

Cheza sasa na ujishindie sehemu ya 642,000 TSH pesa taslimu kutoka kwenye zawadi yetu ya jumla kwenye promosheni yetu ya Crash for Cash Tournament! Alama zako 10 za juu zaidi ndio zitahesabika kwenye alama zako za jumla, wachezaji 20 wa kwanza wenye bahati watashinda zawadi za pesa taslimu! Ni rahisi, cheza mchezo wa Maverick X na utapanda kwenye ubao wa washindi kujipatia sehemu yako ya ushindi – lakini fanya upesi, una siku 3 tu za kushinda.
Cheza sasa na ujishindie sehemu ya 642,000 TSH pesa taslimu kutoka kwenye zawadi yetu ya jumla kwenye promosheni yetu ya Crash for Cash Tournament! Alama zako 10 za juu zaidi ndio zitahesabika kwenye alama zako za jumla, wachezaji 20 wa kwanza wenye bahati watashinda zawadi za pesa taslimu! Ni rahisi, cheza mchezo wa Maverick X na utapanda kwenye ubao wa washindi kujipatia sehemu yako ya ushindi – lakini fanya upesi, una siku 3 tu za kushinda.
Mashindano ya Crash for Cash yataanza kuanzia Ijumaa tarehe 1 Disemba hadi Jumapili tarehe 3 Disemba 2023.
Jinsi ya Kushinda:
Ili kupata alama na kuzidi kupanda kwenye ubao wa washindi ni rahisi cheza Maverick X na u opt-in ndani ya mchezo ili kuingia kwenye mashindano. Alama zinatokana na vizidishi vya ushindi, kwa mfano uki cash-out kizidishi cha 105x tutakupatia alama 105. Ni vizidishi vyako 10 tu vyenye alama za juu zaidi ndivyo vitakavyohesabika. Vizidishi vyako 10 vitakua vinajumlishwa ndani ya mashindano kila utakapo cash out vizidishi vyenye alama za juu na juu zaidi. Kadri unavyochelewa ku-cashout ndivyo unavyozidi kupata alama za juu zaidi na kujishindia zawadi za kubwa zaidi!
Zawadi ya Jumla | |||
Kuanzia nafasi ya | Hadi nafasi ya | Zawadi | Jumla |
---|---|---|---|
1 | 1 | 179,760 TSH | 179,760 TSH |
2 | 2 | 102,720 TSH | 102,720 TSH |
3 | 3 | 51,360 TSH | 51,360 TSH |
4 | 10 | 25,680 TSH | 179,760 TSH |
11 | 20 | 12,840 TSH | 128,400 TSH |
JUMLA | 642,000 TSH |
Zawadi ya jumla ni 642,000 TSH Pesa Taslimu kwa washindi 20. Ni rahisi cheza mchezo wa Maverick X ili kupata nafasi ya kujishindia zawadi.
Kuhusu mchezo wa Maverick X:
Maverick X ni mchezo mpya wa kijamii yaan wachezaji wengi wa Crash game wenye na mstari unaokua kwa kasi ambao unaweza kuanguka/crash wakati wowote. Wakati mzunguko unapoanza, ndege inaanza kuruka na kiwango cha kizidishi kinaanza kuongezeka, kisha lazima u cash-out kabla ndege ya bahati haijaruka! Kadri unavyosubiri ndivyo unavyoweza kushinda zaidi. Je unaweza ku cashout kupata ushindi mkubwa kwenye mchezo huu maarufu wa Virtual Crash game?

Muda wa Promosheni
- Promosheni ya Crash for Cash Tournament itaanza kuanzia Ijumaa tarehe 1 Disemba 00:01 UTC hadi Jumapili tarehe 3 Disemba 2023 23:59 UTC.
- Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Mashindano
- Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo inayoshiriki kama ilivyo orodheshwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
- Wachezaji ni lazima waweke bashiri angalau moja kwa dau lolote kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kufuzu kupata moja ya zawadi za pesa taslimu. Kama kuna kima cha chini cha dau ili kufuzu kwenye Mashindano itaainishwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
- Kushiriki katika mashindano, utalazimika ku opt in ndani ya michezo inayoshiriki, ama kwa kubonyeza chaguo la opt-in ndani ya mchezo au utaingia moja kwa moja unapozungusha spin kwenye mchezo wowote inayoshiriki na kwa dau lilifuzu.
- Ni bashiri za pesa taslimu tu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
- Alama za vizidishi 10 vya juu zaidi vya kila mchezaji ndio zitajumlishwa kupata alama za jumla, na zitakua zinaonekana kwenye ubao wa washindi wa mashindano, kwa mfano: kizisidishi cha ushindi kilichokua cashed out 123.12x kitakua sawa sawa na alama 123.12. Alama za vizidishi 10 vyenye alama za juu zaidi vitakua vinabadilika moja kwa moja kila utakapo cash out kizidishi chenye alama kubwa zaidi.
- Kila mchezaji atapewa utambulisho binafsi wa mashindano kwa ajili ya Ubao wa washindi.
- Ubao wa washindi unasahishwa kwa muda halisi na wachezaji wanaweza kuona ubao wa washindi wa muda halisi wakati wowote wanapocheza mchezo iliyofuzu kwa hiari yao, isipokuwa kama imeelezwa vinginevyo kwenye Maelezo ya Mashindano hapo juu.
- Ubao wa washindi utajumuisha wachezaji waliokusanya idadi kubwa zaidi ya alama wakati wa mashindano.
- Ikiwa wachezaji wawili au zaidi watamaliza kwenye nafasi sare kwenye ubao wa washindi, mchezaji ambaye alifikia alama kwanza atapata zawadi kubwa zaidi.
- Kiasi cha zawadi za pesa taslimu kinachoonekana kwenye mchezo kitakua kwenye mfumo wa sarafu unayotumia kuchezea.
- Ni mizunguko iliyokamilika pekee ndio itafuzu kuingia kwenye Ubao wa washindi.
- Zawadi ya jumla ni 642,000 TSH itatolewa kwa washindi 20.
- Zawadi za Pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 kwenye akaunti za washindi baada ya kukamilika na kupitishwa kwa matokeo ya mashindano.
- Zawadi za Pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
- Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa EUR au USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
- Hii ni ofa hii ni kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee.
- Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa EUR na vinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
- Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
- Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
- Tuna haki ya kuondoa na/au kubadilisha vigezo vya promosheni na masharti yanayohusiana na hii kwa hiari yetu, na maamuzi yoyote kulingana na ushindi uliotolewa.
- Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa (mf. Alama bora za uhakika; bonasi; bashiri za bure; alama zilizoboreshwa na ofa za rejesho la pesa) na matangazo mengine yoyote ya promosheni na ofa.
- Tuna hifadhi haki ya kutenga, kughairisha au kuondoa Bashiri za Bure na Ushindi uliotokana na Bashiri za Bure kutoka kwenye akaunti ambazo zitagundulika kufanya ubadhilifu.
- Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.