Fazi Cash Drops Fazi Cash Drops

Tuna zawadi bomba ya 3,000,000 TSH pesa taslimu kutolewa kwenye promosheni yetu ya Merry Cash Drops. Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote kwenye moja ya michezo yetu ya Fazi Slot inayoshiriki na wachezaji 3 wenye bahati watajishindia zawadi kubwa ya kwanza ya 150,000 TSH na wachezaji 35 wanaofuata watajishindia pia zawadi za pesa taslimu kila wiki ndani ya kila wiki ya ofa ya Merry Cash Drops!

Step 1
Chagua mchezo
Casino
Step 2
Anza kuzungusha
Slots
Step 3
Shinda zawadi ya Cash Drop!
Money Bag

Kaa tayari kujishindia zawadi za pesa taslimu zenye thamani ya 3,000,000 TSH ukicheza michezo ya Fazi Slot. Kila wiki ndani ya Merry Cash Drops wachezaji wenye bahati watajishindia zawadi kubwa ya kwanza ya 150,000 TSH na wachezaji 35 wanaofuata watajishindia pia zawadi za pesa taslimu! Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote kwenye moja ya michezo yetu ya Fazi Slot inayoshiriki kila siku kupata nafasi ya kujishindia zawadi ya cash drop.

Ofa ya Merry Cash Drops itaanza Ijumaa tarehe 22 Disemba 2023 hadi Alhamisi tarehe 4 Januari 2024.

Mzunguko wowote kwenye michezo ya Fazi Slots inayoshiriki inaweza kukupatia zawadi ya pesa taslimu ya bila mpangilio, kukiwa na zawadi 38 za kila wiki, wachezaji 3 wenye bahati watajishindia zawadi ya kwanza ya 150,000 TSH na waliobaki watajishindia zawadi ya 30,000 TSH kila mmoja! Unavyozidi kucheza ndivyo unavyoongeza nafasi ya kujishindia zawadi ya pesa taslimu zaidi!

Cheza mchezo wowote

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Merry Cash Drops itaanza kuanzia Ijumaa tarehe 22 Disemba 00:00 UTC 2023 hadi Alhamisi tarehe 4 Januari 23:59 UTC 2024.
 • Promosheni imegawanywa ndani ya wiki 2 za Cash Drops ambazo zitakua kama ifuatavyo:
  • Wiki 1: Ijumaa tarehe 22 Disemba 00:00 UTC 2023 hadi Alhamisi tarehe 28 Disemba 23:59 UTC 2023.
  • Wiki 2: Ijumaa tarehe 29 Disemba 00:00 UTC 2023 hadi Alhamisi tarehe 4 Januari 23:59 UTC 2024.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ifuatayo ya Fazi Slots:
  1. Wild Hot 40
  2. Golden crown
  3. Very Hot 5
  4. Giga Hot 40
  5. Very Hot 5 Extreme
  6. Crystal Hot 40
  7. Wild Hot 40 Free Spins
  8. Crystal Hot 100
  9. Very Hot 40
  10. Lollas World
  11. Epic Clover 40
  12. Twinkling Hot 40
  13. Crystal Hot 80
  14. Wild Hot 40 Blow
  15. Epic Crown 5
  16. Winning Clover 5
  17. Epic Fire 40
  18. Golden Crown 40
  19. Retro Fire
  20. Crystal Hot 40 Free
 • Wachezaji ni lazima waweke bashiri angalau moja kwa dau lolote kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kuingia kwenye droo ya kushinda moja ya zawadi za cash drops. Dau litakua linajilimbikiza kwa kipindi chote cha promosheni.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Cash drop
 • Ofa ya Merry Cash Drops itakua na zawadi 38 za kila wiki, wachezaji 3 wenye bahati watajishindia zawadi ya kwanza ya 150,000 TSH na waliobaki watajishindia zawadi ya 30,000 TSH kila mmoja, kutoka kwenye zawadi ya jumla ya 3,000,000 TSH kwa muda wote wa promosheni.
 • Zawadi za Cash Drops zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa matokeo ya zawadi za cash drop za kila wiki.
 • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla ipo kwenye mfumo wa USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
 • Ofa hii ni ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.