Bet and Get Bet and Get

Una ofa ya bonasi ya kipekee! Weka bashiri kwenye mchezo wowote wa slots kwa kiasi cha dau kilichopo kwenye ujumbe mfupi (sms) au email ya kipekee uliyopokea na tutakupatia bonasi ya michezo ya slots ya kiasi kile kile! Unaweza kutumia bonasi yako kwenye michezo mizuri ya slot, ikiwa na masharti ya kuizungusha mara 30 (wagering requirement).

Step 1
EKA BASHIRI YAKO KWENYE MICHEZO YASLOTS
Casino
Step 2
PATA BONASI YA MICHEZO YA SLOTS
Slots
Step 3
ANZA KUZUNGUSHA REELS BURE!
Money Bag

Pata bonasi ya michezo ya slots ya kutumika kwenye mchezo wako wowote pendwa wa slot ambapo utazungusha reels kwa dau lilotajwa kwenye meseji au email yako ya kipekee uliyopokea. Ni rahisi, weka bashiri kwenye mchezo wowote wa slot ili kufuzu, na utazawadiwa bonasi ya michezo ya slots ndani ya muda wa promosheni

Kiasi cha juu kabisa cha bonasi unachoweza kupokea kitatajwa kwenye meseji au email yako ya kipekee, kikiwa na masharti ya kuzungushwa mara 30 (wagering requirements) kabla ya kuweza kutolewa kama pesa taslimu. Lakini fanya upesi – hii ni ofa ya muda mfupi ambayo inapatikana ndani ya muda uliotajwa kwenye meseji yako ya ofa ya kipekee, inapotolewa utapewa siku 7 za kuitumia bonasi yako kwenye moja ya michezo hii mizuri zaidi:

Bonasi haiwezi kutumika kwenye slots za michezo ya Booming au Playson.

Bashiri zitakazofuzu
 • Ofa hii inapatikana kwa wateja waliopokea meseji (SMS) au email kuhusiana na ofa hii ya promosheni.
 • Utahitajika kuweka bashiri kwenye michezo ya slots pekee zikiwa na thamani na ndani ya tarehe/muda uliotajwa kwenye meseji yako ya ofa.
 • Bashiri zozote zilizowekwa na kukamilika baada ya tarehe iliyotajwa hazitofuzu kupokea ofa hii ya bonasi ya kipekee.
 • Unaweza kufuzu kupokea bonasi moja tu.
TAARIFA YA BONASI
 • Bonasi yako itawekwa ndani ya masaa 72 kuanzia tarehe ya mwisho iliyotajwa kwenye meseji yako ya kipekee ya ofa. Kila mchezaji aliefuzu anaweza kupokea bonasi moja tu ya kipekee kwenye michezo ya slots.
 • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Sio michezo yote inachangia, au itachangia kwa kiwango kile kile kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Ni bashiri zilizowekwa kwenye michezo ya slots pekee ndizo zitakazoshiriki kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. /li>
 • Michezo yote ya slot ina mchango wa 100% kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi (isipokua michezo ya Booming na Playson), na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni 11,625 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 11,625 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 235,000 TSH.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
Jumla
 • Unaweza kupata bonasi moja tu ndani ya muda wa promosheni. Bonasi haziwezi kutumika kwa mjumuiko na bonasi au ofa nyingine yoyote ya promosheni.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kuitumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki. Mifano mingine ya michezo ya kubahatisha isiyo ya haki lakini sio lazima iwe ni kuweka bashiri sawa ya pesa kwenye michezo ya Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka bashiri moja ambazo zipo sawa au zimezidi 20% au Zaidi ya kiwango cha pesa ya bonasi ulichopokea kabla ya kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Tuna hifadhi haki ya kupunguza idadi ya wachezaji watakaoshiriki, kurekebisha, kuondoa, kuwarudisha kwa kukataa promosheni yoyote kwa hiari yao, kulingana na sababu yoyote bila kutoa taarifa.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.