Combi Insurance Combi Insurance

Weka bashiri kwenye soko la mfungaji goli wa kwanza (mchezaji yoyote) kwa mechi ya AC Milan vs Napoli, na kama mchezaji utakaemchagua atafunga goli zaidi ya moja tutaboresha/boost alama zako! Kama mchezaji wako atafunga mara mbili, tutazidisha mara mbili alama zako za bashiri na kama atafunga hattrick tutazidisha alama zako mara tatu!

BASHIRI SASA
Step 1
Weka bashiri
Sports
Step 2
Weka bashiri kwenye soko la mchezaji wa kwanza kufunga goli
Bonus
Step 3
Pata alama zilizoboreshwa kama mchezaji wako atafunga goli zaidi ya moja
Money Bag
BET NOW

Ni moja ya mechi kubwa za msimu huu kwenye Serie A, ikiwa AC Milan wanawakaribisha Napoli uwanja wa San Siro siku ya Jumapili jioni. Sisi kama Washirika Rasmi wa AC Milan kwenye Michezo ya Kubashiri – Afrika , tunakupa ofa na nafasi ya kuongeza alama zako kwenye soko la mchezaji wa kwanza kufunga goli.

 • Weka bashiri moja, kabla ya mechi kwa mchezaji yoyote kufunga goli la kwanza kwenye mechi ya AC Milan vs Napoli
 • Kama mchezaji utakaemchagua atafunga goli la kwanza, tutaboresha/boost alama kwa bashiri kama atafunga goli jingine tena:
  • Kwa magoli mawili tutazidisha mara mbili alama za awali za bashiri uliyoweka
  • Kwa magoli 3 tutazidisha mara tatu alama za awali za bashiri uliyoweka

Promosheni ya mchezaji wa kwanza kufunga goli kwenye mechi ya Milan vs Napoli itaanza kuanzia Alhamisi ya tarehe 16 hadi Jumapili ya tarehe 19 Disemba

Ili kufuzu unatakiwa kuweka bashiri ya mchezaji wa kwanza kufunga goli kwenye mechi ya AC Milan vs Napoli match pekee. Kima cha chini cha dau ili kufuzu ni kuanzia 2,325 TSH, na kima cha mwisho cha dau kinachoweza kuboreshwa/boost ni 23,250 TSH. Bashiri ni lazima ziwekwe kabla ya mechi ikiwa yenyewe (bashiri zitakazowekwa na mechi nyingine nyingi au na mechi ikianza kucheza hazitofuzu) na ni lazima ziwe na alama kuanzia 2.0.

Magoli yakiwa 2: Kama mchezaji uliemchagua atafunga magoli 2 kwa ujumla kwenye mechi, alama za kwanza kabisa za bashiri zitazidishwa mara mbili, mfano kama bashiri yako awali ilikua ni ya 2,325 TSH na alama ni 2.0 na mchezaji uliemchagua akafunga magoli 2 basi ushindi wako wa jumla utakua ni 4.0.

Magoli yakiwa 3+: Kama mchezaji uliemchagua atafunga magoli 3 au zaidi kwenye mechi, alama za kwanza kabisa za bashiri zitazidishwa mara tatu, mfano kama bashiri yako awali ilikua ni ya 2,325 TSH na alama ni 2.0 na mchezaji uliemchagua akafunga magoli 3 basi ushindi wako wa jumla utakua ni 6.0.

Tafadhali tambua kuwa bashiri yako ya awali itakua settled baada ya mechi, na ushindi wowote wa ziada kwa alama zilizoboreshwa utalipwa kwenye akaunti yako ya pesa taslimu ndani ya masaa 72 baada ya bashiri ya kawaida kukamilika.

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Mchezaji wa kwanza kufunga goli kwenye mechi ya Milan vs Napoli itaanza kuanzia Alhamisi ya tarehe 16 Disemba 00:00 hadi Jumapili tarehe 19 Disemba 2021 20:45.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri ni lazima ziwekwe moja moja kabla ya mechi kwenye soko la mchezaji wa kwanza kufunga goli kwenye mechi ya AC Milan v Napoli pekee.
 • Bashiri ni lazima ziwe na dau angalau 2,325 TSH, na alama zisizopungua 2.0. Zilizowekwa na kukamilka ndani ya muda wa promosheni ndizo zitakazohesabika.
 • Kima cha juu kabisa cha dau la kwenye bashiri kitakachoboreshwa/boosted ni 23,250 TSH (bashiri zote zitakazowekwa na dau kubwa kuliko hiki kiasi zitafuzu ila kiasi cha mwisho kitakachoboreshwa ni 23,250 TSH kutokea kwenye bashiri ya awali iliyowekwa.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Bashiri zilizoghairishwa/Cashed out au bashiri hewa hazitohesabika kwenye promosheni hii.
 • Bashiri za mifumo au bashiri za Alama zilizoboreshwa/Odds Boost hazitohesabika kwenye promosheni hii.
Zawadi za Alama zilizoboreshwa/Boosted
 • Bashiri zitaboreshwa/ kua boosted kama mfungaji goli wa kwanza atafunga magoli 2 au zaidi kwenye mechi ya AC Milan v Napoli.
 • Alama zilizoboreshwa/Boost zitafuzu kama ifuatavyo:
  • Mchezaji akifunga magoli 2: Kama mchezaji uliemchagua atafunga goli la kwanza na kisha akafunga goli jingine tena (magoli 2 kwa ujumla kwenye mechi), alama za bashiri ya awali zitazidishwa mara mbili, mfano kama bashiri yako ya awali ilikua ni ya 2,325 TSH yenye alama 2.0 na mchezaji akafunga magoli 2 jumla ya ushindi wako utakua ni 4.0.
  • Mchezaji akifunga magoli 3+: Kama mchezaji uliemchagua atafunga goli la kwanza na kisha akafunga magoli mawili au zaidi tena (jumla ya magoli 3+ kwenye mechi), alama za bashiri ya awali zitazidishwa mara tatu, mfano kama bashiri yako ya awali ilikua ni ya 2,325 TSH yenye alama 2.0 na mchezaji akafunga magoli 3 jumla ya ushindi wako utakua ni 6.0.
 • Zawadi ya pesa taslimu ya Alama zilizoboreshwa italipwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 mara baada ya kukamilika kwa bashiri ya awali kabisa.
 • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering), na zinaweza kutolewa papo hapo.
Jumla
 • Hii ni ofa ya mtandaoni kwenye tovuti zote zinazoshiriki
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.