Jinsi Ya
Tafuta majibu kwa maswali yote utakayokuwa nayo
- Bofya kwenye kitufe cha SAJILI upande wa juu kulia wa kioo chako
- Jaza fomu kwa taarifa zako na
bofya kitufe cha Sajili
- Ukishasajili akaunti mpya baada ya
kubofya kitufe cha Sajili, unaweza kuanza kuweka pesa na
kubashiri

- Bofya kwenye kitufe cha ingia
- Unaweza kuangalia salio lako
haraka upande wa juu kulia wa kioo chako
- Kama ukifungua shuka chini,
unaweza kupata taarifa zaidi
- Kama unataka kuona taarifa zaidi, ingia kwenye wasifu wako kwa kubofya “WASIFU Wangu” katika menyu ya kushuka chini na unaweza kuona salio lako
- Kama ukifungua menyu ya kushuka
chini, unaweza kupata taarifa zaid
- Ingia kwenye Akaunti yako ya Premier Bet;
- Bofya kitufe cha WEKA PESA juu kabisa ya screen yako;
- Chagua njia ya “Credit Cards”;
- Ingiza kiasi unachotaka kuweka kisha bofya ENDELEA.
- Utahitajika kujaza taarifa zako binafsi na taarifa za credit card yako ili kuendelea na malipo Bofya kitufe cha Lipa Sasa ili kuthibitisha malipo na benki yako. Baada ya
- Bofya kitufe cha Lipa Sasa ili kuthibitisha malipo na benki yako.
- Baada ya kukamilisha malipo pesa zitakua zimeingia kwenye akaunti yako ya ubashiri.



- Wasiliana na Wakala au kituo cha mauzo cha Selcom
- Ulizia huduma ya kuweka pesa kwenda Premier Bet
- Kabidhi namba ya simu uliojisajilia akaunti yako au namba ya akaunti inayopatikana kwenye wasifu wako
- Baada ya hamisho la pesa kufanyika utapokea risiti
- Papo hapo pesa itaingia kwenye akaunti yako
- Bofya kwenye kitufe cha INGIA
- Bofya kwenye kitufe cha ‘Sahau
Nywila’
- Ingiza barua pepe yako
- Ingia kwenye uwanja wa kupokelea ujumbe kisha bofya kwenye barua pepe mpya uliopokea kutoka Premier Bet
- Bofya kwenye link na ingiza nywila yako mpya
- Nenda kwenye ukurasa wetu wa nyumbani
- Chagua mchezo unaotaka kubashiria,
kutoka kwenye menyu ndogo
- Chagua aina ya mechi utakazo penda
kubashiria
- Chagua nchi & Ligi unazopendelea
- Chagua kipengele cha kubashiria
unachopendelea
- Chagua alama za kubashiria
unazopendelea
- Nenda kwenye mkeka wako
- Weka bashiri zako
- Nenda kwenye ukurasa wetu wa nyumbani
- Chagua mchezo unaotaka kubashiria,
kutoka kwenye menyu ndogo
- Chagua kipengele cha ‘Mubashara
Sasa’
- Chagua nchi unazopendelea
- Ligi unazopendelea
- Chagua kipengele cha kubashiria
unachopendelea
- Chagua alama za kubashiria
unazopendelea
- Nenda kwenye mkeka wako
- Weka bashiri zako
- Click on “Free bet” in your betslip – Bofya kwenye
“Ubashiri wa bure” katika mkeka wako
- Chagua Bashiri ya bure unayotaka kutumia
- Hamia kwa mchezo au machaguo yoyote unayotaka kubashiria
- Fanya uchaguzi wako
- Kwenye mkeka, weka bashiri yako (Kiasi cha Dau
hujiongeza chenyewe kwa thamani ya ubashiri wa bure)
- Ingia kwenye akaunti yako
- Gusa alama ya v juu ya kioo chako
- Chagua ‘TOA PESA’ kisha nenda kwenye ukurasa wa Kutolea pesa
- Ingiza kiasi utakacopenda kutoa na kisha chagua kitufe cha ‘Zantel’, ‘Airtel Money’, ‘Tigo Pesa’ or ‘Vodacom ‘kutoka kwenye menyu ndogo ya chini
- Bofya Kutoa Pesa
- Ingia kwenye akaunti yako
- Gusa alama ya v juu ya kioo chako
- Chagua ‘TOA PESA’ kisha nenda kwenye ukurasa wa Kutolea pesa
- Chagua kitufe cha ‘Voucher’ kutoka kwenye menyu ndogo ya chini
- Bofya Kutoa Pesa
- Ombi lako la kutoa pesa linashugulikiwa, msimbo wako wa Vocha unaweza kupatikana kwenye Wasifu wako chini ya kipengele cha Financial. Utahitaji kuonyesha namba za vocha zako kwenye duka letu au wakala na kupokea pesa zako.
- Baada ya kupokea msimbo wa vocha unapaswa kutumika ndani ya siku 7, hutaweza kudai pesa baada ya siku 7 kupita.