UEL/UCL Football Bet & Get UEL/UCL Football Bet & Get

Pata Bonasi ya michezo ya virtuals kwa kuweka bashiri kwenye mechi ya Fainali ya UEFA Champions League! Ni rahisi, weka bashiri, zenye jumla ya dau angalau 235,000 TSH, kwenye mechi ya Fainali ya UEFA Europa League zenye alama angalau 2.0 kwa kila chaguo (inaweza kuwa moja au machaguo mengi) na tutakuzawadia bonasi ya michezo bonasi ya hadi 352,500 TSH ya michezo ya virtuals.

Step 2
Weka bashiri ya 235,000 TSH
Bonus
Step 3
Pata Bonasi ya 352,500 TSH Bonus!
Money Bag

Tuna mechi kabambe kati ya Liverpool na Real Madrid kwenye Fainali ya UEFA Champions League, na tutakupatia bonasi ya bure ya michezo ya virtual kwa kuweka bashiri kwenye hii mechi ya Fainali! Ni rahisi, weka bashiri kwenye mechi ya Fainali ya UEFA Champions League, soko lolote, ikiwa moja au na machaguo mengine, iwe na dau la jumla angalau 235,000 TSH zenye alama angalau 2.0 kwa kila bashiri iliyowekwa. Na tutakuzawadia bonasi ya bure ya 235,000 TSH kutumika kwenye michezo ya virtuals ambayo unaweza kuitumia tena na tena kuweka bashiri kwenye timu zako pendwa

Ofa hi ya UEFA Bashiri & Upate Bonasi itaendelea hadi siku ya mechi Jumamosi tarehe 28 Mei.

Utapata bonasi kulingana na jumla ya dau uliloliweka kwenye bashiri zako kama ifuatavyo:

Bashiri angalau 117,500 TSH kwenye fainali na upate bonasi ya 117,500 TSH kwenye michezo ya virtuals

Bashiri angalau 235,000 TSH kwenye fainali na upate bonasi ya 352,500 TSH kwenye michezo ya virtuals

Ili kufuzu kupata bonasi ya Fainali ya UEFA Champions League ni rahisi weka bashiri kwenye mechi ya Fainali ya UEFA Champions League, soko lolote, ikiwa moja au na machaguo mengine, kabla ya mechi pekee, na kama bashiri zako jumla zitakua a thamani ya 117,500 TSH au 235,000 TSH utapokea bonasi ya michezo ya bure ya utapokea bonasi ya bure ya michezo ya 117,500 TSH au 235,000 TSH kutumika kwenye michezo bunifu/virtuals ikiwa na masharti ya kuzungushwa angalau mara 20 (wagering requirements). Tumia pesa yako ya bonasi kubashiri kwenye Kombe la michezo bunifu ambapo unaweza kuweka bashiri kwenye mechi ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa na timu zako pendwa!

Muda wa Promosheni
 • Ofa ya UEFA Bashiri & Upate itaanza kuanzia Alhamisi tarehe 26 Mei 00:00 CET hadi Jumamosi tarehe 28 Mei 21:00 CET
 • Bashiri zozote zitakazowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
BASHIRI ZITAKAZOFUZU
 • Bashiri zinaweza kuwekwa kwa dau lolote. Bashiri zote zitakazowekwa zikiwa na chaguo la mechi ya Fainali ya UEFA Champions League zitahesabika, na viwango hivi ndivyo vitafuzu kupata ofa ya bonasi:
  • Bashiri angalau 117,500 TSH kwenye fainali na upate bonasi ya 117,500 TSH kwenye michezo ya virtuals
  • Bashiri angalau 235,000 TSH kwenye fainali na upate bonasi ya 352,500 TSH kwenye michezo ya virtuals
 • Ni Bashiri zilizowekwa kwenye Fainali ya UEFA Champions League Pekee ndizo zitafuzu kupokea bonasi.
 • Bashiri zote zitakazofuzu ni lazima ziwe na alama za jumla zisizopungua 2.0 ikiwa moja au machaguo mengi.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kwenye promosheni hii (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Wachezaji watafuzu kupokea bonasi moja tu ndani ya muda wa promosheni.
 • Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika.
 • Bashiri za mifumo na zilizoboreshwa/boosts hazitohesabika kwenye hii promosheni.
Taarifa ya Bonasi
 • Kiasi cha pesa ya bonasi kitakua ni 352,500 TSH kutumika kwenye michezo yote bunifu/virtuals game.
 • Bonasi yako itwekwa ndani ya masaa 72 baada ya tarehe ya mwisho wa promosheni ambapo bashiri zilizofuzu zitakua zimekamilika.
 • Pesa ya bonasi inatakiwa izungushwe angalau mara 20 kabla haijabadilishwa kuwa pesa halisi (i.e kabla ya kuruhusiwa kuitoa). Kiasi cha bonasi pamoja na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi hadi masharti ya ubashiri yatakapotimizwa.
 • Sio michezo yote inachangia, au inachangia kwa kiwango kile kile kwenye kutimiza masharti ya kubashiri. Ni bashiri zilizowekwa kweye michezo bunifu/virtuals pekee ndizo zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya kubashiri.
 • Michezo yote bunifu/virtual inachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri (isipokua mchezo wa Aviator), na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, kima cha juu kabisa cha dau kwa kila mzunguko ambacho kinachangia kwenye kila mzunguko kutimiza masharti ya kubashiri ni 11,750 TSH (kiasi chochote kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambacho kitakua juu ya 11,750 TSH hakitohesabika kwenye kutimiza masharti ya kubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kima cha juu cha pesa ya bonasi unachoweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu endapo masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 8,812,500 TSH.
 • Una siku 7 za kukamilisha masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitoweza kubadilishwa ndani ya muda huu kitaondolewa kwenye akaunti yako, na masalia yoyote ya pesa yako uliyoweka yatarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa ya bonasi ni lazima ukamilishe masharti ya ubashiri/wagering requirements kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa pesa zako halisi muda wowote kwa kusalimisha pesa yako ya bonasi kama masharti ya ubashiri hayajatimizwa bado.
 • Bashiri zilizokamilika pekee ndizo zitakazohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
Jumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuiko na ofa nyingine yoyote.
 • Unapo weka bashiri, pesa itakatwa kwenye salio halisi lililopo kwanza na baada ya hapo itakatwa kwenye salio la bonasi. Baada ya ku-activate salio la bonasi, bashiri zote zilizofuzu zilizowekwa kwa pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti yoyote ya ubashiri/wagering requirements.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kuitumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.