Fazi Cash Frenzy Fazi Cash Frenzy

Pata bonasi ya michezo ya Slots ya 200% unapoweka pesa kwa mara ya kwanza hadi 100,000 TSH, kwa masharti ya kuzungusha mara 40 (wagering requirements). PIA tunakupatia bonasi ya 120 TSH ikiwa na masharti ya kuzungusha x1/wagering requirements kutumia kwenye mchezo wa Navigator – mzunguko wa kwanza ni bure!

Step 1
NENDA KUWEKA PESA dépôt & CHAGUA BONASI YA MICHEZO YA SLOTS YA 200%
Slots
Step 2
CHAGUA BONASI YA 100% MICHEZO AU BONASI YA 200% SLOTS
Deposit
Step 3
CHEZA MZUNGUKO WA KWANZA KWENYE MCHEZO WA NAVIGATOR BURE
Leaderboard

Kama ukaribisho maalumu kwenye Premier Vegas, tunakupatia bonasi ya michezo ya Slots ya 200% unapoweka pesa kwa mara ya kwanza hadi 100,000 TSH! Ili kupata, ni rahisi, nenda kwenye ukurasa wa kuweka pesa na chagua bonasi ya michezo ya slots ya 200% kupata hadi 200,000 TSH kuzungusha kwenye slots bure! Unapofanikiwa kuweka salio, moja kwa moja utapokea bonasi sawa na salio lako!

PIA mchezo bomba zaidi wa Crash umefika – Navigator. Kusherehekea ujio huu kwenye Premier Vegas tunakupatia mzunguko wa kwanza bure/ free flight! Kupitia Navigator, unaweza kushinda hadi mara 250,000 ya dau lako! Ofa hii ya kipekee inapatikana sasa kwa kuweka salio kwenye akaunti yako kwa mara ya kwanza. Baada ya kutoka kwenye akaunti yako na kuingia tena, bashiri yako ya bure itakuepo kutumika kwenye mchezo wa Navigator – hakikisha una crashout kabla ndege ya bahati haijapaa ili kushinda!

Jinsi ya Kupata Bonasi ya Slots ya 200%:

– Ingia kwenye akaunti yako au sajili akaunti mpya bure.(link to registration page) akaunti ya bure.

– Nenda kwenye ukurasa wa kuweka pesa.

– Chagua bonasi ya michezo ya Slots 200% kutoka kwenye bonasi zilizopo

– Weka salio

– Furahia kutumia bonasi yako!.


Unaweza kupata bonasi ya hadi 200,000 TSH kucheza kwenye moja ya michezo 30 ya Slots inayoshiriki iliyotajwa hapa. Kiasi chako cha pesa na bonasi yako vitatakiwa kuzungushwa angalau mara 40 kabla ya kuweza kutoa ushindi wako wowote. Tumia pesa yako ya bonasi kucheza kwenye moja ya michezo hii ya Slots pekee:

