Exclusive Aviator First Flight Free Exclusive Aviator First Flight Free

Premier Vegas tunajivunia kuwa nyumba ya mchezo pendwa wa Aviator. Ili kukukaribisha rasmi kwenye Premier Vegas, tunakupa bonasi ya 5 TSH yenye masharti ya kuzungusha mara moja (1x wagering requirements) ambayo inatumika kwenye mchezo wa Aviator – mzunguko wa kwanza bure!

Step 1
WEKA PESA
Casino
Step 2
INGIA KWENYE AKAUNTI & TOKA
Slots
Step 3
CHEZA MZUNGUKO WA KWANZA WA MCHEZO WA AVIATOR BURE
Money Bag

Tunakupatia mzunguko wa kwanza bure kwenye mchezo wa kusisimua na maarufu wa Crash game – Aviator. Ukicheza mchezo wa Aviator, unaweza kushinda hadi mara 250,000 ya dau lako!

Jinsi ya kupata:

 • Sajili akaunti au ingia kwenye akaunti yako
 • Weka salio
 • Ingia kwenye akaunti & toka
 • Bonasi itakua kwenye akaunti yako kutumika kwenye mchezo wa Aviator!
Muda wa Promosheni
 • Unaweza kupata ofa ya First Flight Free Aviator kuanzia Jumanne tarehe 1 August 2023 00:00 UTC hadi Ijumaa tarehe 31 Mei 2024 23:59 UTC.
 • Akaunti zote zilizosajiliwa na bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni hapo juu hazitofuzu kupata hii ofa.
Deposits Zitakazofuzu
 • Ofa hii inapatikana kwa wateja watakaoweka pesa kwa mara ya kwanza, na itapatikana pale utakapoingia kwenye akaunti yako kwa mara nyingine. Wachezaji ni lazima watoke kwenye akaunti kisha waingie tena kuona hii bonasi.
 • Unaweza kufuzu kupata bonasi moja tu.
 • Kiasi cha bonasi kitakachotolewa kitakua ni 5 TSH na kinaweza kutumika kwenye mchezo wa Aviator pekee kutoka Spribe.
 • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 1 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Si michezo yote inachangia, au inachangia kwa kiwango sawa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizowekwa kwenye mchezo wa Crash Game Aviator ndizo zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Mchezo wa Aviator utachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri,na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni 5 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 5 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa mzunguko mmoja wa mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatatimizwa ni mara 5 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 3 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na salio la pesa yoyote ambayo uliiweka litarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana kwa pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
JUMLA
 • Bonasi haziwezi kutumika kwa mjumuisho na bonasi nyingine yoyote au ofa ya promosheni.
 • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi iliyopo kwanza na baada ya hapo itakatwa kwenye salio la bonasi. Na bonasi inapokua activated bashiri zote zitakazofuzu zitakazokatwa kwenye salio la pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kutumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha zawadi ya bonasi ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.