Crash Cash Tournament Crash Cash Tournament

Kuna vipengele vipya vimeongezwa kwenye michezo yetu ya kipekee ya Virtual Crash Games Navigator na Fishinator – sasa unaweza kuweka bashiri 4 kwenye kila mzunguko badala ya 2 ili kushinda zaidi kadri unavyocheza! Na kali kabisa, tunawapa wachezaji 25 nafasi ya kujishindia sehemu ya 400,000 TSH kwa siku 4 zijazo. Ni rahisi, cheza mchezo wa Fishinator au Navigator na utapanda kwenye ubao wa washindi ili kupata sehemu yako ya zawadi!

Step 1
Cheza mchezo wa Fishinator au Navigator
Casino
Step 2
Panda kwenye ubao wa washindi
Slots
Step 3
Shinda zawadi za Pesa Taslimu!
Money Bag

Ni muda wa kujishindia zawadi za Pesa Taslimu! Kwa siku 4 zijazo unaweza kujishindia sehemu ya 400,000 TSH utakapocheza mchezo wa Fishinator na Navigator.

Promosheni ya Fishinator na Navigator Cash Tournament itaanza Jumatatu tarehe 6 Novemba 2023 00:01 UTC hadi Alhamisi tarehe 9 Novemba 2023 23:59 UTC.

Jinsi ya Kushinda:
Cheza mchezo wa Fishinator au Navigator (hakuna kima cha chini cha dau). Kila ushindi utakupatia alama kulingana na kizidishi cha ushindi ( kwa mfano, kama utaweka bashiri ya 2,600 TSH na ukashinda 26,000 TSH, utazawadiwa alama 10 ). Alama utakazozipata zitajumlishwa ndani ya kipindi chote cha mashindano. Unavyokusanya alama nyingi zaidi, ndivyo unavyozidi kupanda juu zaidi kwenye ubao wa washindi. Wachezaji 25 wa kwanza kwenye ubao wa washindi watashinda sehemu ya zawadi ya 400,000 TSH!


Zawadi ya Jumla
Kuanzia nafasi ya Hadi nafasi ya Zawadi Jumla
1 1 100,000 TSH 100,000 TSH
2 2 50,000 TSH 50,000 TSH
3 3 30,000 TSH 30,000 TSH
4 25 10,000 TSH 220,000 TSH
JUMLA 400,000 TSH


Zawadi ya jumla ni 400,000 TSH Pesa Taslimu kwa washindi 25. Ni rahisi cheza mchezo wa Fishinator au Navigator ili kupata nafasi ya kujishindia zawadi.

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Fishinator and Navigator Cash Tournament itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 6 Novemba 2023 00:01 UTC hadi Alhamisi tarehe 9 Novemba 2023 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Mashindano
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo inayoshiriki kama ilivyo orodheshwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
 • Wachezaji ni lazima waweke bashiri angalau moja kwa dau lolote kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kufuzu kupata moja ya zawadi za pesa taslimu. Kama kuna kima cha chini cha dau ili kufuzu kwenye Mashindano itaainishwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
 • Kushiriki katika mashindano, utalazimika ku opt in ndani ya michezo inayoshiriki, ama kwa kubonyeza chaguo la opt-in ndani ya mchezo au utaingia moja kwa moja unapozungusha spin kwenye mchezo wowote inayoshiriki na kwa dau lilifuzu.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Ikiwa alama zinategemea kizidishi cha ushindi kama ilivyoelezwa kwenye Maelezo hapo juu, hesabu itakuwa kama ifuatavyo: kila ushindi utakupatia alama zinazotegemea kizidishi cha ushindi (kwa mfano, ikiwa unaweka dau la 2,600 TSH na kushinda 26,000 TSH, utapewa alama 10). Alama ulizopata hujumlishwa kipindi chote cha Mashindano.
 • Kila mchezaji atapewa utambulisho binafsi wa mashindano kwa ajili ya Ubao wa washindi.
 • Ubao wa washindi unasahishwa kwa muda halisi na wachezaji wanaweza kuona ubao wa washindi wa muda halisi wakati wowote wanapocheza mchezo iliyofuzu kwa hiari yao, isipokuwa kama imeelezwa vinginevyo kwenye Maelezo ya Mashindano hapo juu.
 • Ubao wa washindi utajumuisha wachezaji waliokusanya idadi kubwa zaidi ya alama wakati wa mashindano.
 • Ikiwa wachezaji wawili au zaidi watamaliza kwenye nafasi sare kwenye ubao wa washindi, mchezaji ambaye alifikia alama kwanza atapata zawadi kubwa zaidi.
 • Kiasi cha zawadi za pesa taslimu kinachoonekana kwenye mchezo kitakua kwenye mfumo wa sarafu unayotumia kuchezea.
 • Ni mizunguko iliyokamilika pekee ndio itafuzu kuingia kwenye Ubao wa washindi.
 • Zawadi ya jumla ni 400,000 TSH itatolewa kwa washindi 25.
 • Zawadi za Pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 kwenye akaunti za washindi baada ya kukamilika na kupitishwa kwa matokeo ya mashindano.
 • Zawadi za Pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa EUR au USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
 • Hii ni ofa kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa.(e.g. guaranteed best price; bonasi; bashiri za bure; enhanced prices; na rejesho maalumu la pesa) na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.