaa 72 baada ya matokeo ya mwisho kukamilika ubaoni.
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi moja tu kwa wiki.
 • Zawadi za pesa taslimu zitatolewa bila masharti yoyote ya ziada na zinaweza kutolewa kwenye account papo hapo.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.