UEL/UCL Football Bet & Get UEL/UCL Football Bet & Get

Pata Bashiri ya Bonasi kwa kuweka bashiri kwenye mechi ya Fainali ya UEFA Europa League! Ni rahisi, weka bashiri, zenye jumla ya dau angalau 235,000 TSH kwenye mechi ya Fainali ya UEFA Europa League zenye alama angalau 2.0 kwa kila chaguo (inaweza kuwa moja au machaguo mengi) na tutakuzawadia bonasi ya michezo ya 235,000 TSH

Step 2
Weka bashiri ya 235,000 TSH
Bonus
Step 3
Pata Bonasi ya 2,350 TSH Bonus!
Money Bag

Tuna mechi kabambe kati ya Eintracht Frankfurt na Rangers kwenye Fainali ya UEFA Europa League, na tutakupatia bonasi ya bure ya michezo kwa kuweka bashiri kwenye hii mechi ya Fainali! Ni rahisi, weka bashiri kwenye mechi ya fainali, soko lolote, ikiwa moja au na machaguo mengine, iwe na dau la jumla angalau 235,000 TSH zenye alama angalau 2.0 kwa kila bashiri iliyowekwa. Na tutakuzawadia bonasi ya bure ya 235,000 TSH kutumika kwenye michezo ambayo unaweza kuitumia kwenye mechi za mwisho wa ligi mwisho ya wiki hii.

Ofa hi ya UEFA Bashiri & Upate Bonasi itaendelea hadi siku ya mechi Jumatano tarehe 18 Mei.

Ili kufuzu kupata bonasi ya UEFA Europa League ni rahisi weka bashiri kwenye mechi ya Fainali ya UEFA Europa League, soko lolote, ikiwa moja au na machaguo mengine, kabla ya mechi pekee, na kama bashiri zako jumla zitakua a thamani ya 235,000 TSH, utapokea bonasi ya michezo ya bure ya 2,350 TSH kutumika kwenye michezo yenye alama kuanzia 2.0 na masharti ya kuzungushwa angalau mara 5 (wagering requirements). Tumia pesa yako ya bonasi kubashiri mwisho wa wiki hii kwenye mechi za mwisho wa ligi!

Muda wa Promosheni
 • Ofa ya UEFA Bashiri & Upate itaanza kuanzia Jumanne tarehe 17 Mei 00:00 CET hadi Jumatano tarehe 18 Mei 21:00 CET
 • Bashiri zozote zitakazowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
BASHIRI ZITAKAZOFUZU
 • Bashiri zinaweza kuwekwa kwa dau lolote. Bashiri zote zitakazowekwa zitakazojumlisha chaguo la mechi ya Fainali ya UEFA Europa League zitahesabika, na ni lazima iwe na dau la jumla ya 235,000 TSH ili kufuzu.
 • Ni Bashiri zilizowekwa kwenye Fainali ya UEFA Europa League Pekee ndizo zitafuzu kupokea bonasi.
 • Bashiri zote zitakazofuzu ni lazima ziwe na alama za jumla zisizopungua 2.0 ikiwa moja au machaguo mengi.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kwenye promosheni hii (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Wachezaji watafuzu kupokea bonasi moja tu ndani ya muda wa promosheni.
 • Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika.
 • Bashiri za mifumo na zilizoboreshwa/boosts hazitohesabika kwenye hii promosheni.
Bashiri ya Bonasi
 • Kiasi cha pesa ya bonasi kitakua ni 235,000 TSH kutumika kwenye mechi yoyote.
 • Bonasi yako itawekwa ndani ya masaa 72 baada ya tarehe ya mwisho wa promosheni pale ambapo bashiri zilizofuzu zitakua zimekamilika.
 • Pesa ya bonasi inatakiwa izungushwe angalau mara 5 kabla haijabadilishwa kuwa pesa halisi (i.e kabla ya kuruhusiwa kuitoa). Kiasi cha bonasi pamoja na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi hadi masharti ya ubashiri yatakapotimizwa.
 • Ili bashiri ifuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri, ni lazima iwe na alama za jumla zisizopungua 2.00, kwenye Machaguo yoyote ya Michezo. Bashiri yoyote itakayowekwa na alama ya chini ya iliyotajwa hapo juu pesa itakatwa kweye salio lakini haitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. .
 • Kima cha juu cha pesa ya bonasi unachoweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu endapo masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 235,000 TSH.
 • Una siku 7 za kukamilisha masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitoweza kubadilishwa ndani ya muda huu kitaondolewa kwenye akaunti yako, na masalia yoyote ya pesa yako uliyoweka yatarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Unaweza kutoa pesa zako halisi muda wowote kwa kusalimisha pesa yako ya bonasi kama masharti ya ubashiri hayajatimizwa bado.
 • Bashiri zilizokamilika pekee ndizo zitakazohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
Jumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuiko na ofa nyingine yoyote.
 • Unapo weka bashiri, pesa itakatwa kwenye salio halisi lililopo kwanza na baada ya hapo itakatwa kwenye salio la bonasi. Baada ya ku-activate salio la bonasi, bashiri zote zilizofuzu zilizowekwa kwa pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti yoyote ya ubashiri/wagering requirements.
 • Kima cha chini cha ubashiri au ubashiri wa mechi moja havitoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.