UEL/UCL Football Bet & Get UEL/UCL Football Bet & Get

Ofa hii haitopatikana kwa wachezaji watakaoweka pesa kwa mitandao ya Tigo au Vodacom.

Tuna bonasi ya kipekee kwa ajili yako! Pata Bonasi ya 100% ya michezo ya Slots unapoweka pesa kwenye akaunti yako hadi 235,000 TSH unaweza kupata unapoweka pesa! Ni rahisi, weka pesa hadi $100 na utapokea bonasi sawa na kiasi ulichoweka hadi 235,000 TSH kutumika kwenye mchezo wowote wa slots, kwa masharti ya kuzungusha mara 10.

Step 2
PATA BONASI YA SLOT YA 100%
Slots
Step 3
ANZA KUCHEZA!
Money Bag

Pata bonasi ya kipekee unapoweka pesa kwenye akaunti yako kutumika kwenye michezo yako pendwa ya slots. Unapoweka pesa unaweza kupata bonasi ya hadi 235,000 TSH kutumika kuzungusha na kushinda! Ni rahisi, ingia kwenye akaunti yako na weka pesa ili kupata bonasi.

Kima cha juu kabisa cha bonasi unachoweza kupokea ni 235,000 TSH, na inatakiwa kuzungushwa mara 30 (wagering requirements) kwa kiasi ulichoweka na bonasi uliyopokea kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote. Lakini fanya upesi – hii ni ofa ya muda mfupi ambayo inapatikana ndani ya muda uliotajwa kwenye meseji yako ya ofa ya kipekee, inapotolewa utapewa siku 7 za kuitumia bonasi yako.

Jinsi ya Kupata Bonasi
 • Ingia kwenye akaunti yako.
 • Weka pesa kwenye akaunti yako akaunti yako na chagua ‘Activate Bonus (ruhusu bonasi)’ ili kupata Deposit Bonus ya 100% kwenye michezo ya Slots.
 • Baada ya hapo unaweza kuanza kucheza mchezo wako pendwa wowote wa slot (isipokua michezo ya Booming na Playson), ikiwemo na michezo hii maarufu ya slots:
 • Bonasi haiwezi kutumika kwenye slots za michezo ya Booming au Playson.
Bonasi ya Slots Deposit
 • Ofa hii inapatikana kwa wachezaji waliopokea meseji (SMS) au email kuhusiana na ofa hii ya promosheni.
 • Utahitajika kuchukua Bonasi ya Slot Deposit ya 100% ndani ya siku iliyotajwa kwenye meseji yako ya ofa.
 • Pesa zote zilizowekwa nje ya muda wa promosheni uliyotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii ya bonasi ya kipekee.
 • Ni lazima uiruhusu bonasi yako kwa kuweka pesa deposit ili iweze kuingia kwenye akaunti yako ya pesa ya bonasi.
 • Utapokea bonasi ya 100% kulingana na kiasi cha pesa ulichoweka hadi kufikia 235,000 TSH. Kwa mfano: kama utaweka pesa kwa mara ya kwanza ya 23,500 TSH utapokea bonasi ya 23,500 TSH kama pesa ya bonasi.
 • . Bonasi ya Slot Deposit ya 100% inaweza kutolewa mara moja tu ndani ya muda wa promosheni, na kiasi cha juu kabisa cha bonasi ambacho mchezaji mmoja anaweza kukipata ni 235,000 TSH.
TAARIFA YA BONASI
 • Bonasi yako itawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako baada ya kufanikiwa kuweka pesa. Kila mchezaji aliefuzu kupata ofa ya Kipekee ya Bonasi ya slots anaweza kupata bonasi mara moja tu ndani ya muda wa promosheni.
 • Kiwango cha bonasi na pesa uliyoweka ni lazima vizungushwe angalau mara 10 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Sio michezo yote inachangia, au itachangia kwa kiwango kile kile kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Ni bashiri zilizowekwa kwenye michezo ya slots pekee ndizo zitakazoshiriki kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Michezo yote ya slot ina mchango wa 100% kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi (isipokua michezo ya Booming na Playson), na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni 11,750 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 11,750 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • .Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 5,825,000 TSH.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
Jumla
 • Unaweza kupata bonasi moja tu utakapoweka pesa. Bonasi haziwezi kutumika kwa mjumuiko na ofa nyingine ya bonasi au promosheni.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kutumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki. Mifano mingine ya michezo ya kubahatisha isiyo ya haki lakini sio lazima iwe ni kuweka bashiri sawa ya pesa kwenye michezo ya Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka bashiri moja ambazo zipo sawa au zimezidi 20% au Zaidi ya kiwango cha pesa ya bonasi ulichopokea kabla ya kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Tuna hifadhi haki ya kupunguza idadi ya wachezaji watakaoshiriki, kurekebisha, kuondoa, kuwarudisha kwa kukataa promosheni yoyote kwa hiari yao, kulingana na sababu yoyote bila kutoa taarifa.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha bonasi ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.