Cash Days Tournament Cash Days Tournament

Ni muda wa happy hour Premier Bet! Ligi za mpira wa miguu zimesimama, lakini tunaendelea kuburudika kama kawaida na burudani ya Virtual Football League! Weka bashiri yako kwenye mchezo wetu mpya wa VFL, ambapo bonasi ya ushindi imezidishwa mara mbili hadi 100% kwenye machaguo yako/accumulators, na kwa masaa 2 kila siku unaweza kupata rejesho la pesa la 10% hadi 13,000 TSH kwenye hasara uliyoipata!

Step 1
Cheza mchezo wa VFL
Step-1
Step 2
Pata bonasi ya ushindi ya 100%
Step 2
Step 3
Shinda au pata rejesho la pesa!
Step 3

Wakati wa international break, bado unaweza kuweka bashiri mubashara kwenye ligi zako pendwa za mpira wa miguu kupitia Premier Bet. Cheza mchezo mpya wa VFL virtual football, ikiwa na ligi zako zote pendwa pamoja na English Premiership na La Liga. Tutazidisha bonasi ya ushindi mara mbili hadi 100% kwenye mkeka wako wenye machaguo 10/10-fold accumulators, PIA kila siku kuanzia 6pm hadi 8pm utapata rejesho la pesa la 10% kwenye hasara yote uliyoipata ndani ya masaa 2 hadi 13,000 TSH.

Promosheni ya VFL Happy Hours itaanza Ijumaa tarehe 8 Septemba hadi Jumamosi tarehe 30 Septemba.

Ofa mara mbili kwenye VFL :

Ndani ya muda wote wa promosheni, Bonasi ya ushindi itazidishwa mara mbili kutoka 50% hadi 100% kwenye mikeka yote yenye machaguo 10/10-fold accumulators. Ni rahisi, weka mkeka wako wenye machaguo 10 na bonasi yako itaongezwa moja kwa moja kwenye mkeka wako.

Promosheni ya Rejesho la pesa muda wa Happy Hour itaendeshwa kuanzia 6:00pm hadi 8:00pm kila siku. Usiposhinda kwenye mchezo VFL utapokea rejesho la pesa la 10% kwenye hasara yote uliyoipata ndani ya masaa 2 hadi 13,000 TSH.

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya VFL Happy Hours itaanza Jumatatu tarehe 8 Septemba 2023 00:00 UTC hadi Jumamosi tarehe 30 Septemba 2023 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kwenye hii promosheni.
Boost ya Bonasi ya Ushindi
 • Bonasi ya Ushindi ya mara mbili inapatikana kwenye mchezo wa VFL virtual game kutoka Solidicon pekee.
 • Bonasi ya ushindi itaboreshwa kutoka 50% hadi 100% kwa bashiri zenye machaguo 10 au zaidi.
 • Jumla ya bonasi ya ushindi ambayo kila bashiri ya kufuzu itapata itaonyeshwa kwenye mkeka wa mchezo husika na itaongezwa moja kwa moja kwenye ushindi wako.
Rejesho la Pesa la Happy Hour
 • Rejesho la pesa linapatikana kwenye mchezo wa VFL pekee kutoka Solidicon.
 • Wachezaji watafuzu kupata rejesho la pesa la 10% kutoka kwenye jumla ya hasara waliyoipata ndani ya masaa 2 ya kila siku ndani ya muda wote wa promosheni.
 • Ofa ya happy hours ni kila siku kuanzia 6pm hadi 8pm pekee.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kwenye hii promosheni (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitofuzu).
 • Kiasi cha chini ambacho kinaweza kutolewa kama rejesho la pesa kila siku kitakua ni 260 TSH, na kiasi cha juu kinachoweza kutolewa ni 13,000 TSH.
 • Rejesho la pesa litawekwa kwenye akaunti za wachezaji kila siku ndani ya masaa 72 kuanzia muda ambao Happy Hour imeisha.
 • Rejesho la pesa litawekwa kwenye akaunti yako bila masharti yoyote ya ziada.
Jumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kutolipa rejesho la pesa pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.