Wazdan Cash Tournament Wazdan Cash Tournament

Cheza mchezo wowote kati ya michezo yetu 8 ya Wazdan iliyochaguliwa kwa siku 14 na unaweza kujishindia sehemu ya 79,000,000 TSH Cash Drop. Zungusha kwenye moja kati ya michezo yetu ya Wazdan inayoshiriki (hakuna kima cha chini cha dau) na kadri unavyocheza ndivyo unavyoweza kuwa mshindi wa moja ya zawadi za 300 za Cash Drop!

Step 1
Chagua mchezo
Casino
Step 2
Anza kuzungusha
Slots
Step 3
Shinda moja ya zawadi za Cash Drop!
Money Bag

Tuna siku 14 za kujishindia zawadi za Cash Drop za bila mpangilio, ikiwa na jumla ya 79,000,000 TSH ya zawadi za pesa taslimu kushindaniwa! Ni rahisi, cheza moja ya mchezo yetu au michezo yetu yote 8 ya Wazdan inayoshiriki na unaweza kushinda pesa taslimu kwa kila mzunguko, zinazotolewa bila mpangilio kadri unavyocheza, zikiwa na zawadi 300 za pesa taslimu kushindaniwa!

Ofa ya Wazdan Cash Drop itaanza kuanzia Alhamisi tarehe 27 Januari hadi Alhamisi tarehe 10 February.

Ni rahisi, anza kuzungusha kwenye mchezo mmoja au yote 8 ya Wazdan inayoshiriki iliyooredheshwa hapa chini ili kupata nafasi ya kujishindia zawadi za pesa taslimu:

Muda wa Promosheni
 • Muda wa Promosheni ya Wazdan Cash Drop ni kuanzia Alhamisi ya tarehe 27 Januari 09:00 CET hadi Alhamisi ya terehe 10 Fubruary 09:00.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri Zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ifuatayo: Butterfly LoversTM, Dragons Lucky 8TM, Fortune Reels, Prosperity Pearls, Sic Bo Dragons, Sun of Fortune
 • Bashiri zozote zitakazofuzu kwenye michezo inayoshiriki ndani ya muda wa kampeni zinaweza kupata sehemu ya zawadi kutoka kwenye zawadi ya jumla. Hakuna kima cha chini cha dau. Bashiri zote zinafuzu kushiriki kwenye kampeni.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo 8 ya Wazdan inayoshiriki ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Cash Drop
 • Kuna zawadi 300 za cash drop za 263,333 TSH zikiwa na zawadi ya jumla ya 79,000,000 TSH.
 • Bashiri iliyofuzu inaweza kushinda zawadi moja tu. Zawadi zitatolewa bila mpangilio ndani ya muda wa promosheni.
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zaidi ya zawadi moja ya pesa taslimu za bila mpangilio ndani ya muda wa kampeni.
 • Wachezaji ni lazima waingie kwenye Kampeni kwa kuweka bashiri iltakayofuzu kwenye moja ya michezo inayoshiriki ndani ya muda wa promosheni.
 • Bashiri yoyote itakayofuzu kwenye michezo inayoshiriki ndani ya muda wa kampeni inaweza kupokea kiasi cha zawadi kutoka kwenye zawadi ya jumla.
 • Bashiri itakayofuzu inaweza kupokea zawadi moja tu ya pesa taslimu. Zawadi zitatolewa bila mpangilio ndani ya kipindi chote cha promosheni. Zawadi zitatolewa kupitia RNG.
 • Idadi ya zawadi zilizopo zinabadilishwa papo hapo.
 • Zawadi zote zitakazopata washindi zitalipwa papo hapo kwenye akaunti za wateja muda huo huo wanapopata taarifa ya ushindi.
 • Zawadi zitatolewa kama zinavyoonekana kwenye jedwali la zawadi ya jumla
 • Zawadi za pesa taslimu zina thamani ya 79,000,000 TSH na itagawanywa kati ya wachezaji 300 watakaoshinda.
 • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo. Zawadi zilizotolewa kutokana na pesa ya bonasi zitalipwa kama pesa ya bonasi.
 • Zawadi ya ushindi italipwa kulingana na sarafu iliyotumika kuweka dau, kulingana na thamani ya Euro wakati bashiri ya ushindi inawekwa.
Jumla
 • Hii ni ofa ya mtandaoni kwenye tovuti zote zinazoshiriki
 • Kiasi cha pesa ya Ushindi kipo kwenye mfumo wa EUR na kinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.