MUDA WA PROMOSHENI
 • Unaweza kupata ofa ya 200% Karibu Bonasi na First Flight Free Navigator kuanzia Ijumaa tarehe 24 March 2023 17:00 UTC hadi Jumatano tarehe 31 Mei 2023 23:59 UTC.
 • Akaunti zote zilizosajiliwa na kuweka salio nje ya muda wa promosheni na bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Deposits zitakazofuzu
 • Ofa hii inapatikana kwa wateja wapya pekee.
 • Bonasi hii inapatikana unapoweka salio kwa mara ya kwanza.
 • Kiasi kikubwa cha bonasi anachoweza kukipata mchezaji mmoja ni 100,000 TSH kama bonasi ya michezo ya Slots.
 • Unatakiwa ku-activate ofa ya 200% bonasi yamichezo ya slots unapoweka salio ili bonasi iwekwe kwenye akaunti yako ya bonasi kwa kuchagua ofa yako unayopendelea kutoka kwenye bonasi zilizopo.
 • Kwa Ofa ya Karibu Bonasi ya Michezo ya Slots utapokea bonasi ya 200% kulingana na kiasi cha salio ulichoweka hadi 100,000 TSH. Kwa mfano, kama utaweka salio la kwanza la 40,000 TSH, utapokea Bonasi ya 20,000 TSH.
 • Unaweza kupata bonasi moja tu utakapoweka salio kwa mara ya kwanza. Wachezaji watakaopata ofa yoyote nyingine ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza, hawatofuzu kupokea ofa ya hii promosheni.
TAARIFA YA BONASI YA MICHEZO YA SLOTS
 • Bonasi yako itawekwa kwenye akaunti yako moja kwa moja baada ya kufanikiwa kuweka pesa kwa mara ya kwanza.
 • Kiasi cha bonasi kinatakiwa kuzungushwa angalau mara 40 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (yaani kabla ya kuweza kutoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa. Unaweza kutumia pesa yako ya bonasi kwenye michezo 30 pekee inayoshiriki. Michezo 30 ifuatayo ya slots itachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/wagering requirement (hakuna mchezo mwingine wowote utakaohusika): Blazing 777, Smoking Hot Fruits 20 lines, Blood Rage, X Wild , Pirate Kingdom Megaways, Wolf Strike, The Choice is Yours Megaways , Mexicana, Aladdin , Blazing Ice, 6 fruits Deluxe, 6 Fruits , Aztec Jaguar, Hot Slot 777 Crown, Magic Stars 9, Magic of the Ring Deluxe, Relic Hunters, Lucky Reels , Sizzling 777 Deluxe, Magic Fruits Deluxe, Super Heated Sevens, Mariachis Fiesta, King of Wealth, Storming Flame, Blazing Flame, Skulls Gone Wild, Guardian of Prosperity, Blazing Goals, Mansa Musa, Queens of Africa
 • Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, kima cha juu kabisa cha dau kwa kila mzunguko ambacho kinachangia kwenye kila mzunguko kutimiza masharti ya kubashiri ni 12,000 TSH (kiasi chochote kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambacho kitakua juu ya 12,000 TSH hakitohesabika kwenye kutimiza masharti ya kubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni mara 10 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 14 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote kutoka Casino ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
TAARIFA YA BONASI YA MCHEZO WA NAVIGATOR
 • Ofa hii inapatikana kwa watakaoweka pesa kwa mara ya kwanza pekee, na bonasi itawekwa utakapoingia kwenye akaunti yako kwa mara nyingine. Wachezaji ni lazima watoke kwenye akaunti kisha waingie tena kuiona bonasi hii.
 • Unaweza kufuzu kupata bonasi moja tu.
 • Kiasi cha bonasi kitakachotolewa ni 120 TSH na kinaweza kutumika kwenye mchezo wa Navigator pekee kutoka Solidicon.
 • Kiasi cha bonasi kinatakiwa kuzungushwa angalau mara 1 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (yaani kabla ya kuweza kutoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Sio michezo yote itachangia, au itachangia kwa kiwango kimoja kwenye kutimiza masgarti ya ubashiri/wagering requirements. Ni bashiri zilizowekwa kwenye mchezo wa Crash Game Navigator ndizo zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/wagering requirements.
 • Mchezo wa Navigator game utachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/ wagering requirements, na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, kima cha juu cha dau ambacho kitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri ni 120 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja ambacho kitakua juu ya 120 TSH hakitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri)
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni mara 5 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 3 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
JUMLA
 • Unaweza kupata bonasi moja tu unapoweka salio.Bonasi haziwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine za bonasi au promosheni.
 • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi zilizopo kwanza na baada ya hapo zitakatwa kutoka kwenye salio la bonasi. Salio la bonasi linapokua activated basi bashiri zote zilizofuzu za pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti yoyote ya ubashiri (wagering requirements).
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kuitumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha bonasi ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.