UEL/UCL Football Bet & Get UEL/UCL Football Bet & Get

Pata Bet za Bure kwenye Ligi ya Mabingwa na za Europa wiki hii! Weka ubashiri wa angalau 4,700 TSH kwenye machaguzi ya 2 + katika Ligi ya Mabingwa na Europa barani Ulaya, kwa alama isio chini ya 2.00 kwa kila chaguo na upate bashiri ya bure yenye thamani ya 2,350 TSH – Na kuna mechi kila siku!

Step 1
Nenda SOKA
Sports
Step 2
Bashiri kwenye michuano ya Ligi ya Europa & Ligi ya Mabingwa barani Ulaya
Bonus
Step 3
Pata Bashiri ya bure
Money Bag

Weka ubashari kwenye ligi ya mabingwa UEFA au Europa na tutakuzawadia Bet za bure! Unaweza kudai Bet mbili za Bure wiki hii, kama utaongeza machaguzi mbili kuendelea. Ni rahisi, Nenda Soka, Weka bashiri zako na mechi ya mwisho kwenye mkeka wako ikikamilika , utajipatia papo hapo bashiri ya bure (Free Bet) yenye thamani ya 2,350 TSH!

Hii UEFA Bet & Get Ofa itaanza rasmi Jumanne tarehe 4, Jumatano tarehe 5 na Alhamisi Mei 6.

Weka ubashiri wa angalau 4,700 TSH kwenye machaguzi 2 + kwenye ligi ya mabingwa UEFA au mechi mbili za Europa (odds so chini ya 2.00 kwenye uteuzi) na utapata Bet ya Bure ya 2,350 TSH – na Bets mbili za Bure kudai wiki hii!

Muda wa Promosheni
 • Unaweza kudai zaidi ya bet mbili za UEFA & Get ofa kutoka Jumanne tarehe 4, Jumatano tarehe 5 na Alhamisi Mei 6 00:00 hadi 23:00.
 • Bashiri zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
BASHIRI ZITAKAZOFUZU
 • Kima cha chini kufuzu kupata FREE BET (Bashiri ya bure) ni watakaobashiri kuanzia 4,700 TSH.
 • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa)
 • Ili kufuzu mkeka lazima uwe na si chini ya timu 2.
 • Na odds isiwe chini ya 2.00 kwa kila chaguo. Kama umefanya machaguo zaidi ya 2, machaguo hayo ya ziada ni lazima yawe na alama 2.00 au zaidi ili iweze kufuzu bashiri ya bure.
 • Bashiri lazima ziwekwe kwenye mechi yoyote ya michuano ya Ligi ya Europa au Ligi ya Mabingwa barani Ulaya tu, kwenye masoko yoyote.
 • Wabashiri tu ndo wanaweza kufuzu Bet mbili za Bure Kipindi cha Promosheni. Ni mechi zilizo isha na matokeo yake kupatikana ndani ya wiki moja ndizo zitafuzu promosheni hii ya bashiri ya bure, kwa mechi ambazo matokeo yake hayakupatikana ndani ya wiki ya promosheni hazitofuzu, kwa mfano bashirii imewekwa Jumanne, na matokeo yake yakapatikana Jumanne ya wiki inayo fuata haitofuzu promosheni hii ya bashiri ya bure.
 • Bashiri ya bure (Free Bet) itawekwa punde mechi zinazofuzu kukamilika.
 • Bashiri ya bure (Free Bet) itatolewa kwa wachezaji waliofuzu hatakama ubashiri utashinda au utapoteza.
 • Bashiri zilizoghairishwa (Cashed out) au zilizofutwa hazitahesabiwa.
Bashiri ya Bure
 • Kiasi cha bashiri ya bure (Free Bet) ni 2,350 TSH.
 • Free Bet (Bashiri ya bure) itaonekana kwenye mkeka wako (betslip) katika akaunti yako.
 • Free Bet (Bashiri ya bure) haina kima cha chini cha odds na inaweza kutumika kubashiri mchezo wowote wa soka.
 • Free Bet (Bashiri ya bure) utaitumia utakapoingia kwenye akaunti yako na lazima itumike ndani ya siku 14 kuanzia siku utakayopewa.
 • Free Bets (Bashiri za bure) ambazo hazitatumika katika kipindi hichi haziwezi kurudishwa.
 • Malipo ya ushindi wa bashiri ya bure (Free Bet) yanalipwa tofauti na malipo ya dau la kiasi cha pesa taslimu. Kama utabashiri chaguo la odds ya 3.0 na bashiri ya bure (Free Bet) ya 2,350 TSH utapata 4,700 TSH.
 • Hauwezi kutoa Free Bet ( Bashiri ya Bure)
 • Free Bet (Bashiri ya bure) inatakiwa kutumika mara moja, yote.
 • Free Bet (Bashiri ya bure) haiwezi kuwa Cashed Out.
 • Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kutumia Bashiri ya bure (Free Bet) tafadhali tembelea JINSI YA KUTUMIA BASHIRI YA BURE .
JUMLA
 • Ofa hii haiwezi kutumika na mjumuisho wa ofa nyingine yeyote.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kuwatenga mteja yeyote kutoka kupokea matangazo ya kuchaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.